Mke wangu kaninyima unyumba, kaniambia nisimsumbue

Maoni yako ni muhimu kwangu tafadhali
kwenye hayo mambo mi ni mtupu kabisa, lakini nahisi communication ni kitu cha muhimu sana kwenye mahusiano, na hakutakiwa kukujibu hivyo au kukaa kimya coz hakutatui tatizo, bali kwa kuongea ndipo mnaweza kusuluhisha tatizo
 
Inatokea mara nyingi na yeyote aliyeoa akisema haijatokea ni mwongo! Ila sasa mimi sijawahi kujibiwa kibabe hivyo, atasema amechoka etc, baada ya mda anakuwa kawaida. HAPO Kwako kuna tatizo, and she has to say, DON'T relax mpaka aliseme. Kunyamaza wont be a solution.

 
Basi ana stress zake tu

Au anakaribia mp

Msamehe bure wanawake wana mood swing za ajabu

Asante vipi mawazo ya kumpa time ya kutokumgusa wala kuwa na ukaribu naye ili ajitafakari upya will it bring positive results as per your concerns?
 
Chanzo cha tatizo ni mistari mitatu ya Aya ya pili ya bandiko lako.Ulionyesha kujali sana church kuliko mkeo uliyekua hujakaa naye kwa kipindi cha wiki nzima wewe unaweza kuona hicho ni kitu kidogo lkn kiliashiria kitomjali mwenzako.Nakushauri ujitahidi uombe radhi.
 
Duh alafu kunyimwa mambo inaumaaaa yaani inauma kuliko ugonjwa wa tumbo
 
Sina uzoefu na ndoa za kisasa;
but, jifanye tu mjinga ongea naye
muulize hiyo tabia ya kununua ameipata wapi:
aseme anachokitaka;

 
Asante vipi mawazo ya kumpa time ya kutokumgusa wala kuwa na ukaribu naye ili ajitafakari upya will it bring positive results as per your concerns?
Msipokuwa karibu hamjengi

Kwenye ndoa sometime baadhi ya vitu unapotezea tu

Unaweza ongea nae na mjaribishe uone.......

Unless akukatalie kama mara 2 au 3
 
mwanamke ana moyo Mno m nalala pmj anakuacha tu mmh Mpe heko

Yaani ile tumemaliza kuomba usiku akakimbilia kitandani tena ukutani. If she had a problem with me nadhani angesema na nilishamaliza but hawa viumbe ni Padua kichwa sijui nikirudi enzi zangu za michepuko atafurahi?
 
Asije kua mjamzito??yashantokea hayo nna uzoefu wa kuotosh na njia niliyotumia ni kumtafutia zawad tofauttofaut mara kwa mara bas mwenyewe akifurahi utajikuta unachojoa kyupi taratiiibu mtoto katulia,ni mtihan sana hawa viumbe.

Hapana sio mjamzito mkuu.
 
Mkuu Matola nakuelewa lakini natafuta Positive solution as I know mchepuko won't be positive and I am done with that
Kama unadhani mimi nakupoteza tafuta mwanamke unayemuamini muulize dawa ya mwanamke jeuri ni nini? Kama anakupenda atakwambia ukweli.

Kama ulikuwa na majibu yako unhebaki nayo hukohuko kwa mkeo, umekuja haoa kuomba ushauri sasa pata ushauri ili umalize hilo tatizo nyumbani. Hii ndio kiboko kuliko zote kama unasumbuliwa na mwanamke, dawa ya mwanamke ni mwanamke mwenzake tu.
 
kwenye hayo mambo mi ni mtupu kabisa, lakini nahisi communication ni kitu cha muhimu sana kwenye mahusiano, na hakutakiwa kukujibu hivyo au kukaa kimya coz hakutatui tatizo, bali kwa kuongea ndipo mnaweza kusuluhisha tatizo

Ubarikiwe kwa mchango wako na Mimi ninaamini hivyo. Communication na Heshima iwepo pia hata kama nimekukosea but huyu ni Kinyume chake
 
Msipokuwa karibu hamjengi

Kwenye ndoa sometime baadhi ya vitu unapotezea tu

Unaweza ongea nae na mjaribishe uone.......

Unless akukatalie kama mara 2 au 3

Asante ubarikiwe sana
 
Cjazungumzia usawa nmezungumzaa we ukishindwa shinduaaa usaidiwee jibu hapoo kwanza mambo ya usawa yataftaa
 

Matola unamaanisha nirudie enzi za kuwa bize na michepuko as solution?
 
Nyoosha maelezo ueleweke unauliza nini?
We umemshaur kwamba atafute mchepuko ndo itakuwa suluhisho la matatizo yake. Hujui mkewe yuko na shida Gan hadi akashindwa mtimizia hitaji lake
Swali likaja kwako nisawa cku wewe ukawa haupo sawa kumtimizia mpenzi wako au mkeo atafute wakumtimizia?
 
Ukitoka safari jambo la kwanza ni kuingia bed room na kumwita mkeo then umkiss kiss
ufanye kimoja ndo uendelee na majukumu mengine, vinginevyo tunajuwa kuwa umelala
kwa mwanamke mwingine;
This is what I wanted to say as well baby; umemaliza and sina haja ya kuendelea zaidi. KWa ufupi ndicho ambacho nyie wanawake mnataka, recoordination, that is what u need/she needed
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…