Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Wa afu mbili watampa yutiai sugu 😂😂😂Atafute tutoto twa afu mbili achangamke kidogo
Yeye astick na wa 90s tyuuu.!! Hao wasafi na watambembeleza.!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wa afu mbili watampa yutiai sugu 😂😂😂Atafute tutoto twa afu mbili achangamke kidogo
😂😂😂😂 weee.!! Kumbe??Kwanza uliacha umeniponza kule na mie nikapigwa kufuli 🤣🤣
MUulize ili roho yako ilizike na uwe na amani! Usisahau pia kusisitiza ufafanuzi kwamba unahisi huyu bwana ni mtu wake wa muda mrefu,kapigaaaa hadi kachoka.Lakini upendo utsendelea tena ndugu yangu kuishi na mtu wa namna hii,
Kumbuka nimeishi naye miaka yote hiyo kumbe slikuwa na mambo yske,
Nasikia uchungu sana kama ni kweli alikuwa ni malaya, nashindwa hata kuongea naye vizuri,
Kila akiongea naona ni tapeli fulani,
Lakini swali langu lipo palepale , je nimuulize?
Shida ni kwamba itakuwa ilishashituliwa kitambo hadi mtu kachoka, ni ile hali yeye yupo kwenye ndoa miaka 30,lakini kuna mwamba yupo humo humo miaka 10.Dingi muache bi mkubwa ashtue shtue injini......
Haya mambo ya kuomba ushauri huku ni kwenda nayo makini sanaaUnaweza ukatoa ushauri hapa, unashangaa ghafla bin vuu mama yako kaachwa
Ndoa yenu ina umri mkubwa kuliko wangu nikichangia nitakuwa naharibu badala ya kujenga 🫡Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nimeishi na mke wangu zaidi ya miaka 30, lakini nilihisi ana bwana wa pembeni, nikaanza kufanya uchunguzi, kweli nikafuma baadhi ya msg , ambaxo kwa tabia yake kwangu aliyonionesha kwa miaka hiyo tuliyoishi, niliona si kawaida.
Mbaya zaidi hizo msg alizokuwa anatuma kwa huyo bwana( siwezi kumwita hawara kwa sasa) ilikuwa ni kama yeye anataka mahusiano yaendelee, maana mwanaume alikuwa akimjibu kwa mkato tu.
Mke- kwema, kimya
Mume/ baada ya siku tano/- kwema nipo, sawa
Mke- mmm sawa hiyo vipi,
Mume/ safi
Mke — mvua tu
Baada ya wiki
Mume— mzima wewe
Mke—upo poa wewe
Kwema tu, hofu kwako,
Kimya jamani, naona umetupa jongoo na mti wake,
Jua kali tu ee utadhani limeshuka.
Mume, nipo , hujibu SMS zangu!
Mke— saa ngapi tena wewe ndio hujibu.
Mume—- hahahaa upo!
Mke— nipo kuzeeka tu ndio kumepamba moto.
Mume—- aaa baba ajambo
Mke—- yupo tu aliacha na kazi sasa hivi yupo tu nyumbani.,
Mume—/ poa
Mke tena baada ya wiki
Mke —Upo kaka, za uzima!
Mume— poa.
Baada ya kushindwa kuvumilia na kuepusha kuona maajabu zaidi, nimeamua kulileta hili hapa ili mnisaidie, mke wangu bado nampenda, lakini nataka nijue nini kinaendelea,
Swali je nimuulize au nivumilie kidogo.
Watoto tunao wanne na wana maisha yao.
Sasa mstaafu huyu wa afu mbili wanahitaji sana pesa hasa wakiwa na watu wazima.Atafute tutoto twa afu mbili achangamke kidogo
Una D ngapi? Hujasoma pale mama analalamika " kwahiyo uliamua kutupa mti na jongoo wake?"Mkuu hapo hamna kitu ni chat za kawaida. Tuliza munkari usije jipa presha bure.
D zimeingiaje kijana.Una D ngapi? Hujasoma pale mama analalamika " kwahiyo uliamua kutupa mti na jongoo wake?"
Jamaa alipiga na kuacha, mama amemisi kuliamsha tena.
Tusimfariji mahali ambapo anatakiwa achukue hatua kuliweka sawa.
Kutokana na hizo chati inaonyesha walikuwa na mahusiano yakafa, zimebaki tu stori zisizo na muendelezo na mvuto.D zimeingiaje kijana.
Je kwa sasa wapo kwenye mahusiano? Jongoo ni yupi na mti ni upi?
Sahii unavyosema inaelekea ni penzi la zamani.Kutokana na hizo chati inaonyesha walikuwa na mahusiano yakafa, zimebaki tu stori zisizo na muendelezo na mvuto.
Sasa hiyo ya kutupa jongoo na mti wake ni kama vile mama anauliza " kwahiyo ndio hutaki tena? Umepotea mazima?"
Naona akae nae kitako wazungumze, hata kama hawatofikia muafaka kwa mama kutokubali kuchepuka,lakini ujumbe umfikie kwamba mzee aligundua au kuhisi kitu.Sahii unavyosema inaelekea ni penzi la zamani.
Ila je achukue hatua ipi? Apotezee/amuache/akae nae kitako...?
Ndugu acha tu , show za kuiba cha mtu huwa si za kitoto, inapigwa hadi inawaka moto.Afu ukute under 30 ndo anamkula mkeo anambaraguza haswaaa