Mke wangu kanipa wakati mgumu

Hizo msg za kawaida sana, japo usaliti wa kihisia hauangalii ni jinsi gani watu wanaongea. The fact kwamba wanaongea tayari kuna hisia za usaliti.

Ila, miaka 30 ya ndoa naamini mpo na watoto wenye late 20s hivi. Leaneni mzeeke vizuri, huna haja ya kuchungulia mkeo anachat nini na watu, mmeshakuwa watu wazima probably kwenye 50s huko.
 
M
MUulize ili roho yako ilizike na uwe na amani! Usisahau pia kusisitiza ufafanuzi kwamba unahisi huyu bwana ni mtu wake wa muda mrefu,kapigaaaa hadi kachoka.
 
Dingi muache bi mkubwa ashtue shtue injini......
Shida ni kwamba itakuwa ilishashituliwa kitambo hadi mtu kachoka, ni ile hali yeye yupo kwenye ndoa miaka 30,lakini kuna mwamba yupo humo humo miaka 10.
Hii inauma, dingi atulie tu wale mafao .
Too late...
 
Hivi mnaoa ili iweje wasengerema nyie...
Mwanamke ni chombo cha STAREHE
 
Ndoa yenu ina umri mkubwa kuliko wangu nikichangia nitakuwa naharibu badala ya kujenga 🫑
 
Mkuu hapo hamna kitu ni chat za kawaida. Tuliza munkari usije jipa presha bure.
 
Atafute tutoto twa afu mbili achangamke kidogo
Sasa mstaafu huyu wa afu mbili wanahitaji sana pesa hasa wakiwa na watu wazima.
LAkini baba kasema alipoacha kazi miaka miwili ilopita dharau zilianza means pamoja na kujipata huenda pia kiuchumi si kamili gado kivile. Atajichosha tu na heshima kushuka zaidi.muda wa kulea wajukuu huu.
 
Una D ngapi? Hujasoma pale mama analalamika " kwahiyo uliamua kutupa mti na jongoo wake?"
Jamaa alipiga na kuacha, mama amemisi kuliamsha tena.
Tusimfariji mahali ambapo anatakiwa achukue hatua kuliweka sawa.
D zimeingiaje kijana.

Je kwa sasa wapo kwenye mahusiano? Jongoo ni yupi na mti ni upi?
 
D zimeingiaje kijana.

Je kwa sasa wapo kwenye mahusiano? Jongoo ni yupi na mti ni upi?
Kutokana na hizo chati inaonyesha walikuwa na mahusiano yakafa, zimebaki tu stori zisizo na muendelezo na mvuto.
Sasa hiyo ya kutupa jongoo na mti wake ni kama vile mama anauliza " kwahiyo ndio hutaki tena? Umepotea mazima?"
Jamaa anavunga tu ,akitaka anapiga asubuhi mapema tu
 
Kutokana na hizo chati inaonyesha walikuwa na mahusiano yakafa, zimebaki tu stori zisizo na muendelezo na mvuto.
Sasa hiyo ya kutupa jongoo na mti wake ni kama vile mama anauliza " kwahiyo ndio hutaki tena? Umepotea mazima?"
Sahii unavyosema inaelekea ni penzi la zamani.
Ila je achukue hatua ipi? Apotezee/amuache/akae nae kitako...?
 
Sahii unavyosema inaelekea ni penzi la zamani.
Ila je achukue hatua ipi? Apotezee/amuache/akae nae kitako...?
Naona akae nae kitako wazungumze, hata kama hawatofikia muafaka kwa mama kutokubali kuchepuka,lakini ujumbe umfikie kwamba mzee aligundua au kuhisi kitu.
Kitu kingine mzeeakikaa nalo moyoni hatakuwa na amani na mama, hivyo aliweke wazi kuutua mzigo moyoni.
Na kwa lolote litakalotokea wasameheane tu kiumri lazima wana 60+ . Waleane tu kwa muda mfupi uliobaki .
Maana hapo wapo dakika za jiooni kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…