Mke wangu kanipa wakati mgumu

Mshua kazingua huyu, 30yrs unaomba ushauri badala yeye kuombwa ushauri na vijana. Basi kama Maza anatoka huenda chanzo Kiko hapa, mzee kama hajisimamii, hajitegemei, analalamika, analialia, anaomba-omba, anakua kama mama sasa maana hizo ndo tabia zao, ko mama kaona anaishi na mwanamke mwenzie ndani, hulka ya kike ni kutaka mwanaume, amsimamie, amuongoze, amfundishe, amrekebishe, amkoromee, (kwa mko wa mara-ampige), akiyakosa hayo ndani, akayaona nje, atakwenda tu, yakirudi anarudi, mtazamo wangu tu, ndoa ni upendo sio uvumilivu, ndivyo nilivyoambiwa kwenye mafundisho, hilo la uvumilivu tumeliweka sisi wenyewe wanandoa baada ya upendo kutushinda, kumbuka upendo hauna mwisho ila uvumilivu unao, tusibadili alichokiweka Mwenyezi Mungu.,tutalia na asiwepo wa kututuliza....30yrs ni miaka 5 baada ya jubilei ya dhahabu sio ya adhabu.
 
Kwa maisha mliyoishi miaka 30, sioni shida kwenye hizo meseji.

Mawasiliano ya kawaida kabisa hayo, kama hayakupendezi ni vyema kumwambia ayasitishe muendelee kuishi kwa amani.
waache watafute changamoto!
 
Ulimfuatilia wa nini kama huwezi kumuacha?
Mna watoto na kila mtoto anamaisha yake,utawapa funzo gani wanao endapo watakuja kuomba ushauri au kusuluhishwa kwenye ndoa zao?
You are too old to break your marriage and you are old enough to solve your family conflicts yourselves.
 
Bro , sikuamua tu kuchungulia msg bila sababu, niliona mambo kama hayapo sawa, halafu kumbuka huu ndio umri wa wanawake kufanya yao,

Maana keshakutumia sana,

Kama watoto umeshamsomishea( wote wamemaliza chuo kikuu UDSM)

Kama ni nyumba umeshamjengea , na mshara haupo tena , anaona wewe wa nini tena , kwani we Mama yake,

Ndio mwanzo hata wa kukuondoa duniani
 
Wakati mwingine yakikuzidia ushauri ni muhimu
 
Wewe vumilia tu. Sasa Unataka ugomvi uzeeni Subiri akuue Waendelee Kwa Uhuru tu
 
Acha kupekua simu ya mwenzi wako. Utajipa msongo wa bureee!
 
Miaka 30 ya ndoa nyie n wastaafu kaeni kwa amani mmalizie maisha yenu kwa amani hapa Duniani
 
Dah!. Kweli changamoto haziishi
 
Fesibuku imeamia uku



KAZI ni kipimo cha UTU
 
Kwenye ndoa miaka 30 lkn unatumia alphabet X kama mbadala wa z au s.

Endelea kujitungia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…