Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mke wa mtu hapa.. huyu mumewe kamkuta bikra...Ulimkuta bikra mkeo kama hapana basi jua ur not alone........
Big Chicken.Lazima ajute, Hakikisha anajuta na akijuta na kutaka suluhu msamehe, ila akileta dalili yeyote ya kiburi then kimbia haraka, piga talaka nenda kaishi mwemyewe.
Wanawake wanatesa sana!
waache watafute changamoto!Kwa maisha mliyoishi miaka 30, sioni shida kwenye hizo meseji.
Mawasiliano ya kawaida kabisa hayo, kama hayakupendezi ni vyema kumwambia ayasitishe muendelee kuishi kwa amani.
Ulimfuatilia wa nini kama huwezi kumuacha?Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nimeishi na mke wangu zaidi ya miaka 30, lakini nilihisi ana bwana wa pembeni, nikaanza kufanya uchunguzi, kweli nikafuma baadhi ya msg , ambaxo kwa tabia yake kwangu aliyonionesha kwa miaka hiyo tuliyoishi, niliona si kawaida.
Mbaya zaidi hizo msg alizokuwa anatuma kwa huyo bwana( siwezi kumwita hawara kwa sasa) ilikuwa ni kama yeye anataka mahusiano yaendelee, maana mwanaume alikuwa akimjibu kwa mkato tu.
Mke- kwema, kimya
Mume/ baada ya siku tano/- kwema nipo, sawa
Mke- mmm sawa hiyo vipi,
Mume/ safi
Mke — mvua tu
Baada ya wiki
Mume— mzima wewe
Mke—upo poa wewe
Kwema tu, hofu kwako,
Kimya jamani, naona umetupa jongoo na mti wake,
Jua kali tu ee utadhani limeshuka.
Mume, nipo , hujibu SMS zangu!
Mke— saa ngapi tena wewe ndio hujibu.
Mume—- hahahaa upo!
Mke— nipo kuzeeka tu ndio kumepamba moto.
Mume—- aaa baba ajambo
Mke—- yupo tu aliacha na kazi sasa hivi yupo tu nyumbani.,
Mume—/ poa
Mke tena baada ya wiki
Mke —Upo kaka, za uzima!
Mume— poa.
Baada ya kushindwa kuvumilia na kuepusha kuona maajabu zaidi, nimeamua kulileta hili hapa ili mnisaidie, mke wangu bado nampenda, lakini nataka nijue nini kinaendelea,
Swali je nimuulize au nivumilie kidogo.
Watoto tunao wanne na wana maisha yao.
Bro , sikuamua tu kuchungulia msg bila sababu, niliona mambo kama hayapo sawa, halafu kumbuka huu ndio umri wa wanawake kufanya yao,Hizo msg za kawaida sana, japo usaliti wa kihisia hauangalii ni jinsi gani watu wanaongea. The fact kwamba wanaongea tayari kuna hisia za usaliti.
Ila, miaka 30 ya ndoa naamini mpo na watoto wenye late 20s hivi. Leaneni mzeeke vizuri, huna haja ya kuchungulia mkeo anachat nini na watu, mmeshakuwa watu wazima probably kwenye 50s huko.
Wakati mwingine yakikuzidia ushauri ni muhimuUlimfuatilia wa nini kama huwezi kumuacha?
Mna watoto na kila mtoto anamaisha yake,utawapa funzo gani wanao endapo watakuja kuomba ushauri au kusuluhishwa kwenye ndoa zao?
You are too old to break your marriage and you are old enough to solve your family conflicts yourselves.
Hapana , ndoa ni ndoa tu, na mapenzi ni mapenzi tu , hayana udogo wala ukubwaNdoa yenu ina umri mkubwa kuliko wangu nikichangia nitakuwa naharibu badala ya kujenga 🫡
He will never walk alone like LIVERPOOLUlimkuta bikra mkeo kama hapana basi jua ur not alone........
Wewe vumilia tu. Sasa Unataka ugomvi uzeeni Subiri akuue Waendelee Kwa Uhuru tuKama kichwa cha habari kinavyojieleza, nimeishi na mke wangu zaidi ya miaka 30, lakini nilihisi ana bwana wa pembeni, nikaanza kufanya uchunguzi, kweli nikafuma baadhi ya msg , ambaxo kwa tabia yake kwangu aliyonionesha kwa miaka hiyo tuliyoishi, niliona si kawaida.
Mbaya zaidi hizo msg alizokuwa anatuma kwa huyo bwana( siwezi kumwita hawara kwa sasa) ilikuwa ni kama yeye anataka mahusiano yaendelee, maana mwanaume alikuwa akimjibu kwa mkato tu.
Mke- kwema, kimya
Mume/ baada ya siku tano/- kwema nipo, sawa
Mke- mmm sawa hiyo vipi,
Mume/ safi
Mke — mvua tu
Baada ya wiki
Mume— mzima wewe
Mke—upo poa wewe
Kwema tu, hofu kwako,
Kimya jamani, naona umetupa jongoo na mti wake,
Jua kali tu ee utadhani limeshuka.
Mume, nipo , hujibu SMS zangu!
Mke— saa ngapi tena wewe ndio hujibu.
Mume—- hahahaa upo!
Mke— nipo kuzeeka tu ndio kumepamba moto.
Mume—- aaa baba ajambo
Mke—- yupo tu aliacha na kazi sasa hivi yupo tu nyumbani.,
Mume—/ poa
Mke tena baada ya wiki
Mke —Upo kaka, za uzima!
Mume— poa.
Baada ya kushindwa kuvumilia na kuepusha kuona maajabu zaidi, nimeamua kulileta hili hapa ili mnisaidie, mke wangu bado nampenda, lakini nataka nijue nini kinaendelea,
Swali je nimuulize au nivumilie kidogo.
Watoto tunao wanne na wana maisha yao.
Miaka 30 ya ndoa nyie n wastaafu kaeni kwa amani mmalizie maisha yenu kwa amani hapa DunianiKama kichwa cha habari kinavyojieleza, nimeishi na mke wangu zaidi ya miaka 30, lakini nilihisi ana bwana wa pembeni, nikaanza kufanya uchunguzi, kweli nikafuma baadhi ya msg , ambaxo kwa tabia yake kwangu aliyonionesha kwa miaka hiyo tuliyoishi, niliona si kawaida.
Mbaya zaidi hizo msg alizokuwa anatuma kwa huyo bwana( siwezi kumwita hawara kwa sasa) ilikuwa ni kama yeye anataka mahusiano yaendelee, maana mwanaume alikuwa akimjibu kwa mkato tu.
Mke- kwema, kimya
Mume/ baada ya siku tano/- kwema nipo, sawa
Mke- mmm sawa hiyo vipi,
Mume/ safi
Mke — mvua tu
Baada ya wiki
Mume— mzima wewe
Mke—upo poa wewe
Kwema tu, hofu kwako,
Kimya jamani, naona umetupa jongoo na mti wake,
Jua kali tu ee utadhani limeshuka.
Mume, nipo , hujibu SMS zangu!
Mke— saa ngapi tena wewe ndio hujibu.
Mume—- hahahaa upo!
Mke— nipo kuzeeka tu ndio kumepamba moto.
Mume—- aaa baba ajambo
Mke—- yupo tu aliacha na kazi sasa hivi yupo tu nyumbani.,
Mume—/ poa
Mke tena baada ya wiki
Mke —Upo kaka, za uzima!
Mume— poa.
Baada ya kushindwa kuvumilia na kuepusha kuona maajabu zaidi, nimeamua kulileta hili hapa ili mnisaidie, mke wangu bado nampenda, lakini nataka nijue nini kinaendelea,
Swali je nimuulize au nivumilie kidogo.
Watoto tunao wanne na wana maisha yao.
🤣 🤣 🤣Ulimkuta bikra mkeo kama hapana basi jua ur not alone........
Tupe majibu basi..afu father Acha kuhangaika na huyo ajuza,tafuta dogo dogo akutulize.Sawa nitamuuliza usiku huu
Dah!. Kweli changamoto haziishiBro , sikuamua tu kuchungulia msg bila sababu, niliona mambo kama hayapo sawa, halafu kumbuka huu ndio umri wa wanawake kufanya yao,
Maana keshakutumia sana,
Kama watoto umeshamsomishea( wote wamemaliza chuo kikuu UDSM)
Kama ni nyumba umeshamjengea , na mshara haupo tena , anaona wewe wa nini tena , kwani we Mama yake,
Ndio mwanzo hata wa kukuondoa duniani
Word!Hapana , ndoa ni ndoa tu, na mapenzi ni mapenzi tu , hayana udogo wala ukubwa
Kwenye ndoa miaka 30 lkn unatumia alphabet X kama mbadala wa z au s.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nimeishi na mke wangu zaidi ya miaka 30, lakini nilihisi ana bwana wa pembeni, nikaanza kufanya uchunguzi, kweli nikafuma baadhi ya msg , ambaxo kwa tabia yake kwangu aliyonionesha kwa miaka hiyo tuliyoishi, niliona si kawaida.