Mke wangu kanipa wakati mgumu

Tupe majibu basi..afu father Acha kuhangaika na huyo ajuza,tafuta dogo dogo akutulize.
Nimemweka kikao usiku,
Ni utata mtupu,

Hii dunia mbaya sana , watu ni wabaya sana, usimwamini binadamu yeyote kwa familia yako.

Wapemba wapo vizuri kwa wake zao, ila sisi ni ngumu sana kuwa kama wapemba , na haiwezekani.

Tunatunza wanawake tu lakini sio mke,

Mke ni wa wote.
Amezidi kunichafua.

Nafikiria kuhama mji, hakuna cha kumilia hapa.

Sana sana unaweza tafuta murder case.
 
Ngoja nitulie kwanza , nitawajuza
 
Blaza pole sana, mapenzi bana yanasumbua/UMIZA, ukishahisi tuu kwisha.....amani na furaha yote ya 30yrs inakwisha....
hivi nini hasa kilikufanya ukagusa simu yake?....ni shetani anataka kuwavuruga na utu UZIMA wenu!!! na kwa maelezo ya hizo chatting, umeshastaafu ,,,, huna mradi wowote wa kujishughulisha, shamba/mifugo....
Nikukumbushe yule nyoka wa Bustani ya Edeni hajafa, kaa na mkeo umpendae, anza kumpenda upya.....anza kupiga hata kimoja daily......fanya mazoezi kula vizuri......utaniambia matokeo......ukiona amekaa sawa......na mvuto wa mahaba umerejea.....mpe hizo habari za udaku wote....na mkwara mzito.....hakuna majadiliano ktk hilo......
Pole kaka Mkubwa.
 
Nasikitika kukuambua mkeo ni lishangazi kwa kijana sehemu. Lakini mfumo wenu wa kuishi upoje, unawezakuta wewe ndo ukawa chanzo cha haya mkuu.
 
Pole aisee tuliza akili usifanye maamuzi kwa panic.
 
Watato wanne miaka ya ndoa 30 we unafikili hata akicheat anaelekea wapi hiyo ni MENOPAUSE tu inayomsumbua ndo maana kakata mzuka wa kubebishana na wewe
 
Pole
 
Mkuu embu nenda kapime DNA watoto kama unao,
Unaweza kuta unalea watoto ambao sio wako
 
Achana na hayo mambo..angalia unastaafu vipi..umri umeenda.
 
Tatizo hapo sioni message yoyote kama ni marafiki wa kawaida tu,

Maana kama ni urafiki , labda ningeona wanazungumzia kitu fulani, lakini naona ni kama mke wangu anataka kitu kwako
Kwa kweli..je angekutana na zile chat hadi wanavuana chupi ingekuaje..hizi zake za kawaida sana hata sisi tuliozisoma hazijatuhamasisha
 
Umeongea nae..??
Hamna mshenga..?
Hana wazazi..?
Kwa mtu mwenye watoto wanne kuleta mada kama hii humu ni kujionyesha ulivyo na mapungufu tu.
Miaka 30 Mshenga kuwepo ni bahati nasibu
 
Nasikitika kukuambua mkeo ni lishangazi kwa kijana sehemu. Lakini mfumo wenu wa kuishi upoje, unawezakuta wewe ndo ukawa chanzo cha haya mkuu.
Ndio maana imeniumiza sana, maisha yalikuwa mazuri sana,
Kwangu mimi nijiamini nilikuwa mwaminifu sana kwake ,
Na kazi yangu bahati nzuri au mbaya ilikuwa ni kusafiri sana,
Hata niwe wapi ataniaga anatoka anaenda sehemu na mimi bila wasiwasi namruhusu, na mtaani ni mtu ana heshima sana.
 
Kwa umri wako huo, ukifanya lolote lile, hasara ni kubwa kuliko faida, achana nazo
DA DON,
Inaeezekana hasara ikawa ni kubwa kuliko uhai wangu? Maana inabidi kuangalia upande mwingine pia,
Kuna magonjwa na kuuana, maana ni dk sifuri hawa watu wakiendelea na mchezo wao wanaweza kusuka njama wakanimaliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…