- Thread starter
- #121
SijaelewaKwenye ndoa miaka 30 lkn unatumia alphabet X kama mbadala wa z au s.
Endelea kujitungia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SijaelewaKwenye ndoa miaka 30 lkn unatumia alphabet X kama mbadala wa z au s.
Endelea kujitungia.
Nimemweka kikao usiku,Tupe majibu basi..afu father Acha kuhangaika na huyo ajuza,tafuta dogo dogo akutulize.
Ngoja nitulie kwanza , nitawajuzaNimemweka kikao usiku,
Ni utata mtupu,
Hii dunia mbaya sana , watu ni wabaya sana, usimwamini binadamu yeyote kwa familia yako.
Wapemba wapo vizuri kwa wake zao, ila sisi ni ngumu sana kuwa kama wapemba , na haiwezekani.
Tunatunza wanawake tu lakini sio mke,
Mke ni wa wote.
Amezidi kunichafua.
Nafikiria kuhama mji, hakuna cha kumilia hapa.
Sana sana unaweza tafuta murder case.
Pole aisee tuliza akili usifanye maamuzi kwa panic.Nimemweka kikao usiku,
Ni utata mtupu,
Hii dunia mbaya sana , watu ni wabaya sana, usimwamini binadamu yeyote kwa familia yako.
Wapemba wapo vizuri kwa wake zao, ila sisi ni ngumu sana kuwa kama wapemba , na haiwezekani.
Tunatunza wanawake tu lakini sio mke,
Mke ni wa wote.
Amezidi kunichafua.
Nafikiria kuhama mji, hakuna cha kumilia hapa.
Sana sana unaweza tafuta murder case.
PoleNimemweka kikao usiku,
Ni utata mtupu,
Hii dunia mbaya sana , watu ni wabaya sana, usimwamini binadamu yeyote kwa familia yako.
Wapemba wapo vizuri kwa wake zao, ila sisi ni ngumu sana kuwa kama wapemba , na haiwezekani.
Tunatunza wanawake tu lakini sio mke,
Mke ni wa wote.
Amezidi kunichafua.
Nafikiria kuhama mji, hakuna cha kumilia hapa.
Sana sana unaweza tafuta murder case.
Hawezi kuwa kwenye miaka hiyo nsa mtoto mpaka wa mwisho kamaliza chuoKama una 50+ na mke wako ni 20+ au 30+ na umeacha kazi lazima uchapiweeeeeee tu.
OK. mkuu msalimie mwanao mwambie nampenda.Hawezi kuwa kwenye miaka hiyo nsa mtoto mpaka wa mwisho kamaliza chuo
Achana na hayo mambo..angalia unastaafu vipi..umri umeenda.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nimeishi na mke wangu zaidi ya miaka 30, lakini nilihisi ana bwana wa pembeni, nikaanza kufanya uchunguzi, kweli nikafuma baadhi ya msg , ambaxo kwa tabia yake kwangu aliyonionesha kwa miaka hiyo tuliyoishi, niliona si kawaida.
Mbaya zaidi hizo msg alizokuwa anatuma kwa huyo bwana( siwezi kumwita hawara kwa sasa) ilikuwa ni kama yeye anataka mahusiano yaendelee, maana mwanaume alikuwa akimjibu kwa mkato tu.
Mke- kwema, kimya
Mume/ baada ya siku tano/- kwema nipo, sawa
Mke- mmm sawa hiyo vipi,
Mume/ safi
Mke — mvua tu
Baada ya wiki
Mume— mzima wewe
Mke—upo poa wewe
Kwema tu, hofu kwako,
Kimya jamani, naona umetupa jongoo na mti wake,
Jua kali tu ee utadhani limeshuka.
Mume, nipo , hujibu SMS zangu!
Mke— saa ngapi tena wewe ndio hujibu.
Mume—- hahahaa upo!
Mke— nipo kuzeeka tu ndio kumepamba moto.
Mume—- aaa baba ajambo
Mke—- yupo tu aliacha na kazi sasa hivi yupo tu nyumbani.,
Mume—/ poa
Mke tena baada ya wiki
Mke —Upo kaka, za uzima!
Mume— poa.
Baada ya kushindwa kuvumilia na kuepusha kuona maajabu zaidi, nimeamua kulileta hili hapa ili mnisaidie, mke wangu bado nampenda, lakini nataka nijue nini kinaendelea,
Swali je nimuulize au nivumilie kidogo.
Watoto tunao wanne na wana maisha yao.
Kwa kweli..je angekutana na zile chat hadi wanavuana chupi ingekuaje..hizi zake za kawaida sana hata sisi tuliozisoma hazijatuhamasishaTatizo hapo sioni message yoyote kama ni marafiki wa kawaida tu,
Maana kama ni urafiki , labda ningeona wanazungumzia kitu fulani, lakini naona ni kama mke wangu anataka kitu kwako
🤣🤣 Maghayo we mbusiiikama ijamini dada
Miaka 30 Mshenga kuwepo ni bahati nasibuUmeongea nae..??
Hamna mshenga..?
Hana wazazi..?
Kwa mtu mwenye watoto wanne kuleta mada kama hii humu ni kujionyesha ulivyo na mapungufu tu.
Kwa umri wako huo, ukifanya lolote lile, hasara ni kubwa kuliko faida, achana nazoLakini chatt zinaonesha tayali walikuwa na mahusiano ila mwanaume anapotezea, akimuhitaji ni dakika sifuri
Ndio maana imeniumiza sana, maisha yalikuwa mazuri sana,Nasikitika kukuambua mkeo ni lishangazi kwa kijana sehemu. Lakini mfumo wenu wa kuishi upoje, unawezakuta wewe ndo ukawa chanzo cha haya mkuu.
NimekusomaPole aisee tuliza akili usifanye maamuzi kwa panic.
DA DON,Kwa umri wako huo, ukifanya lolote lile, hasara ni kubwa kuliko faida, achana nazo