Mke wangu tangu abebe ujauzito hana hisia za kimapenzi. Nateseka sana

Kama ni ujauzito tu, muache atatulia mimba ikivuka miezi mi5 ama hata baada ya kujifungua. Ila kulala na mama kiduku miezi mi4 dunguso haigusi ndani ngumu, jitahidi mzee, au hama chumba tu kuepusha mambo(sio kwa hasira ila mueleze uhalisia)
 
Jamaa kasema ni mke wake na yy ndio mwenye hiyo mimba...sasa kama hawakupim before inasaidia nini??
Mianamake ikishajua Hali zao haiwezi kukuambia.. inameza tembe peke Yao na inakukwepa usiizidishie virusi huku ukifa taratibu.
Nammshauri Apime ajiridhishe anaweza kuwa yupo Poa pia.

Nafahamu sana siku hizi mambo yamebadilika huko vituoni na ndivyo yanavyoshauriwa yasikueleze Hadi ujue mwenyewe.
 
Na kwenda kitoumber nje na kukata mauno km nyoo unashinda nn? Mpk umsumbue mama kija?
Shubamiiiitiii
 
Ah.. sasa we miezi minne tu unalia lia.. mi mwenzio mwezi wa nane huu unaenda, sio simba wala sio yanga alioona lango la mwenzie.

Kama sio michepuko mi ningekua nimeshakufa
 
Hii changamoto nimekutana nayo hapa nimebaki tu namwangàlia tu yani anakuwa mkali balaa
 
Wanaume lazima mwelewe kubeba kiumbe tumboni si lelema mama,kuna wakati unabeba mimba inapenda kugegedana balaa kuna wakati wala huna hamu na tendo hilo kabisa hivyo msifiri wanajifanyisha haya mambo eleweni.
 
Moja katika sababu za Waislamu kuruhusiwa kuowa wake wanne(4)..,ni kuwalinda wanaume pamoja na wanawake waepukane na Zinaa
( kuchepuka),na kumuepusha mwanamme na matatizo kama yako
 
Fanya mazoezi acha kuendekeza ujinga ,nenda uwanjan cheza mpira ,kimbia Sana mwili utarudi home umechoka ni kula na kulala usingizi mzitoo

Wenzako wanahimiza mazoezi ili kujenga stamina, we unasema mazoezi huchosha mwili….. mbona mnatuchanganya.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…