Mkeo ni wa kundi gani kati ya haya?

Hahahah kwani we unaingia kwenye mahusiano ili umkere mwenzio? Au essence inakuwa ni nini?
Achana na kuingia kwenye mahusiano mkuu,hata kwenye maisha ya kawaida kukeranana kupo hakuepukiki.
Mtu akitulia na kusoma mwandiko wako wako atagundua kuwa unategemea kuja kuoa malaika asiye na mapungufu🀣🀣.

Jiulize hapo ulipo hujawahi kumkera mwenzio!jibu ni kwamba ushawahi kumkera sana tu na hiyo haiepukiki.ila kunatofauti kati ya hali ya kibinadamu na kufanya vitu kwa kukomoana ikiongozwa na makusudi.

Kukerana hakujawahi kuondoka kwenye maisha yetu na haitikuja kuondoka labda kama tutaanza kuishi na malaika wa mbinguni ndani.

πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…natamani kuja kukuona ukishaoa ujueπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…maana watu kama wewe extrovert hudondokeaga pua ni kinyamaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Halafu ukishamjua mtu wako wala haikupi stress
 
Kwakweli tumetofautiana sana..mimi pia baba na mama yangu niliwashuhudia maisha yao kwanza mama alikua hali mbaka baba arudi wale wote na kama akipiga cm atachelewa kurudi basi mama atakula kidogo ili asisikie njaa lakini baba akija lazima wale wote tena wanakaa mezani pamoja wanapiga na stories mbili tatu na vicheko juu nilikua naona raha sana nikiwaangalia.
Anaporudi mzee kupokelewa mzigo ni lazima ingawa baba alikuaga hapendi kumpokea kama kuna shuuli unafanya anakwambi acha tuu.
Kingine nadhani mama alijua sana majukumu yake pamoja na ubize lakini sikuwahi kuona baba akijiandalia maji ya kuoga au kujipakulia chakula. Nimeishi kama dada mkubwa ndani ya nyumba na najua majukumu ya mwanamke hakuna ukweli kuhusiana na mama kuchoka na kutotoa baadhi ya huduma kwa baba
Anles adhawaiz mkeo ni mvivu au ameshakuchoka au mmechokana. Hivi hata kama nina watoto ndio niwe busy mbaka saa 2 au 3 usiku mme wangu anavorudi nishindwe kumuhudumia kweli!!!
Nnavojua mimi mama uwa anapangilia kazi zake vzur ikifika mida flani unakua tayar kwa ajir ya mmeo.
Siku moja mama angu alinisimuliaga kitu wakati bado wanaishi nyumba za kupanga kuna bwana mmoja alikua amejiandaa kwenda kazini akatoka nje kumfata mkewe aliekua anafagia uwanja na iyo ilikua sa 12 asubuhi akamuuliza mkewe chai mbona amna mezani mkewe akamjibu "nitafanya mangapi" hivi kweli kkabisa mume unamjibu ivo!!!
Sasa mimi mama yangu hakua na gesi kipindi hicho alikua anaamka asubuh sana yaan baba lazima ale kitu kabla hajaondoka ndo wameishi ivo maisha yote na mama hakuwahi kulalamika zaidi sana tulikua tunafurahia kua na baba mpenda familia yake.
Mama nae alikua ana amani sana na furaha kumuhudumia mmewe.
Kubwa na ndogo kuliko daily walikua wakiitana Mme wangu mke wangu yaan hilo nilikua napenda sana mama hata apokee cm anasema "mme wangu niambie".
Sometimes small things means a lot.
 
Umeona sasa, hii ndio tunaita effect ya malezi. If you were properly raised that means utakuwa ulishuhudia upendo wazazi walikuwa wakioneshana and it will always stay in your head. Watu wanafikiri mtu kuwa na upendo ni swala linatokea ghafla tu kama chafya.

Mwanamke anaejitambua hawezi kuleta excuse za ajabu ajabu ili tu akwepe majukumu yake. Ni utovu wa nidhamu wa hali ya juu sana ila watu wanachukulia poa tu.

Sasa kwa mtu kama wewe ukikutana na mtu ambaye daily alikuwa akishuhudia ugomvi wa wazazi wake lazma utateseka sana kwenye mahusiano nae. Hawezi kuwa na roho ya utu hata kidogo maana anahisi mwenzie ni kama takataka flani na amekuwa akiona mama yake au baba yake anakuwa mistreated and bullied..Wanawake wa hivi nao huja kuwa wababe automatically.
 
Usifananishe mama zetu mkuu na hizi Ngamia za siku hiziii...!!! Yani kwa kweli ni shidaaa... Wanawake wa siku hizi ukijichanganya ukamsaidia kazi tuu nasema hata kumlisha mtoto jua huo ndo umekuwa wajibu wakoo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sijui ni mapepooo
 
πŸ™„ngamiaπŸ˜”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…