kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,746
- 2,924
ndiyo aliniomba nauli nikampaDemu wako jana alienda kwenye ule mkesha wa VUKA NA CHAKO?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndiyo aliniomba nauli nikampaDemu wako jana alienda kwenye ule mkesha wa VUKA NA CHAKO?
Wapo wanaotumia hii fursa ya mikesha kwenda kugongana wengine wanakuwa lodge za karibu wanagegedanaWaumini wake wanatombeka sana KAWE
Sijaelewa unambishia kwamba hapigi hela au?? Kwani hawezi kusaidia/kuombea watu mpaka awachangishe kila siku??Kama watu wanatoa pesa na wanapokea matamanio ya mioyo yao, yaani wanafanikishwa, acha watoe, ukidhani nivirahisi, itisha kongamano na wewe uone kama utawapata hao watu. Tusiwe na mawazo yenye mlengo hasi tu, tujifunze pia kwanini Boniphace Mwamposa kafanikiwa hivi na iwe chachu kwenye maisha yetu.
Hivi tatizo ni ujanja wa mtu kujaza uwanja au kasi kubwa ya watu kukata tamaa na changamoto za maisha na hivyo kuhadaika kirahisi kiimani?Poleni na uchovu
Ivi kuna mtu mwingine anae weza jaza uwanja wa taifa ukitoa simba na yanga wanaweza kujaza uwanja
Hila huyu mtu kajua kuwateka wa tanzania hila sikuizi watu wanapenda miujiza haya
Na hapo bado njee kuna watu wanasubili kuingia tutegemee nini?
View attachment 2449376
Sio wote wenye shida nikimaanisha njaa. Wengine ni maradhi yasio tibika hospital walio kata tamaa ya kuishi japo uwezo wa kifedha wanao, migogoro ya kifamilia nk.Hivi tatizo ni ujanja wa mtu kujaza uwanja au kasi kubwa ya watu kukata tamaa na changamoto za maisha na hivyo kuhadaika kirahisi kiimani?
Unatamani wenzio wafe mkuu?wacha wakanyage hayo mafuta safari wafe hata 400 akili iwakae sawa
Channel ngapi zimemuonyesha live? Unadhani ni bure na vipi ulinzi ,umeme vyombo vya studio vilivyo kesha, uwanja nao hakupewa bure.Sijaelewa unambishia kwamba hapigi hela au?? Kwani hawezi kusaidia/kuombea watu mpaka awachangishe kila siku??
Safi sana..mwekezaji wa ndani..tunahitaji watu kama hawa wengi zaidi.Njombe ana Karibu hekari zaidi ya 1000 za shamba la paraxhixhi
Alah..ni takataka mbele ya Kristo Yesu.Akili huna , Mwenyezi Mungu ni mmoja muumba mbingu , Ardhi na vilivyomo na kila kitu huyo hawezi kuwa Yesu .
Yesu ni Nabii wa Allah aliyetumwa kwa haki na apewa Injili ambayo ilikuwa muongozo kwa watu wake, miujiza yote ya kuponya watu nk hakufanya ila kwa idhini ya Allah Mola mlezi wa viumbe vyote.
Wewe mjanja unafanya nini kwenye comments za majuha.majibu ya juha utayaona tu! tapeli linasema kesho njoo na makopo ya bia nitayaombea na kugeuka malori ya scania yenye teller , majuha kama wewe mnabeba makopo! Stupid!
Miujiza haikufuati unaifuata kwa imani..walioko huko wakiwa na imani watapona bila hata mwamposa kwenda hospitali.hao huwezi kuwakomboa akili zimekufa mwanzo mwisho! Bladifakeni mwamposa nenda ocean road cancer hospital ufanye miujiza watu waamke kwenye vitanda na kwenda nyumbani!
Tulia SemenyaKila mtu atafute pesa kwa njia zake,
Dogo acha vitishoUsinitishe tena KOMA KABISA kawatishe watu wakijijini kwenu
Sadaka za huko hazisemwagi hizo ni sawa tuHuko kwenye vilinge hutoagi sadaka??..unapoambiwa upeleke kuku mwekundu huwa unadhani ni zawadi ile.
Sadaka ni ibada.
#MaendeleoHayanaChama
Kwasababu mtoa sadaka nae hula alicho toa mf. Kunywa damu ya mnyama alio mtoa huko kilingeni na nyama hula wale wasimamizi wa kilinge ndio maana huwa siri.Sadaka za huko hazisemwagi hizo ni sawa tu
Ndiyo huwa siri kubwa, pia wanavuliwa mpaka nguo lakini huwa siri ya mgonjwa na mganga, hivi hadi damu ya Sadaka yake anakunywa? Nilikuwa sijui .Kwasababu mtoa sadaka nae hula alicho toa mf. Kunywa damu ya mnyama alio mtoa huko kilingeni na nyama hula wale wasimamizi wa kilinge ndio maana huwa siri.
Utawajua kwa majibu mepesi mepesi. Tapeli Mwamposa litaendela kuwavuna mapesa mpakaaaaaaaaaaaaaaaaaaMiujiza haikufuati unaifuata kwa imani..walioko huko wakiwa na imani watapona bila hata mwamposa kwenda hospitali.
#MaendeleoHayanaChama