Mkesha wa VUKA NA CHAKO: Kutoka Uwanja wa Benjamin Mkapa na prophet Boniphace Mwamposa - 16/12/2022

Mkesha wa VUKA NA CHAKO: Kutoka Uwanja wa Benjamin Mkapa na prophet Boniphace Mwamposa - 16/12/2022

Kama watu wanatoa pesa na wanapokea matamanio ya mioyo yao, yaani wanafanikishwa, acha watoe, ukidhani nivirahisi, itisha kongamano na wewe uone kama utawapata hao watu. Tusiwe na mawazo yenye mlengo hasi tu, tujifunze pia kwanini Boniphace Mwamposa kafanikiwa hivi na iwe chachu kwenye maisha yetu.
Sijaelewa unambishia kwamba hapigi hela au?? Kwani hawezi kusaidia/kuombea watu mpaka awachangishe kila siku??
 
Poleni na uchovu

Ivi kuna mtu mwingine anae weza jaza uwanja wa taifa ukitoa simba na yanga wanaweza kujaza uwanja

Hila huyu mtu kajua kuwateka wa tanzania hila sikuizi watu wanapenda miujiza haya

Na hapo bado njee kuna watu wanasubili kuingia tutegemee nini?

View attachment 2449376
Hivi tatizo ni ujanja wa mtu kujaza uwanja au kasi kubwa ya watu kukata tamaa na changamoto za maisha na hivyo kuhadaika kirahisi kiimani?
 
Hivi tatizo ni ujanja wa mtu kujaza uwanja au kasi kubwa ya watu kukata tamaa na changamoto za maisha na hivyo kuhadaika kirahisi kiimani?
Sio wote wenye shida nikimaanisha njaa. Wengine ni maradhi yasio tibika hospital walio kata tamaa ya kuishi japo uwezo wa kifedha wanao, migogoro ya kifamilia nk.
Siku utakapo kutana na shida za dunia zile ngumu na ukose msaada elewa hutaongea lugha hii,.
 
Sijaelewa unambishia kwamba hapigi hela au?? Kwani hawezi kusaidia/kuombea watu mpaka awachangishe kila siku??
Channel ngapi zimemuonyesha live? Unadhani ni bure na vipi ulinzi ,umeme vyombo vya studio vilivyo kesha, uwanja nao hakupewa bure.
 
amenifurahisha kumfunga mdomo shetani, kuna watu jana wakawa wananiambia watu hawataenda uwanjani..wala hawatajaa kabisa. Ile saa mbili usiku naangalia TV yao nakuta mafuriko..kimoyo moyo nikasema shetani amekoma kabisa. Leo nikawauliza vipi jana mliangalia TV ya mwamposa alipokuwa uwanja wa taifa? 😎 lengo niwafikishie ujumbe kwamba kila mtu anaabudu anachokiamini wawaache watu waabudu kwa raha zao. Mwamposa mkomeshaji wa shetani na vibaraka wake...ama watakoma!!!, naomba pia akaombe kibali pale ikulu ili waumini wakafanyie mkutano wa injili ikulu "ikulu ikaje upako"😛
 
Akili huna , Mwenyezi Mungu ni mmoja muumba mbingu , Ardhi na vilivyomo na kila kitu huyo hawezi kuwa Yesu .

Yesu ni Nabii wa Allah aliyetumwa kwa haki na apewa Injili ambayo ilikuwa muongozo kwa watu wake, miujiza yote ya kuponya watu nk hakufanya ila kwa idhini ya Allah Mola mlezi wa viumbe vyote.
Alah..ni takataka mbele ya Kristo Yesu.

Halafu acha kumwingiza huko kwenye dini ya waarabu tangulini wayahudi na waarabu wakawa ndugu.

#MaendeleoHayanaChama
 
majibu ya juha utayaona tu! tapeli linasema kesho njoo na makopo ya bia nitayaombea na kugeuka malori ya scania yenye teller , majuha kama wewe mnabeba makopo! Stupid!
Wewe mjanja unafanya nini kwenye comments za majuha.

#MaendeleoHayanaChama
 
hao huwezi kuwakomboa akili zimekufa mwanzo mwisho! Bladifakeni mwamposa nenda ocean road cancer hospital ufanye miujiza watu waamke kwenye vitanda na kwenda nyumbani!
Miujiza haikufuati unaifuata kwa imani..walioko huko wakiwa na imani watapona bila hata mwamposa kwenda hospitali.

#MaendeleoHayanaChama
 
Huko kwenye vilinge hutoagi sadaka??..unapoambiwa upeleke kuku mwekundu huwa unadhani ni zawadi ile.

Sadaka ni ibada.

#MaendeleoHayanaChama
Sadaka za huko hazisemwagi hizo ni sawa tu
 
Sadaka za huko hazisemwagi hizo ni sawa tu
Kwasababu mtoa sadaka nae hula alicho toa mf. Kunywa damu ya mnyama alio mtoa huko kilingeni na nyama hula wale wasimamizi wa kilinge ndio maana huwa siri.
 
Game kweli lime change, nakumbuka mwaka 2012 wakati bro gwaji anaingia kawe alikuwa anapiga mtu ile mbaya pale Tanganyika pacers, ila sasa hivi naona upepo kidogo umemkataa,, dambwe kwa sasa kalishikilia mwamposa, ila na yeye kama ni mpunga ndo apige mana upepo wake ukipita basi ajue tena basi asubiliena wengine,, kumbuka tulianza na mjomba kakobe, bro mzee wa upako, shangazi(marehemu rwakatale) etc..
 
Kwasababu mtoa sadaka nae hula alicho toa mf. Kunywa damu ya mnyama alio mtoa huko kilingeni na nyama hula wale wasimamizi wa kilinge ndio maana huwa siri.
Ndiyo huwa siri kubwa, pia wanavuliwa mpaka nguo lakini huwa siri ya mgonjwa na mganga, hivi hadi damu ya Sadaka yake anakunywa? Nilikuwa sijui .
 
Miujiza haikufuati unaifuata kwa imani..walioko huko wakiwa na imani watapona bila hata mwamposa kwenda hospitali.

#MaendeleoHayanaChama
Utawajua kwa majibu mepesi mepesi. Tapeli Mwamposa litaendela kuwavuna mapesa mpakaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom