Mkinga sio mtu wa kushindana nae kwenye Biashara!

Lipia TANGAZO
 
Picha iko wapi
 
Nieleweshe hapa?..napataje hela bank kwa kupitia ardhi.

#MaendeleoHayanaChama
nenda bank watakueleza zaidi sina muda wa kuandika magazeti
btw kuna mikopo ya wajasiriamali inatolewa na serikali je hujui pia?
 
Benki nako wana mahitaji yao. Mchanganuo bila kitu cha kuweka dharna na wala huna business financial report hupati mkopo.
dhamana si ardhi? au dhamana kwako mpaka iwe gari?
 
Ntafutie mkinga mwenye hisa kubwa kwenye benki kubwa(individually),nitajie mtanzania mweusi anaeongoza kwa kulipa kodi(kama ni mkinga),nitajie mkinga anaemiliki hisa kubwa kwenye kampuni ya ndege,nitajie mkinga anaemiliki kiwanda kikubwa ,nitajie hata kwa historia mkinga aliewai kutokea kwenye top ten ya wenye pesa bongo hata top thirty ......ukiniuliza kwa wachaga ntakutajia wote mkuu.....level waliopo wakinga sasa hivi wachaga waliipita miaka ya 80 kwenda 90
 
Ona ulivyokuwa mshamba Kwa kuangalia ndugu zako walipowekeza be smart enough nakupa home work na ukoo wako nitajie tajiri wa kichaga aliye hai aliepo top 20 ya mtajiri tanzania ukileta nakufa hapa hata miaka kumi mbele haitokei nasuburi mark my words

Hisa ni ushamba na defensive mechanism Kwa matajiri wa bongo hawana upeo nitafutie jibi hapo hisa bongo unaumwa kweli eti shirika la ndege kula ndizi utulie
 
Eti kiwanda unajua unasikia toka hapa 🀣🀣🀣mitambo ya gongo labda uchuuzi huo na kuwa vibaraka wenye viwanda wako nje leta hapa kweny list Kwa aliye hai akiwa top 20 Kwa pesa gani toa ushamba tembea uone eti hisa wapi we akili ndo imefikia mwisho mwenzio vunjabei anaingia mikataba ya kusupply jersey we una viji hisa ambavyo ni tangile huelewi lin utavuna washamba was mwisho kuweka hisa au Treasury bond ni kufail
 
Umeshindwa kunijibu kwanini nikujibu ....subiria jogoo atafune punje za mahindi
 

πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„

Viongozi wa kitaifa na matajiri ndio watakuambia Wachaga ni kina Nani lakini kapuku hawawezi kuwaelewa.

Uliza watu wazima hasa Baba yako atakuambia Wachaga ni kina Nani, maana naona unaongea vitu Kwa upeo Mdogo.

Au kamuukize JPM au Nyerere watakuambia,
 
Teh..teh ...eti anajipongeza kwa kunywa soda mbili? Umetisha Sana mkuu
 
Kama hawapo ni wewe na umaskini wako ndo unawaona Wana pesa viongozi wapi huyo kimei kasema ni watu wa magendo wapi wamesema ushazoea kutunga story tunaongelea uhalisia

Umaskini unakuchanganya 🀣🀣🀣
 
Kuna mstari mwembamba sana kati ya pesa na ushetani...
ndo umaskini unaanziaga hapaaaaa!! shetani yeye aliumbwa na nani???? hizi Dini hizi??....mwenzako anajua mitaaa ya mbinguni wewe je?
 
Nenda Kariakoo ukawajue vizuri sio unakaa tu Sitimbi huko, hujui kinachoendelea duniani.. Mkinga ni habari nyingine
Hao jamaa hawana maajabu kabisa.

Kuna mahali nilikua naishi hapo zamani jirani yangu alikua mkinga na biashara zake ndio hizo za maduka ya nguo kariakoo na anaagiza nguo china.

Kuna watu wapo huko china anaweka hela kwenye akaunti yao wanamtumia mzigo.

Mzigo ukikaribia kufika anapotea nyumbani anajifanya kasafiri nje ya nchi akienda kuupokea anajifanya ndio karudi.

Kumbe tunamchora tu.

Hapa bongo huwa tunadanganyana sana mambo mengi.
 
Nakubaliana na wewe. Yaani wengi NI kama madalali kwa niaba ya China, uturuki, India, Japan n.k
Masoud Kipanya angekuwa anatokea mikoa fulani ungesikia kelele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…