Mkinga sio mtu wa kushindana nae kwenye Biashara!

Hela za wakinga zimechafuka damu sana.
 

Mkuu kuna mambo huyaelewi vizuri kuhusu hii nchi itakuwaπŸ˜€πŸ˜€

Unapozungumzia kuhusu biashara hii nchi Wachaga ndio the Top, wewe unaleta biashara za nguo za milioni 100πŸ˜„πŸ˜„ hao unaitwa matajiri.

Biashara za Wachaga ambazo unaziita za wachuuzi

1. Sekta ya anga
Wachaga ni moja ya kabila yenye kufanya biashara ya anga Kwa kumiliki baadhi ya makampuni ya Ndege, mfano Kampuni za Precious Airlines na zamani Fastjet alikuwepo Lawrence Masha akiongoza kaa share nyingi za Hisa.

Huenda hata Ndege tuu hujapanda ya kutoka DSM kwenda kwenu MtwaraπŸ˜„πŸ˜„ hivyo huwezi elewa hizi mambo
Sasa Kama kumiliki biashara za usafiri wa Ndege ni uchuuzi Sawa.

2. Sekta ya usafirishaji na mabasi.
Wachaga ndio wanaongoza Kwa kumiliki makampuni ya mabasi,
travel agency za tour Guide, na hapa ni ukiachana na Wahindi na waarabu.


3. Sekta za Utalii, Mahoteli na STAREHE.
Wachaga ndio wanaongoza Kwa kuwa na mahoteli, sehemu za starehe na hii wengi Hufanya Kwa sababu ya kazi ya utalii.
Wengi WA Wachaga wanamakampuni ya Utalii hivyo wamejenga hayo mahoteli Kwa ajili ya wageni wao.
Usishangae Moshi na Arusha kuwa kinara wa utalii ukadhani sehemu zingine hakuna mbugaπŸ˜€πŸ˜€

Hizi mambo huwezi elewa.

4. Wakala wa vipuri vya magari.
Wachaga kwenye sekta za UWAKALA WA vipuri ndio wanashika namba moja, Kama wewe unayajua magari sio ajabu ukikuta chata kwenye Vipuri vya magari vikiwa vimeandikwa 7General/Saba General ndiye aliyekuwa wakala mkubwa wa vipuri vya Magari hapa nchini.


5. Biashara ya Magari
Wachaga ndio wanaongoza Kwa biashara za kuuza magari.
Sio ajabu Wachaga ndio kabila pekee ambalo atu wake wanajua Aina za magari kuliko kabila lolote hapa nchini.

6. Biashara za Shule.
Wachaga ndio kabila la Kwanza Kwa umiliki WA shule binafsi hapa nchini wakifukuziwa na Wahaya.

7. Nenda sekta za Fedha na Benki hasa pale CRDB alafu useme Wachaga ni wachuuziπŸ˜„πŸ˜„

8. Sekta ya madini

Tatizo lako unawajua Wachaga Wale wa Tabaka la chini na hii ni kutokana na unaishi mazingira ya namna hiyo.

Mimi sio mchagga Ila kwenye hii nchi utaanza na wahindi, waarabu, Wachaga alafu Sisi wengine tufuate.
 
kret moja la soda lina soda ngapi?? na hizo utazokunywa zitatoka wapi??

nieleweshe hapo
 
Kama hawapo ni wewe na umaskini wako ndo unawaona Wana pesa viongozi wapi huyo kimei kasema ni watu wa magendo wapi wamesema ushazoea kutunga story tunaongelea uhalisia

Umaskini unakuchanganya 🀣🀣🀣

πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„

Kawaulize wakinga wenyewe watakuambia Wachayni kina Nani na wanawachukuliaje.

Wakinga wenzako wanakuambia wamechelewa wanahangaika angalau wawafikie Wachaga, sasa hivi ndio wanafunguka wanapeleka watoto shule Kwa wingi za gharama, ndio wapo kwenye sekta hizo za kuuza nguo, mbao, na bidhaa zingine.

Bado hata hawajawahi kufikiria kumiliki Ndege, vyombo vya habari, kumiliki Vyama vya Siasa vyenye ushawishiπŸ˜€πŸ˜€
Wewe unazungumzia mambo madogo.

Unaposema Wachaga hapo unazungumzia Nyanja zote za maisha,
Wachuuzi wapo
Majambazi yapo
Wamiliki wa Vyama vya Siasa wapo
Wauza ngada wapo
Wasanii wa filamu wapo,
Wasanii wa Muziki wapo
Matapeli na madalali wapo
Hakuna Sekta ambayo mchagga hajaatawala.

Nenda njombe huko utakuta wanamashamba ya miti, miparachichi, nenda kahama huko utakutana nao,

Ingawaje bado nchi yetu ni masikini lakini hawa wajamaa hasa wa kipindi cha 80 Kurudi nyuma walikuwa Moto.
 
Jamaa. Angu sanga kijana msg tu anamiliki guest na magodown ya mpunga mwak jana kanunua semi truck yake kwa mchaga mmoja hv
 
Sawa ila top 20 mbona hawapo najua ni kabila kubwa Tz 🀣🀣🀣au mtamtaja marehemu

Izo biashara hazikufanyi uwe billionaire upambane na waarabu kibongo bongo

Nope jibu Kwa walio hai mbona top 20 hawapo then nikufundishe Kwa nn hawapo
 
Kila mtu afanye biashara zake nani anataka kushindana na mtu hapa.
 

Hao wakinga Wapo sasa?
 
Hao wakinga Wapo sasa?
🀣🀣🀣🀣Eti wanajulikana na viongozi wote wore wachuuzi vijana ambao ni inspiration kama vunjabei almaarufu mpaka ccm wanampa dili anapokea dili mpaka Simba SC taja wa huko kwenu kama tuone hapa labda wako forever living na kuandika poroja mitandaoni
 
🀣🀣🀣, ila hivi vituko
 
Wajinga wote mapembero!
 

Wenzako wanamiliki biashara za Ndege nimekutajia wewe unazungumzia biashara za nguo ambazo hata watu wa real estate wanawapiga bao.

Vunja Bei huyo yupo kundi la Mamilionea hajafika hata level ya bilionea MkuuπŸ˜„πŸ˜„
 
Ukienda sehemu yoyote Tanzania ukakuta hakuna Mchaga, Mkinga, Muha hilo eneo ondoka halina maajabu
 
[mention]ROBERT HERIEL [/mention] umejitahidi kueleza ukweli kabisa sema watu ni wabishi tu, Wakinga wanasifika sana ni kweli lakini ligi zao ni waha, kwa wachaga biashara za uchuuzi waliacha ndio hayo makabila ya waha na wakinga wakaanza kujua China na uturuki ni wapi lakini ukweli ni kwamba hata wasukuma hawasemwi lakini ni wapambanaji hasa upande wa madini japo tuwasifu wote wenye spirit ya utafutaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…