Top 20 mtaje Kuna mchaga ana miliki ndeg unaumwa wewe🤣🤣🤣Wenzako wanamiliki biashara za Ndege nimekutajia wewe unazungumzia biashara za nguo ambazo hata watu wa real estate wanawapiga bao.
Vunja Bei huyo yupo kundi la Mamilionea hajafika hata level ya bilionea Mkuu😄😄
hans macha 1.5% shares crdbOna ulivyokuwa mshamba Kwa kuangalia ndugu zako walipowekeza be smart enough nakupa home work na ukoo wako nitajie tajiri wa kichaga aliye hai aliepo top 20 ya mtajiri tanzania ukileta nakufa hapa hata miaka kumi mbele haitokei nasuburi mark my words
Hisa ni ushamba na defensive mechanism Kwa matajiri wa bongo hawana upeo nitafutie jibi hapo hisa bongo unaumwa kweli eti shirika la ndege kula ndizi utulie
🤣🤣🤣Tunataka tuone tajiri aliye hai pale top 20 eti share kitu gani wewe Wacha Mali daftari kabila kubwa mnakosa pale top 20 Kwa Sasa kelele eti biashara za ndege labda batahans macha 1.5% shares crdb
Riki Hotel& Bureau de change.hans macha 1.5% shares crdb
Ni mzunguko sana ndugu yangu hasa kwa biashara mpya inayoanza. Mimi nimejenga sheli imekamilika kila kitu bado mtaji wa kuweka mafuta tu. Nimeomba mkopo kwa dhamana ya ardhi huu mwezi wa nne sasa bado sijapata kisa ni biashara mpya haina hizo business financial report.dhamana si ardhi? au dhamana kwako mpaka iwe gari?
Top 20 mtaje Kuna mchaga ana miliki ndeg unaumwa wewe🤣🤣🤣
Hutaji porojo tu unaruka point uwezo wako wa akili bado hata aliyefundisha chuo hana uwezo was kunidanganyaWewe ndio hujui hata nchi hii inamakampuni mangali ya Ndege yanayo-operate.
Tatizo umasikini unaweza kukufanya usiwe na exposure hata ya mambo madogo Kama hayo
Mjinga kiwango Cha nakupa somo ujifunz3 unajua biashara za ndege hao ni travel agencies wengi kutokana na utalii wa maeneo ya huko na airport ya kimtaifaWewe ndio hujui hata nchi hii inamakampuni mangali ya Ndege yanayo-operate.
Tatizo umasikini unaweza kukufanya usiwe na exposure hata ya mambo madogo Kama hayo
Mjinga kiwango Cha nakupa somo ujifunz3 unajua biashara za ndege hao ni travel agencies wengi kutokana na utalii wa maeneo ya huko na airport ya kimtaifa
Wanafanya shughuli kama air ticketing kuwasaidia watalii hata katika kubadili pesa za kigeni
Kuandaa itinerary yaani zile routes zote vituo vya kupumzikia Kwa watalii
Wanaofanya huduma za ndege ni kampuni binafsi hata serikali mfano fly Emirates
Njoo useme sasa huyo anayemiliki na kufanya huduma za ndege ni nani Wacha kuwa mjinga
Watu tunasikitika top 20 baada ya kufa mengi hakuna mwingine kwa sasa unaleta porojo eti ndege wakati waarabu TU wamejaa pale taja bongo Nan ana ndege binafsi kama sio udalali na uchuuzi TU shubamit
Haaah so wanamiliki Wana hisa 🤣🤣🤣Ndio maana nikakuambia bado Uelewa wako upo chini.
Nenda kaangalie mmiliki wa Precious Airlines na Fastjet uje utoe majibu hapa.
TATIZO lako ni kuzungukwa na Masikini ndio maana unafikiri kimasikini
Utamjua mmiliki Fastjet alikuwa ni nani
Kasome hapa https://www.google.com/url?sa=t&sou...IoAXoECC0QAg&usg=AOvVaw0DT8YPCGd7cZZBcW9Tlljx
Nyuzi ya kuandikwa Hana izo ni kibaraka leta ushahidi hapa 🤣🤣🤣sio kampuni yake acha ujinga let sourc ya uwakika ukileta nafuta account yangu hakuna mchaga ana miliki ndegeNdio maana nikakuambia bado Uelewa wako upo chini.
Nenda kaangalie mmiliki wa Precious Airlines na Fastjet uje utoe majibu hapa.
TATIZO lako ni kuzungukwa na Masikini ndio maana unafikiri kimasikini
Utamjua mmiliki Fastjet alikuwa ni nani
Kasome hapa https://www.google.com/url?sa=t&sou...IoAXoECC0QAg&usg=AOvVaw0DT8YPCGd7cZZBcW9Tlljx
Haaah so wanamiliki Wana hisa 🤣🤣🤣
Sina shule ila huwezi kucompite na mm wewe elimu ya kuiba mitihani kucopt assignment Hadi research hata huna maajabu nope ugunduzi wako zaidi ya kutunga hadith sunguraNi Kwa sababu shule yako ni ndogo.
Hujui hata makampuni yanafanyaje shughuli zake.
Naamini huna hata biashara ya henge ndio maana hilo la makampuni linakushinda?
Unajua maana ya Hiss kwenye MAKAMPUNI au mashirika?
Leta ushahidi hapa Wacha kuleta nyuzi za kutunga eti hisaNi Kwa sababu shule yako ni ndogo.
Hujui hata makampuni yanafanyaje shughuli zake.
Naamini huna hata biashara ya genge ndio maana hilo la makampuni linakushinda?
Unajua maana ya Hisa kwenye MAKAMPUNI au mashirika?
Sina shule ila huwezi kucompite na mm wewe elimu ya kuiba mitihani kucopt assignment Hadi research hata huna maajabu nope ugunduzi wako zaidi ya kutunga hadith sungura
Katolea mfano sio lazma iwe ni maji, chochote kitu mkinga akifanya lazma atoboe kwa muda mfupiAcha kutudanganya mkuu.
Kuna viwanda vingapi vya maji vya wakinga.
Na tupe takwimu za utajiri kwa mkoa wa Iringa?? Ni ya ngapi kitaifa??
Kwenye orodha ya matajiri hapa Tanzania , wakinga ni wangapi?? Hakuna.
Stori za kuvuta muda tu hizi.
Leta ushahidi hapa Wacha kuleta nyuzi za kutunga eti hisa
Nan asiyejua hisa mm hata umlete professor Nampa logic wewe bado sana hats huko kwenu hakuna wakunidanganya hakuna mtanzania anamiliki ndege nimekuuliza pale top 20 yupo unaruka jibu swaliHaya jibu maswali niliyokupa hapo,
Hisa inamaana gani kwenye MAKAMPUNI au mashirika?
Sipo hapa kukompiti na wewe
Nan asiyejua hisa mm hata umlete professor Nampa logic wewe bado sana hats huko kwenu hakuna wakunidanganya hakuna mtanzania anamiliki ndege nimekuuliza pale top 20 yupo unaruka jibu swali
Hisa hata yule jamaa wa forex wa huko uchagni alisema ana hisa katika mabus Fulani kumbe hamna kitu hata gari Hana yeye
Hisa ni uwekezaji na umiliki wa asilimia Fulani katika biashara Fulani unakuwa unanunua Kwa thamani walizoweka Ili ikifika asilimia 100 wanakuwa washapata Ile capital ya uwekezeji the same na asilimia ya hisa uliyowekeza dividend kweny profits unagawiwa kutoka na asilimia ulizowekeza yaani Ile faida iliyopatika inategemea na makubaliano ya gawanyo labda kwa mwaka
Hisa zipo nyingi zinazouzwa katika initial stage na nyingine zinauzwa kutokana na watu kuuza au kujitoa katika biashara