iringa siku hizi joto kinoma kama dar sometime nenda kajioneeHeshima kwenu washikadau,
Tanzania ina mikoa mingi yenye hali ya hewa ya ubaridi mfano Mbeya,Arusha,Iringa n.k lakini mpaka leo sijajua ni mkoa upi una baridi kali kuliko yote Tanzania.Mwenye data za uhakika naomba anifute tongotongo juu ya hili
Karibuni
Huwa inafikia ngapi C ngapi?Nikiwa likizoni Makete June na July watoto huwa wanaweka maji nje kwenye suguria just for funny. ...asubuhi ni barafu. Chakula kinaweza kaa hata wiki bila kuchacha.....Unaweza pia amuka asubuhi kijiji kizima ni barafu maridhawa.....
Sema ni.wilaya ya kikuda sanaMbeya - Makete
Na Mimi nasema..Njombe Mjini
Njombe-makete
Iringa-Mafinga
kwingine kote ni baridi ya kawaida ila hizo sehemu muda wote mwaka mzima lazima uwe na blanketi
kuna sehemu ngorongoro panaitwa NAINOKANOKA kwa kiswahili-ukungu ukungukuna maeneo ya bonde la ufa sehem za mbulu ,karatu na ngorongoro pia kuna kipindi kuna baridi kali sana niliwahi kufika huko
watu hawapasemi kwa wingi kwasbb waliotembelea huko ikilinganishwa na njombe ni wachacheuko sahihi ngorongoro panatisha mkuu
Hiyo sehemu naijua ila panapazidi ngorongoro kweli, pale mamlaka,kimba na ile njia ya kuelekea Getini.kuna sehemu ngorongoro panaitwa NAINOKANOKA kwa kiswahili-ukungu ukungu
hiyo sehemu ni hatari pundamilia wenyewe nyakati za usiku hulala pembezoni mwa kuta za majumba ya watu ili kujikinga na upepo unao ambatana na baridi kali asante mkuu kwa kunikumbisha maeneo ya huko.
ni miezi ipi mkuu siku nikiwa fresh nikatembelee hukohiyo iko njombe makete mkuu, njombe inaongocggtza, kunakipindi hadi barafu inaanguka, majani na miti vinaungua kwa baridi kama vile imeunguzwa moto.mambo ya nyamuyuya
asante nilikua sijaiona hii nimeongea kitu ambacho kumbe kimesha ongelewa humu. wafike huko wajioneeMh. Hakuna sehemu ya baridi kama sehemu moja inaitwa nainokanoka ngorongoro. Kwingine kote mnatania tu. Huko hakuna cha mwezi wa sita wala wa saba. Ni full baridi muda wote. Jina lenyewe ni la kimasai lakini linamaanisha ukungu ukungu
maeneo ya getini na kabla ya geti hakuna lolote ni kawaida tu.Hiyo sehemu naijua ila panapazidi ngorongoro kweli, pale mamlaka,kimba na ile njia ya kuelekea Getini.
nimeishi hii sehemu ni hatari saana.
hahaah eneo gani mkuu? manake huko nako napajua nje ndaniManyovu-kigoma
FREEZERHeshima kwenu washikadau,
Tanzania ina mikoa mingi yenye hali ya hewa ya ubaridi mfano Mbeya,Arusha,Iringa n.k lakini mpaka leo sijajua ni mkoa upi una baridi kali kuliko yote Tanzania.Mwenye data za uhakika naomba anifute tongotongo juu ya hili
Karibuni
Tukuyu si mkoa wala wilaya bali ni makao makuu ya wilaya ya Rungwe.Necta ndo maana inawapa masifuri:O...umeulizwa mkoa unataja tukuyu.hivi tukuyu ni mkoa?mxxxx
kwa tanzania hii hakuna sehem yenye baridi kama hiyo.
Sikia tu hiyo sehem yaitwa Kitulo Makete inaenda mpaka mbeya,shidaaa