Mkoa upi hapa Tanzania wenye vitu vya asili kwa wingi vyenye Ladha nzuri?

๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†Ingekua ni jangwa wasingeongoza kwa kilimo cha Zabibu,Karanga,Mtama,Uwele,Rosella,Tende,Ufuta,Mbaazi n.k.
-Umewahi kusikia soko la kimataifa la Mahindi+ nafaka Kibaigwa
Mazao ukiyotaja yote ni mazao yanayolimwa semehu yenye nusu jagwa.
 
Kumbe ni wasingidani !.. hongera sana.. Japo toka nisikie vijiji vyenu ni makao makuu ya nyoka. Stimu ilikata kabisa hata kupatembelea ๐Ÿ˜
 
Kama inapitia vipindi virefu vya mapumziko bila kulimwa kwa ukosefu wa mvua , lazima ardhi iwe na rutuba , sehemu nyingne zinazotumia mbolea ya kuwekwa unakuta linalimwa hata kwa mwaka mara tatu kama kilimanjaro , ardhi haina mapumziko lazima uongezee mbolea ya mifugo kidogo .
 
Dodoma hasa Kondoa bado vitu ni vya asili hata ukila ugali wa mahindi wa Kondoa ni tofauti sana na maeneo mengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ