Mkoa upi hapa Tanzania wenye vitu vya asili kwa wingi vyenye Ladha nzuri?

Nipo Hapa Morogoro, Ukienda Kiloka Unachotaka Utapata Vingi Sana
 
Ndio hali inayotokea Iringa na Mbeya... ardhi inawekwa mbolea kiasi wasipoweka hawapati kitu.
 
Kumbe ni wasingidani !.. hongera sana.. Japo toka nisikie vijiji vyenu ni makao makuu ya nyoka. Stimu ilikata kabisa hata kupatembelea 😁
Ndugu yake Tundu Lissu to be specific, πŸ˜…

Hamna nyoka yoyote we njoo bana tukupikie mlenda mweusiii πŸ˜‚
 
Kwa hiyo binti umeona mimi ni wa kukaribishwa mlenda mweusi kuliko kuku aliyenona 😁
Hivi eenhee nilisahau tuna kuku!! Kuna mama yangu mdogo kijijini, ana kuku kibao halafu hachinji, ila tukifika sisi anachinja double double,.

Mgeni njoo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…