Mkoa wa Arusha machinga wawapiga wenye maduka

Kipo kitu ambacho kama taifa TUMEJIFUNZA KWA FAIDA YA UBORA WA KESHO NA KUENDELEA.....

#SiempreJMT
 
Machinga lazima wafuate sheria kama raia wengine nchi hii, kwa nguvu ama kwa hiyari, wakileta vurugu tunawawahisha wakaungane na baba yao mwendazake
 
Yaani watu sijui wanawazaje inaweza ikawa ndiyo njia ya chaos ambayo haujawahi kutokea

Maana hao machinga ni wengi sana yaani ni wengi
Mma wa overrate wamachinga. Mnawapa too muchcredit. Hawapo wengi kiasi hiko na serikali ikiwa serious inawaondoa na hakuna vurugu wataleta.
Hii issue imekaa kisiasa zaid.. politics zikiingia kwenye mambo muhim huvuruga kila kitu
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]nimecheka hadi nmepaliwa
 
Kwanza kabisa kichwa cha habari hakifanani na kilichoandikwa ndani. Pili lugha fasaha imepaa angani
 
😘😘😘😎
 
Serikali ikiamua kukaza hakuna atayetoboa
 
Tozo ndugu Tozo
 
Tumefikaje huku[emoji848] TRA wakunyanyase,umeongezewa na Tozo juu, halafu kumwambia mtu asifanyie biashara mbele ya fremu unayoilipia anataka kuchoma Duka lako?[emoji36]
Si jana tu tuliambiwa mnatoa kwa hisri mpaka kukusanya 1.9Tr
 
Toka miaka hiyo prof Jay anaimba ugomvi wa machinga na mgambo hadi leo tunahangaika na ishu ya machinga.

Nchi fulani ya kipumbavu sana.
Sema serikali haijawaamulia kamata kiongozi wa machinga anayewapa jeuri binya kende uone kama hawatotii sheria, huu ujinga huwezi usikia rwanda.
 
Hivi hawa machinga wanajiamini nini??
Waloshaaminishwa kwamba nchi ni ya wanyonge hii?
Cc hatuvai barakoa kwa sababu kama wamachinga tu. Magufuli alikuwa mtu wa hivyohivyo sana!
 
Hao machinga walimvamia jamaa kama pilipili na kuuza kurusha matusi makubwa kwa yule mfanyabiashara..na ingekuwa sio polisi walikuwa wanataka kuchoma duka la yule mfanyabiashara.
ukitaka kuishi kwa amani usimguse machinga hata kama atapanga bidhaa zake nje ya dirisha la chumba chako.
 
Tatizo chinga siyo chinga unakuta kuna mhuni anakodisha space mbele ya mwenye duka na anachukua yeye kodi na si mwenye duka
 
Sula la Machinga si la jana au juzi, tangu enzi hizo hata waliwahi kusababisha kifo cha Kiongozi wa Mgambo wa jiji.

Na tusipotumia akili tutaendelea kuteseka nalo.

Wenye Mamlaka waache kujifungua, wanunue mawazo hata kutoka nje huko ya nchi.

Nasisitiza tukitumia akili ila kitu kitakuwa sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…