The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Acha wawapige
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipo kitu ambacho kama taifa TUMEJIFUNZA KWA FAIDA YA UBORA WA KESHO NA KUENDELEA.....Hapo vip!!
Katika pitapita zangu nilishuhudia machinga wakitaka kumchomea moto mfanyabiashara mmoja pale Ngulelo stand.
Na ugovi ulianza baada ya mfanya biashara yule kuwambia waondoe mabanda mbele ya duka lake kwasababu anashindwa kufanya biashara.
Hao machinga walimvamia jamaa kama pilipili na kuuza kurusha matusi makubwa kwa yule mfanyabiashara..na ingekuwa sio police walikuwa wanataka kuchoma duka la yulebmfanyabiashara.
Hili swala la kudhagaa kwa machinga tulisichukulie mdhaha kabisa kwasababu wafanyabiashara wanaolipa kodi ya serikali wanapata wakati mgumu sana...kiasi kwamba wengine wanaamua kufunga biashara kwa mazingira hayo.
Nina imani tokea machinga waanze kuzagaa zagaa kunawafanyabiashara wengi wafunga biashara zao kwasababu ya tatizo hili na serikali ikapoteza mapato au kodi ambayo ingetumiwa na serikali kughara elimu,afya za hao watoto wamachinga.
Ki ukweli ule ugomvi wakuta kumshambulia yule mfanyabiashara wa ngulelo ulinigusa sana..haikuwa haki hata kidogo.
Nimeona niandike hili kwasababu serikali ipo kama inaogopa kuchukua hatua katika hili swala..pasipo kupepesa macho machinga ni tatizo.
Ya mchelea mwana kulia.....Tumefikaje huku🤔 TRA wakunyanyase,umeongezewa na Tozo juu, halafu kumwambia mtu asifanyie biashara mbele ya fremu unayoilipia anataka kuchoma Duka lako?😤
Samia nae haeleweki mkuu, anasema eti wapangwe, utawapangaje sasa huo utitiri wa watuWanasiasa kama Ummy Mwalimu ndo wanakwamisha utoaji wa machinga kwenye maeneo mbalimbali. Njia pekee ya kuondoa wamachinga ni kutumia nguvu tu!
Machinga lazima wafuate sheria kama raia wengine nchi hii, kwa nguvu ama kwa hiyari, wakileta vurugu tunawawahisha wakaungane na baba yao mwendazakeNaona Lile gang la wafanyabiashara na mafisaci limejipanga kweli kipropaganda kwa kueneza uzushi wa kinachodaiwa ubaya wa machinga kwamba wasifanye biashara mitaani...haya endeleeni na propaganda hizo kwani kikinuka propaganda hizo mtazifanya mkiwa uvunguni mwa vitanda...
Mma wa overrate wamachinga. Mnawapa too muchcredit. Hawapo wengi kiasi hiko na serikali ikiwa serious inawaondoa na hakuna vurugu wataleta.Yaani watu sijui wanawazaje inaweza ikawa ndiyo njia ya chaos ambayo haujawahi kutokea
Maana hao machinga ni wengi sana yaani ni wengi
Kwanza kabisa kichwa cha habari hakifanani na kilichoandikwa ndani. Pili lugha fasaha imepaa anganiHapo vip!!
Katika pitapita zangu nilishuhudia machinga wakitaka kumchomea moto mfanyabiashara mmoja pale Ngulelo stand.
Na ugovi ulianza baada ya mfanya biashara yule kuwambia waondoe mabanda mbele ya duka lake kwasababu anashindwa kufanya biashara.
Hao machinga walimvamia jamaa kama pilipili na kuuza kurusha matusi makubwa kwa yule mfanyabiashara..na ingekuwa sio police walikuwa wanataka kuchoma duka la yulebmfanyabiashara.
Hili swala la kudhagaa kwa machinga tulisichukulie mdhaha kabisa kwasababu wafanyabiashara wanaolipa kodi ya serikali wanapata wakati mgumu sana...kiasi kwamba wengine wanaamua kufunga biashara kwa mazingira hayo.
Nina imani tokea machinga waanze kuzagaa zagaa kunawafanyabiashara wengi wafunga biashara zao kwasababu ya tatizo hili na serikali ikapoteza mapato au kodi ambayo ingetumiwa na serikali kughara elimu,afya za hao watoto wamachinga.
Ki ukweli ule ugomvi wakuta kumshambulia yule mfanyabiashara wa ngulelo ulinigusa sana..haikuwa haki hata kidogo.
Nimeona niandike hili kwasababu serikali ipo kama inaogopa kuchukua hatua katika hili swala..pasipo kupepesa macho machinga ni tatizo.
kudhagaa
thawamdhaha
😘😘😘😎Hapo vip!!

Tozo ndugu TozoHapo vip!!
Katika pitapita zangu nilishuhudia machinga wakitaka kumchomea moto mfanyabiashara mmoja pale Ngulelo stand.
Na ugomvi ulianza baada ya mfanya biashara yule kuwambia waondoe mabanda mbele ya duka lake kwasababu anashindwa kufanya biashara.
Hao machinga walimvamia jamaa kama pilipili na kuuza kurusha matusi makubwa kwa yule mfanyabiashara..na ingekuwa sio polisi walikuwa wanataka kuchoma duka la yule mfanyabiashara.
Hili swala la kudhagaa kwa machinga tulisichukulie mzaha kabisa kwasababu wafanyabiashara wanaolipa kodi ya serikali wanapata wakati mgumu sana...kiasi kwamba wengine wanaamua kufunga biashara kwa mazingira hayo.

Si jana tu tuliambiwa mnatoa kwa hisri mpaka kukusanya 1.9TrTumefikaje huku[emoji848] TRA wakunyanyase,umeongezewa na Tozo juu, halafu kumwambia mtu asifanyie biashara mbele ya fremu unayoilipia anataka kuchoma Duka lako?[emoji36]
Sema serikali haijawaamulia kamata kiongozi wa machinga anayewapa jeuri binya kende uone kama hawatotii sheria, huu ujinga huwezi usikia rwanda.Toka miaka hiyo prof Jay anaimba ugomvi wa machinga na mgambo hadi leo tunahangaika na ishu ya machinga.
Nchi fulani ya kipumbavu sana.
Waloshaaminishwa kwamba nchi ni ya wanyonge hii?Hivi hawa machinga wanajiamini nini??
ukitaka kuishi kwa amani usimguse machinga hata kama atapanga bidhaa zake nje ya dirisha la chumba chako.Hao machinga walimvamia jamaa kama pilipili na kuuza kurusha matusi makubwa kwa yule mfanyabiashara..na ingekuwa sio polisi walikuwa wanataka kuchoma duka la yule mfanyabiashara.
Nchi ni yetu soteArusha bang Sana kila mtu anatumia
USSR
Tatizo chinga siyo chinga unakuta kuna mhuni anakodisha space mbele ya mwenye duka na anachukua yeye kodi na si mwenye dukaHapo vip!!