Mkoa wa Arusha una wilaya masikini sana

Baada ya wasukuma kukutafuna na kukuacha bila malipo basi hasira zako zote unadhani kila anaeponda Arusha ni msukuma.

Arusha ni mji wa kulinganisha na vimji vidogo vidogo kama Runzewe, Manyoni, Igunga ama hata Tinde.

Njombe ishaipiga chini Arusha muda mrefu.
wasukuma bana eti Kahama imeipiga chini Arusha nyeyenye View attachment 2093722
 
Arusha huwezi fananisha na hiyo mikoa yenu takataka....hizo wilaya umezitaja zote za Longido, Monduli, Loliondo, Ngorongoro ni wilaya za wafugaji ( wamasai), ambao maisha yao ni ya kuhamahama...ajabu nini sasa? Acha kuaminisha watu uongo
 
Ni kweli mdau anacho sema mimi nimezaliwa arusha naishi arusha napajua arusha kwa kila kitongoji mji wa arusha kwanza haujapimwa barabara za mitaa ukiwa na gari huwezi kupishana na boda sembuse makazi horera na nyumba za kale kama pele ngarenaro ni klm 1 toka katikati ya jiji hapo hujaenda matejo hukaenda esso unga ltd yani ni paajbu sana tatizo la wakazi wa arusha hawatembei sana akitembea sana kaenda dar kwahiyo hayo unayo sema lazima abishane kwakuwa hajatembea miji mingine

Sent from my ONEPLUS A3003 using JamiiForums mobile app
 
Arusha ni takataka kabisa yani ukifika tu Ngarenaro unakutana na magofu nyumba mbavu za mbwa, vijana wengi wa Arusha hawajatembea hapa Tz wao ni kuishi Arusha kunywa dadii,kula Ugoro basi ila Arusha ni pa ovyo tu
 
Bado watakupinga
 
Katika mkoa/jiji linaloongoza kufunguliwa thread kila uchwao ni Arusha.

Kuna mtu ka notice jambo hapo?
Ni kweli, najaribu kujiuliza ni kwanini?Au ni masalia ya mwendazake?maana jamaa alikuwa hakubaliki huko ndio akaamua kuteua majambazi yafanye kazi
 
Nimeishi Arusha na kutembea wilaya zote. Mleta mada anasema uongo kwa sehemu na ukweli kwa sehemu. Ngorongoro ni wilaya yenye wamasai wengi, wasonjo ni sehemu ndogo sana ya watu wa ngorongoro. Arusha hata kabla ya kugawanywa ilikuwa ni mkoa wa wafugaji kwa asilimia kubwa. Wafugaji wanamind ufugaji, maisha yao ni mifugo kwa sana sio majumba na magari, huo ndio uirithi na ufahari wao.

Ni kweli Arusha haikui kwa kasi, lakini kahama bado sana kuilinganisha na Arusha. Kahama kibiashara kuna mzunguko mkubwa ila bado kwa ujumla wake.

Sifia jiji la Mwanza, Dodoma na kwingineko....labda Kahama inaweza kuja in the next 50 years kwa sababu wana rasimali muhimu zaidi ya arusha inayotegemea utalii na Tanzanite kama vyanzo vikubwa vya mapato. Kahawa imepotea...mahindi, maharagwe na ngano kwa sasa viko Manyara

Labda horticulture inaweza kuibeba Arusha ingawa vihamba style ya uchagani na udogo wa eneo lenye maji na ukijani nalo ni changamoto
 
Nimewahifika ni katibu na msumbiji
 
Mifugo yenyewe inakufa,hapo umesahau Ngorongoro.
 
Unaongelea miaka ya 90
 
Hata Mwanza ina sifa kama Arusha, tofauti na mjini Mwanza ,Wilaya zake zote ni hovyo na maskini wa kutupwa.
 
Ni kweli kabisa, ni kasehemu kadogo tu kamjini ndiko kana unafuu. Unapewa tu hype ila uko sawa tu na mikoa mingine mingi ya Tz.
 
Mkuu inamaana miaka 5 inatosha Karatu au Kahama kuipiku Arusha kama zikipewa attention?
Hivi mkuu umeshakwenda pale Halmashauri ya jiji wakakuonyesha mipango ya mji kama Bondeni City nk
Anavuta bangi aliyetoa hiyo comment
 
Hii inaonyesha mipango miji ya arusga na nchi hii hawana akili kabisa matope vichwani

Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app
 
Uchochezi huu
 
Mkuu utakuwa hujaelewa mleta Mada anasema Arusha mjini wapo vizuri ukilinganisha na wilaya zake zina Hali mbaya kiuchumi kama monduli longido na ngorongoro tofaut na Ruvuma pale songea na wilaya zake hamna tofaut kubwa Sana ya uchumi na wilaya zake kama namtumbo mbinga tunduru na kipato cha wananchi wake hakina gape kubwa Kama Arusha mjini na longido
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…