ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #141
Post vizuri attachment Yako nije nikupe shuleHakuna cha kujadili, kama unataka kusikilizwa wewe tu tutajadili nini unadhani. Hutaki kusikia wengine wanasema nini, umeshikilia kile unachoamini wewe.
Huna shule yoyote, kichwani mweupe kabisa, ulichojaaliwa ni ubishi tuPost vizuri attachment Yako nije nikupe shule
Mbna ziko pa1.Ruvuma,Njombe, Mbeya weka pamoja.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama issue ni Milima basi Morogoro au Kilimanjaro au Arusha zote zingekuwa Nyanda za Juu..
Nakwambia Muingiliano wa Kijamii ni mkubwa Dom kuliko Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini..
Watu wa Iringa vipi mnakataa ndugu zenu? Nendeni Dom huko
Matusi ya nini mkuu hoja hupingwa kwa hojaBoya wewe hakuna kitu unajua
Hata Rukwaa enyewe isiwepo huku juu kusini, iwepo huko magharibi.Naunga mkono hoja. Nyanda za juu kusini inajumuisha Rukwa. Sisi Iringa Mkutano ukianyika Sumbawanga tunatembea umbali wa km zaidi ya 700 kufika.
OK sawa, maana tunachobishania hakina hata tijaSasa kama ni ishu ya kuin,Iringa haipo Kusini bali central ,kwani hujaona ramani?
Weka ramani acha porojo MkuuIla ukiangalia kiundani zaidi kwa jiografia ya nyanda za juu kusini mkoa ambao upo katikati ni njombe kwa nini nasema hivo tunachukulia junction ya makambako ukitoka makambako hadi iringa ni km 164 ,makambako mbeya 172km ,makambako had songwe 274 ,makambako ruvuma km 292 na distance ya makambako tunduru ni sawa na makambako sumbawanga na mkoa wa iringa una mwingiliano mkubwa zaidi na njombe na si mbeya na ndo maana hata soko la Kanda la mazao nyanda za juu kusini wanajenga makambako ,matank ya ku supply mafuta yanajengwa makambako, NFRA nyanda za juu kusini ipo makambako ingawa now wameongeza matawi na ukifuata histori hata wazee walishaliona Hilo ndo maana iringa ndo ilikuwa makao makuu ya nyanda za juu kusini yakaja kuhamishwa na kupelekwa mbeya ambapo kiuhalisia sio katikati
Jaribu kufuatilia vizuri uundaji WA Kanda na kwanini walianzisha miji ya mkakati kwa nyanda za juu kusini kijiografia mbeya sio katikati huo ndo uhalisia imagine wakajenga soko la mazao mkoa WA njombe , wakaweka logistic hub ana hajagani mtu WA iringa kwenda dodoma na hii mada ilishajadiliwa siku nyingi SanaWeka ramani acha porojo Mkuu
Sasa Njombe kwamba Iko Katikati ihamishiwe Dom au? Katikati Kwa muktadha gani? Kwa kuwa tayari Makao Makuu ya Kanda yanajulikana hiyo sio kesi tena..
Mambo ya Maghala ya nrfa yapo kuanzia Katavi, Sumbawanga,Songwe, Makambako,Ruvuma ndio kabisaa..
Soko la Kanda ndio soko gani ikiwa Tunduma na Mimba wameshajenga masoko makubwa ya kimkakati ya mazao ya nafaka?
Njombe Ina Muingiliano mkubwa na Iringa ipi? Wilaya ya Makete,Ludewa na Wanging'ombe ni kama za Mbeya so no way Iringa ndugu zake Wagogo..
Hoja yangu Iko pale pale,Iringa ihamishiwe Kanda ya Kati,Dom pale wanajenga Logistics kubwa hakuna mtu wa Iringa atafuta bidhaa Mbeya au Dar Wakati anaweza pata hapo Dom Kwa bei rahisi zilizoletwa na Sgr ikizingatiwa Iringa Dom ni jirani.
Rukwa ni Nyanda za Juu Kusini pure maana inafanana mazingira,utamaduni na aina za shughuli za kiuchumi na Nyanda za Juu Kusini.Hata Rukwaa enyewe isiwepo huku juu kusini, iwepo huko magharibi.
Mbeya sio Katikati na hawafuati Katikati ila Waliamua Mji mkubwa na ulioko sehemu ya kimkakati ndio kigezo..Jaribu kufuatilia vizuri uundaji WA Kanda na kwanini walianzisha miji ya mkakati kwa nyanda za juu kusini kijiografia mbeya sio katikati huo ndo uhalisia imagine wakajenga soko la mazao mkoa WA njombe , wakaweka logistic hub ana hajagani mtu WA iringa kwenda dodoma na hii mada ilishajadiliwa siku nyingi Sana
Hata gari za njombe iringa zipo za kutoshaWeka ramani acha porojo Mkuu
Sasa Njombe kwamba Iko Katikati ihamishiwe Dom au? Katikati Kwa muktadha gani? Kwa kuwa tayari Makao Makuu ya Kanda yanajulikana hiyo sio kesi tena..
Mambo ya Maghala ya nrfa yapo kuanzia Katavi, Sumbawanga,Songwe, Makambako,Ruvuma ndio kabisaa..
Soko la Kanda ndio soko gani ikiwa Tunduma na Mimba wameshajenga masoko makubwa ya kimkakati ya mazao ya nafaka?
Njombe Ina Muingiliano mkubwa na Iringa ipi? Wilaya ya Makete,Ludewa na Wanging'ombe ni kama za Mbeya so no way Iringa ndugu zake Wagogo..
Hoja yangu Iko pale pale,Iringa ihamishiwe Kanda ya Kati,Dom pale wanajenga Logistics kubwa hakuna mtu wa Iringa atafuta bidhaa Mbeya au Dar Wakati anaweza pata hapo Dom Kwa bei rahisi zilizoletwa na Sgr ikizingatiwa Iringa Dom ni jirani.
Mkoa wa iringa una wilaya tatu wilaya inayofanana na Dom ni iringa dc kilolo eneo lao kubwa wanalima miti ,chai nk hivo hivo na mufindiMbeya sio Katikati na hawafuati Katikati ila Waliamua Mji mkubwa na ulioko sehemu ya kimkakati ndio kigezo..
Kigoma imekuwa Makao Makuu ya Kanda ya Western sio ishu ya Katikati ila Mkoa wa kimkakati ambao unafikiwa na Kutegemea na Mikoa mingine kirahisi..
Mbeya inategewa na Mikoa hii mingine sana kuliko Iringa,Iringa ilishajitenga kule and so Kwa kuwa Dom ndio jirani kwake na influence yake huko ndiko kunaifaa ,sijajua Kwa nini Wahehe wanakataa kuwa sehemu ya Central Zone wakati makabila,giografia na hali ya hewa vinaingiliana sana.
Hazizidi za Iringa-Dom ,Hadi saa 4 usiku unapata Bus.Hata gari za njombe iringa zipo za kutosha
Ukiacha Mufindi,hizo zingine kama Kilolo in upande wa mvua na upande wa ukame eg Ilula Hadi mpakani na Moro ni purely Dom climate type..Mkoa wa iringa una wilaya tatu wilaya inayofanana na Dom ni iringa dc kilolo eneo lao kubwa wanalima miti ,chai nk hivo hivo na mufindi
Hivi unajua gari za njombe iringa ni nyingi kuliko njombe to mbeya na bado saiz mbeya iringa gari zimeongezeka Sana kampun ni nyingiHazizidi za Iringa-Dom ,Hadi saa 4 usiku unapata Bus.