ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #81
Kwani unavyotoka Iringa au Morogoro kuitafuta Dodoma unashuka au unapanda?Unavopandisha kitonga kuitafuta vzr iringa ndio utajua iringa ni nyanda za juu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani unavyotoka Iringa au Morogoro kuitafuta Dodoma unashuka au unapanda?Unavopandisha kitonga kuitafuta vzr iringa ndio utajua iringa ni nyanda za juu...
Haelewi kwamba Chief mkwawa wa uhehe alipata kuoa binti wa chief Merere wa Usangu.Yan huwez kututenga na watu wa njombe tunaoongea rugha moja au watu wa usangu tunao ongea rugha moja huo ni ukichaa
Sababu nilizokutajia hapo Juu ndio uhalisia,wangekuwa wanaingiliana kama unavyodai wewe hata Mkoa usingegawanywa Kwa kufuata makabila..Sijui Kuhusu hayo mengine ila mimi nahisi sababu za kijamii na kiutamaduni ndio hasa zinazounganisha mikoa hii ya nyanda za juu kusini. Kwa ufahamu wangu nafikiri wahehe wanafanana zaidi na watu wa Njombe na Mbeya kuliko wwnavyofanana na watu wa Dodoma na Singida. Kwa hiyo mtoa mada unataka kusema idadi ya wagogo waliopo Iringa inazidi idadi ya wabena na wakinga?
Wahehe na Wakinga au Wabena wanaongea lugha Moja ipi?Yan huwez kututenga na watu wa njombe tunaoongea rugha moja au watu wa usangu tunao ongea rugha moja huo ni ukichaa
Mzee Usangu Iko Mbeya Wala haiko Iringa,kuoleana hata Sasa watu wanaoleana ila ukweli ni kwamba Watu wa Iringa ndugu zao Wagogo.Hae
Haelewi kwamba Chief mkwawa wa uhehe alipata kuoa binti wa chief Merere wa Usangu.
Wahehe na Wakinga au Wabena wanaongea lugha Moja ipi?
Naelewa ndo maana niliandika na udugu na mpwapwa naujuaHae
Haelewi kwamba Chief mkwawa wa uhehe alipata kuoa binti wa chief Merere wa Usangu.
Kwani Wasukuma na wanyamwez wanaongea lugha tofaut?Wahehe na Wakinga au Wabena wanaongea lugha Moja ipi?
Kama issue ni Milima basi Morogoro au Kilimanjaro au Arusha zote zingekuwa Nyanda za Juu..unatakiwa kuwa na heshima kidogo. kwahiyo unataka kuiunganisha iringa na singida na dodoma? unaelewa maana ya nyanda za juu kusini? iringa ni nyanda za juu (milimani), dodoma kuna nyanda? singida kuna nyanda? wamekuchosha nini?
Tutafute muwekezaji kwanza wa hii kanda ya kati ndo tumuongezee iringaTukimaliza suala la bandari tutashughulika na hilo suala lako
Ndio maana kuna Wasukuma na WanyamweziKwani Wasukuma na wanyamwez wanaongea lugha tofaut?
Kama mbaelewana Kwa hiyo wabena Huwa wanasalimiana kamwene au mapembero si ndio?Basi we hujui ila si tunaelewana vizuriiii
Mkuu yaani ukifika usangu uongee kihehe wana kisikia fresh kwa kuwa rugha yao ni kama kibena tuu. Ko sie huku ni wamoja ila hao kina Mwigulu hatuwajui. Kwanza wanatishaMzee Usangu Iko Mbeya Wala haiko Iringa,kuoleana hata Sasa watu wanaoleana ila ukweli ni kwamba Watu wa Iringa ndugu zao Wagogo.
Kama mbaelewana Kwa hiyo wabena Huwa wanasalimiana kamwene au mapembero si ndio?
Kwa hiyo shida ya Iringa kutoendelea ni kuunganishwa na mikoa ya nyanda za juu kusini? Au siyo? Basi tuipeleke kati. Tuunganishw na Morogoro, Manyara, Singida, Iringa na Dodoma, ili kuleta maendeleo. Au siyo?Mikoa 26 ya Tanzania Bara imegawanywa kwenye Kanda 7 za Kiutawala.
Mkoa wa Iringa Kwa Sasa uko Kanda ya Nyanda za Juu Kusini.
Ingefaa Kwa Serikali kuiondoa Iringa Nyanda za Juu Kusini na kuihamishia Kanda ya Kati Kwa sababu zifuatazo
1.Sababu za Kijiografia.
Mkoa wa Iringa u ko jirani na Dodoma Makao Makuu ya Nchi na Kanda ya Kati kuliko Mbeya(Makao Makuu ya Nyanda za Juu Kusini).
Kutoka Iringa Hadi Dodoma ni km 260 vs Iringa Mbeya km 350.As we speak Iringa na Dodoma Ina Muingiliano mkubwa wa Watu via usafiri kuliko Iringa na Mbeya,so ni sahihi Kwa Iringa kuwa included Central Zone.
2.Sababu za Kijamii(Muingiliano wa Kikabila)
Kabila la Wagogo ambao ndio kabila kuu la Mkoa wa Dodoma pia linapatikana Kwa Baadhi ya maeneo ya Iringa hasa Wilaya ya Iringa hivyo Muingiliano wa Kijamii na Kitamaduni ni mkubwa baina ya Iringa na Dodoma kuliko Iringa na Mbeya..Aidha Kabila la Wahehe pia wapo Dodoma..
3.Sababu za Kimazingira.
Iringa Ina Haki ya hewa ya semi -Arid (Nusu jangwa) sawa sawa kabisa na hali ya Dodoma au Kanda ya Kati kiukumla.
Ukitoa Wilaya ya Mufindi na Baadhi ya maeneo ya Kilolo ,Iringa yote ni Semi Arid..
4.Sababu ya Kiuchumi/Biashara na Kijamii.
Mkoa wa Iringa unategemea Huduma zake nyingi kutoka Dodoma na Dar lakini sio Mbeya kutokana na kuwa jirani na Dodoma..
Sasa Kwa sababu hizo ni Wazi Iringa inafaa iwe Kanda ya Kati badala ya kuwa Nyanda za Juu.
Kwenye Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini ni Iringa Pekee ambako unaweza Kuta nyumba za udongo na nyasi ambazo zinapatikana Kwa wingi Dodoma,Singida na maeneo ya Kanda ya Ziwa na Pwani huko..View attachment 2657397
Acha habari zako,ndugu zenu ni Wagogo ambao wapo Dom na Iringa,Wahehe wapi Dom na Iringa pia..Mkuu yaani ukifika usangu uongee kihehe wana kisikia fresh kwa kuwa rugha yao ni kama kibena tuu. Ko sie huku ni wamoja ila hao kina Mwigulu hatuwajui. Kwanza wanatisha
Ipelekeni huko huko mnakotaka kama hamtaki ndugu zenu wa Dodoma..Kwa hiyo shida ya Iringa kutoendelea ni kuunganishwa na mikoa ya nyanda za juu kusini? Au siyo? Basi tuipeleke kati. Tuunganishw na Morogoro, Manyara, Singida, Iringa na Dodoma, ili kuleta maendeleo. Au siyo?