Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 1,907
- 3,560
Ndio ukiona jamii ina life Span kubwa jua ni moja ya indicator ya maendeleo niMimi elimu yangu sio ya wizi wa mitihani kama wazazi wako 😀 😀 😀Kuwa na wazee ni jambo la kujisfu kama Italy?
Ukishindwa kushindana lazima utafute kisingizio. Go and hang yourself Sir.Walevi na wezi wa mitihan
Mleta uzi, kwanza fafanua takwimu zako vizuri yaani huko kuna vibibi vingapi? na vibabu vingapi?, ndo tujue tunachangia vipi hizo takwimu unazozisifia.Kama kichwa chá Habari kisemavyo,kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022,Mkoa WA Kilimanjaro unaongoza Kitaifa Kuwa na watu wenye umri WA miaka 65 na Zaidi na kufanya Kuwa kinara wa Mkoa wenye watu wanaoishi umri mrefu Zaidi
Je unadhani ninini sábabu ya watu WA Mkoa Huu kuishi umri mrefu?
Chanzo:Azam News
Refer takwimu za Sensa 2022 hakuna utofauti ratio wa wanaume kwa wanawakeMleta uzi, kwanza fafanua takwimu zako vizuri yaani huko kuna vibibi vingapi? na vibabu vingapi?, ndo tujue tunachangia vipi hizo takwimu unazozisifia.
Hapa kwa ni asilimia kwa jumla ya wakazi wote wa Kilimanjaro basi sio takwimu za kujisifu kwa maana vijana wa huko na watu wa makamo wako mikoani kutafuta maisha!Kama kichwa chá Habari kisemavyo,kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022,Mkoa WA Kilimanjaro unaongoza Kitaifa Kuwa na watu wenye umri WA miaka 65 na Zaidi na kufanya Kuwa kinara wa Mkoa wenye watu wanaoishi umri mrefu Zaidi
Je unadhani ninini sábabu ya watu WA Mkoa Huu kuishi umri mrefu?
Chanzo:Azam News
Kila indicator au objective huwa ina jitegemea na matokeo yake ndio hayo.Hapa kwa ni asilimia kwa jumla ya wakazi wote wa Kilimanjaro basi sio takwimu za kujisifu kwa maana vijana wa huko na watu wa makamo wako mikoani kutafuta maisha!
Kama ni hivo sawa! Kongole kwao!Kila indicator au objective huwa ina jitegemea na matokeo yake ndio hayo.
Hawajatoa takwimu ya uwiano kati ya vijana na wazee uwe muelewa.
Maendeleo wapi? Wakati wazee hao ni mzigo ....Mnakaa kweny mikoa ya wtau kufanya utapeli mkizeeka mnarudi kwenu 😀 😀Ndio ukiona jamii ina life Span kubwa jua ni moja ya indicator ya maendeleo ni
Jambo la kujivunia
Hiv mnasomaga mnachoandika kweli? Kwa huo utafiti ulitaka kujua idadi ya watu au ni jamii gan watu wake wanaishi umri mrefu kwa idadi
Sensa ya watu na makazi 2022, Mkoa wa Kilimanjaro ulikua na wakazi 1.8M, taarifa ya Azam inasema asilimia 7.3 ya watu wa Kilimanjaro ni wazee na inaongoza Tanzania kwa Asilimia (sio idadi ya wazee) Asilimia 7.3 ya 1.8M ndo hio wazee 130K.Sio kweli wewe ni ngumbaru huelewi parameters huwa zinakuje.
Good news about kilimanjaro hawatelekezi wazee, na wastaafu wengi wa jamii hiyo kwa hiyari huchagua kurudi nyumbaniMaelezo sahihi yanatakiwa kuwa, Kilimanjaro ndio mkoa unaongoza kuwa na rundo kubwa la wazee waliorudi na kutelekezwa, huku wakiishi na vijana rejects ambao walikimbia mikoa mingine Hali ikawa ngumu wakarudi.
You do realise wapare ni asilimia ndogo ya mkoa huo? Asilimia kubwa ni wachaga wa maeneo mbali mbali, sasa wanabebaje mkoa mzima kwenye hilo?Takwimu hizi za Mkoa wa Kilimanjaro zinabebwa na Wapare. Wanaisho muda mrefu kwa kuishi simple life huko milimani
nyama na pombeKama kichwa chá Habari kisemavyo,kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022,Mkoa WA Kilimanjaro unaongoza Kitaifa Kuwa na watu wenye umri WA miaka 65 na Zaidi na kufanya Kuwa kinara wa Mkoa wenye watu wanaoishi umri mrefu Zaidi
Je unadhani ninini sábabu ya watu WA Mkoa Huu kuishi umri mrefu?
Chanzo:Azam News
Sawa sawaSensa ya watu na makazi 2022, Mkoa wa Kilimanjaro ulikua na wakazi 1.8M, taarifa ya Azam inasema asilimia 7.3 ya watu wa Kilimanjaro ni wazee na inaongoza Tanzania kwa Asilimia (sio idadi ya wazee) Asilimia 7.3 ya 1.8M ndo hio wazee 130K.
So kilimanjaro haiongozi kwa idadi ya wazee bali ratio ya wazee na vijana ni kubwa kule kutokana na vijana wengi kutoka kutafuta maisha kwengine.
Baada ya Kilimanjaro ni Mtwara, same Story na sitashangaa in future Kigoma pia ikafuatia kutokana Na waha watoto wanavyokimbilia mijini.
View attachment 3084820
Ukiangalia data zetu hapo
-Dodoma ina asilimia 4.8 ya wazee percentage wise ni ndogo kuliko Kilimanjaro na mtwara ila idadi ni kubwa sababu asilimia 4.8 ya watu zaidi ya milioni 3 inakuja zaidi ya wazee 140,000 ambayo inaizidi kilimanjaro
-pia Tanga ukiangalia ni hivyo hivyo Asilimia 5.1 ya watu 2.6 ni humo humo roughly 130K sawa na Kilimanjaro na zaidi ya Mtwara ila haijatajwa sababu Percentage wise ni ndogo
So bottom line wakuu hizo ni data za Asilimia yaani Ratio ya wazee ukicompare na makundi mengine ya Umri na Sio data zinazoonesha idadi kubwa ya wazee.
Nimeambatanisha na Sensa ya watu Na makazi ikitoa huo mchanganuo.
😄😄Hatuna dhambi kubwa kubwa
Maskini hakosagi sábabu, wachaga ni NECTA? Kama wameiba mitihani vipi na mbona wanaongoza kwa maendeleo nayo wameiba? Endelea kujifunga msuli usifanye kazi utegemee utatoboaWalevi na wezi wa mitihan
👍Nahisi kitu kinachofanya life span ya watu mkoa wa Kilimanjaro kuwa juu ni life style hasa katika ulaji sababu ya ubahili mfano mpare chakula yake ni makande na mchaga ni ndizi wanakula kitu original na wakienda kusaga mahindi hawakoboi ,alafu kwenye mambo ya mboga wengi sababu ya ubahili wanaunga Kwa mafuta kidogo na kadhalika hata sukari wanatumia kidogo kwenye chai Ili isiishe. Alafu kule Kilimanjaro maeneo ya milimani Ile panda shuka tu ni zoezi tosha .Alafu katika maswala ya Imani wengi hawana Imani potofu .