baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 4,178
- 7,591
Soma link nilioeka juu Dodoma ina wazee wengi kuliko Kilimanjaro na Tanga pia.Mm nazungumzia idadi by numbers not percentage
Tanzania nzima hakuna Mkoa wenye idadi ya wazee kuzidi Kilimanjaro that is my point
Yaani huyu jamaa nachekesha sana! Kwa hiyo Mwanza wanaojenga magorofa ni Wachaga? Kwanza hata hajui Wachaga Mwanza ni wafanya biashara wa kawaida tu! Hakuna Tajiri Mchaga mwanza hata anayefahamika kama akina Gachuma au Kishimba!Soma uelewe kwamba population ya wazee ni kubwa kwa asilimia kadhaa sio uwingi wa wazee. π π ile asilimia 7 ni kwa idadi ya watu wa kilimanjaro , je asilimia 3 ya wa Dar unajua ni ngapi ? Sehemu yenye watu milion 5 .
Umeelewa mada kweli??Mkoa una wazee kibao vijana wanaondoka kwenda mjini , wakazi wake ni wengi tu hakuna lina watu wengi kama wachaga kwa kanda nzima .
Na mimi nimemshangaa sijui kama anaelewa anacho andika.Kwahyo kama kuwa na wazee wengi sio life expectancy kubwa ninini?
Hoja ni kwamba life expectancy yao ni kubwa kuliko mikoa mingine, yaani mkoa una watu wengi wenye umri mkubwa, which is true mimi baba yangu amekufa na miaka 78 , mama ana 83 years na anatembea mpaka shamba, anakamua maziwa nk....pale kijijini wazee above 70 ni wengi sana...Kama wameangalia parcentage maana yake mikoa ya Kilimanjaro na Mtwara vijana wanakimbia na kuacha wazee wengi. Siyo jambo la kushangilia.
Ni kweli hata mimi kijijini kwetu wenye above 70 ni wengi sana. Kilimanjaro haina mpinzaniHoja ni kwamba life expectancy yao ni kubwa kuliko mikoa mingine, yaani mkoa una watu wengi wenye umri mkubwa, which is true mimi baba yangu amekufa na miaka 78 , mama ana 83 years na anatembea mpaka shamba, anakamua maziwa nk....pale kijijini wazee above 70 ni wengi sana...
Kajifunze kutafsiri takwimu.Hoja ni kwamba life expectancy yao ni kubwa kuliko mikoa mingine, yaani mkoa una watu wengi wenye umri mkubwa, which is true mimi baba yangu amekufa na miaka 78 , mama ana 83 years na anatembea mpaka shamba, anakamua maziwa nk....pale kijijini wazee above 70 ni wengi sana...
Unatka nikueleweshe ? Umesoma shule gani? Huo ni uwiano wa wazee kwa population , asilimia saba ya watu wa kilimanjaro kwa idadi haifika hata asilimia 3 ya watu wa dar .Kumbuka kwa asilimia ya mkoa husika , Dar ina watu milion 5 na kilimanjaro hawazidi hata milion 2.Umeelewa mada kweli??
Report yote ya sensa umeisoma na kuielewa? Kwa mujibu wa sensa report ni mkoa gani unaongoza kwa kuwa na watu wenye umri mkubwa above 65 yrs?? Karibu..Unatka nikueleweshe ? Umesoma shule gani? Huo ni uwiano wa wazee kwa population , asilimia saba ya watu wa kilimanjaro kwa idadi haifika hata asilimia 3 ya watu wa dar .Kumbuka kwa asilimia ya mkoa husika , Dar ina watu milion 5 na kilimanjaro hawazidi hata milion 2.
Sasa soma mjinga mwenzio kaandika nn then rudia!?
Wewe umeelewa ? Ile ni asilimia kutokana na idadi ya watu wa mkoa husika ...Wakati watu wanasome hesabu za asilimia ulikuwa wapi?Report yote ya sensa umeisoma na kuielewa? Kwa mujibu wa sensa report ni mkoa gani unaongoza kwa kuwa na watu wenye umri mkubwa above 65 yrs?? Karibu..
Mkuu kwa mfano wewe upo mkoa tofauti na mkoa wenu kwani lazima ukizeeka urudi mkoani kwenu?Maendeleo wapi? Wakati wazee hao ni mzigo ....Mnakaa kweny mikoa ya wtau kufanya utapeli mkizeeka mnarudi kwenu π π
Hii nchi Ina majitu Majinga Sana π’Mkoa una wazee kibao vijana wanaondoka kwenda mjini , wakazi wake ni wengi tu hakuna lina watu wengi kama wachaga kwa kanda nzima .
Mkuu mada inayozungumzwa ni idadi ya wazee nchi nzima Kilimanjaro inaongoza kuwa na wazee wengi kuliko Mikoa yote Tanzania.Wazee wengi kwa sababu vijana wengi wanakimbia maisha ya vijijini.
Mkuu nisaidie kidogo mbona waMarekani na Waingereza, South Africa, wanesoma na wana maisha mazuri mbona hawa kimbii nchi zao kwenda kufanya kazi sehemu nyingine?Wanakimbia au wamesoma wapo Kila mahali ndani na nje ya nchi