zumbemkuu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 11,362
- 9,882
Same Mashariki mbunge ana elimu gani?Vyovyote iwavyo lakini Mpare na mchaga hawezi kuongozwa na Kirundu
Same Mashariki mbunge ana elimu gani?Vyovyote iwavyo lakini Mpare na mchaga hawezi kuongozwa na Kirundu
Wabunge kutoka mkoa wa Kilimanjaro wote hakuna mwenye degree moja, ni zaidi ya mojaWeka ata picha au video
Same Mashariki mbunge ana elimu gani?
Www nenda kagera ni masters na PhD tuAkili/upeo kama wako hauwezi kupelekea Tanzania mbele.
Sasa kwenda huko kufanya kazi pamoja na huyo darasa la nne, ndiye anakuwa mfanyakazi mwenzako katika maamuzi. Nini Cha maana hapo kujigamba?Kwanza Mtu wa darasa la Saba au kidato cha nne kule Moshi anaanzaje kufikiria kwenda Bungeni ati kuwa Mbunge?
Amwakilishe Nani hasa?