Mwanadiplomasia Mahiri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 491
- 1,907
Fala huyo hajawahi fika nadhani.Yaan wewe ni mbulula Sana. Toka lini Toka zero zero Hadi bunda kukawa pori. Mkoa wako ni upi kwanza tuufahamu?
Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Muura huyo kaja kujibu hoja.Yaan wewe ni mbulula Sana. Toka lini Toka zero zero Hadi bunda kukawa pori. Mkoa wako ni upi kwanza tuufahamu?
Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Badala ya kumsagia kunguni kwa matusi mngemjibu kwa hoja.Fala huyo hajawahi fika nadhani.
siwezi fananisha na Mikoa mingine 15 niliyopiga kazi.