CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,840
- 15,918
Suala la mtu kupata ubunge halina uhusiano na wapi utokako. Pia umetaja wachache, ila wengi ni washamba sana.Matajili walioikamata Mwanza ni hao watu wa Mara hasa Wakurya na wajaluo.
Mfano Gachuma, Zacharia na La Kairo hawa ni Wakurya, angalia mpaka Wenje ni Mkurya sijui mjaluo lakini alipata ubunge Nyamagana Mwanza.