Kule kuna maisha magumu Sana , wachache wakipata hela wanapakimbia , na wengi hujificha Mwanza , wawekezaji wengi pale Mwanza wanatokea huko , nimewahi ishi Bunda pia humo ndani ndani aisee watu wanashindia ugali wa mhogo na mboga za majani non stop ....
Maji nayo shida tupu , watu wanaishi miserable life Kwa kweli , Sura zimechoka , wadada Wana maumbo mazuri Ila housing ya kiwango cha Tecno , wanaume Wana muonekano wa kibabe tabasamu unalitafta Kwa tochi , Ila hawa jamaa Wana msimamo Sana basi Tu walichelewa kupata elimu