Mkoa wa Mara ni moja ya mikoa ya iliyo nyuma kimaendeleo katika nchi hii

Mkoa wa Mara ni moja ya mikoa ya iliyo nyuma kimaendeleo katika nchi hii

Mara ni mkoa wa kipumbavu kuanzia Mazingira na watu wake, watu wake wengi ni Uncivilised, maisha yao huko vijijini ni kama enzi za Zama za Mawe huko.

Wakifika mjini ni washamba zaidi, always ujanja wao kwa wanaume ni kupiga wake zao, na kujiua. Ndio mkoa unaongoza kwa wanaume wengi kujiua.

Ule Mkoa ulipaswa kuwa PORI LA AKIBA TU.
Tobaa wazee wa probox wanakusoma ujue....
 
Nimefika wilaya ya Tarime daah ni hovyo kwelikweli, stand ni mbaya. Hakuna daladala zaidi ya probox mnawekwa hata 10 hadi kwenye buti huko.

Sehemu kubwa ya wilaya na mkoa ni pori tu, ikifika saa mbili watu wamelala mji hauna watu.

Maji ni tatizo japo wamepakana na ziwa victoria.

Watu wa huko wamekaa kishari tu na hawacheki ovyo ovyo.

Yaani kutoka makutano kwenda bunda ni pori tu hata ukitekwa hupati msaada. Nimetembea baadhi ya mikoa lakini Mara hapana kupo tofauti!
Mkuu japo ka picha mkuu , 😊😊😊
 
We si mzima kabisa upstair, nimeishi na kufanya kazi Lindi na Mtwara, acha kabisa kulinganisha huo ujingaa wako na mkoa wa Mara. Acha kabisa ujuaji na usirudie tena.
Nimekaa Mtwara miaka 5, na nimekaa Mara/Musoma miaka 3. Mtwara imeiacha mbali sana Mara, kwa kila kitu. We eleza hapa Mara imeizidi nini Mtwara. Lindi inaweza kuzidiwa ila sio Mtwara. Kuanzia huduma za kijamii, Maji, Umeme wa uhakika (hakuna mkoa wenye uhakika wa umeme nchi hii kuizidi Mtwara sijawahi kuona), Huduma za Afya, wana hospitali kubwa zaidi ya Mara. Uwanja wa ndege wa uhakika, Bandari Kubwa nk.
Wadanganye watoto wenzako, Mara pa kipumbavu tu. Sijaona tofauti kubwa sana na Kigoma.
 
Utakua hujafika ruvuma
Ruvuma iko top five ya mikoa yenye maisha bora Tanzania [emoji23]....wakitumia per capita....

Kagera ndo ya mwisho kabisa..ya inaongoza umaskini kwa per capita lakin Tazama vijiji vyake...hope Ruvuma watakuwa na maghorofa [emoji23]
FyhB1PYaYAA1-MK.jpg
Screenshot_20230613-192311.jpg
Screenshot_20230516-000822.jpg


Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Hujatembea kama hivyo ndio vigezo unavyotumia kupika umaskini wa watu. Hivi wewe ulishafika kigoma uone mapori? Usha fika katavi?

Usha chochora ukafika lindi na mtwara? Hebu zunguka Tanzania kwanza afu urudi kufanyia masahihisho uzi wako
Hebu mwambie, kwanza ubora wa mji unapimwa kwa miundombinu. Mji wa Tarime na Mkoa wa Mara wote miuondombinu ni rafiki sana. Nenda Nyamongo uone uwekezaji wa mgodi wa North Mara…

Nenda Wilaya Nzima ya Kilosa, mvua ikinyesha kidogo tayari mawasiliano yamekatika.
 
Back
Top Bottom