sungusungu
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 3,057
- 719
Mkuu ndizi za hapo Kiabakari bado zinapatikana?Inawezekana umehadithiwa ndugu, kutoka makutano Hadi bunda ni pori!
Ukitoka makutano Kuna vijiji na mitaa kadhaa yenye zahanati, vituo vya afya na hata vituo vya polisi,
Mfano makutano- nyakanga- irimba- kiabakari- nyamikoma- mwibagi- bitaragulu- manyamanya unaingia bunda mjini hizi zote nimekutajia senta za barabarani Tena zilizochangamka pita kiabakari hapo mjini kabisa bro
Hayo yote yake mkuuHayo yote yake 😄😄
Wacha mapori yashamiri huko Mara ni muhimu kwa wanyama pori wetu.Nimefika wilaya ya Tarime daah ni hovyo kwelikweli, stand ni mbaya. Hakuna daladala zaidi ya probox mnawekwa hata 10 hadi kwenye buti huko.
Sehemu kubwa ya wilaya na mkoa ni pori tu, ikifika saa mbili watu wamelala mji hauna watu.
Maji ni tatizo japo wamepakana na ziwa victoria.
Watu wa huko wamekaa kishari tu na hawacheki ovyo ovyo.
Yaani kutoka makutano kwenda bunda ni pori tu hata ukitekwa hupati msaada. Nimetembea baadhi ya mikoa lakini Mara hapana kupo tofauti!
Akili zako hazikutoshi, unajuwa bei ya kilo moja ya unga wa muogo ni bei gani?Kule kuna maisha magumu Sana , wachache wakipata hela wanapakimbia , na wengi hujificha Mwanza , wawekezaji wengi pale Mwanza wanatokea huko , nimewahi ishi Bunda pia humo ndani ndani aisee watu wanashindia ugali wa mhogo na mboga za majani non stop ....
Maji nayo shida tupu , watu wanaishi miserable life Kwa kweli , Sura zimechoka , wadada Wana maumbo mazuri Ila housing ya kiwango cha Tecno , wanaume Wana muonekano wa kibabe tabasamu unalitafta Kwa tochi , Ila hawa jamaa Wana msimamo Sana basi Tu walichelewa kupata elimu
Watu Wanaogopa kuhamia na kufanya kazi huko maana panga Nje Nje GENTAMYCINENimefika wilaya ya Tarime daah ni hovyo kwelikweli, stand ni mbaya. Hakuna daladala zaidi ya probox mnawekwa hata 10 hadi kwenye buti huko.
Sehemu kubwa ya wilaya na mkoa ni pori tu, ikifika saa mbili watu wamelala mji hauna watu.
Maji ni tatizo japo wamepakana na ziwa victoria.
Watu wa huko wamekaa kishari tu na hawacheki ovyo ovyo.
Yaani kutoka makutano kwenda bunda ni pori tu hata ukitekwa hupati msaada. Nimetembea baadhi ya mikoa lakini Mara hapana kupo tofauti!
Kitu ambacho ukijui labda nikupe elimu leo, Butiama ni kijiji, Nyerere hakutaka Ardhi ya Zanaki ipoteze asili yake, alijitahidi kwa akili kubwa kutunza asili kama Maasai.Mtoa mada umeongea ukweli japo watu watakushambulia sababu ni kwao.Hilo la kusema kutoka Makutano mpaka Bunda ni pori umepuyanga. Mengine ni ukweli.Sijafika Tarime ila wenyeji wangu Butiama waliniambia kwa Mkoa wa Mara Tarime ndio kuzuri.
Kwa wingi sana hua nikipita pale lazima nitupie karanga, maboga na mikungu kadhaa kwenye butiMkuu ndizi za hapo Kiabakari bado zinapatikana?
Tena ni Omukangi wa bhakangi Umurisyayo!Mleta uzi ni murisya....🤣
Ulitaka waongee na wewe kama wanawake?Mara nikifika musoma na nyamongo kule kwenye machimbo ya dhahabu ni pazuri lakini watu wake kwa kiasi kikubwa sio wakarimu, ukiwa nao hivi unatakiwa ujiandae kwa lolote, ongea yao tuu kama wana gombana 🚶🚶🚶🚶
atakuwa wa manzese, achana nayeYaan wewe ni mbulula Sana. Toka lini Toka zero zero Hadi bunda kukawa pori. Mkoa wako ni upi kwanza tuufahamu?
Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Huyo lazima aelezwe ukweli auelewe Zumbukuku huyoEeh MASTER ningeshangaa bila kuona ukitimba kujibu mashambulizi yaani Counterattack [emoji2]
Mengine yapi ya ukweli?Mtoa mada umeongea ukweli japo watu watakushambulia sababu ni kwao.Hilo la kusema kutoka Makutano mpaka Bunda ni pori umepuyanga. Mengine ni ukweli.Sijafika Tarime ila wenyeji wangu Butiama waliniambia kwa Mkoa wa Mara Tarime ndio kuzuri.
Tuambie huko kwenu kama watu wanashindia Ugali na Nyama kila siku?Kule kuna maisha magumu Sana , wachache wakipata hela wanapakimbia , na wengi hujificha Mwanza , wawekezaji wengi pale Mwanza wanatokea huko , nimewahi ishi Bunda pia humo ndani ndani aisee watu wanashindia ugali wa mhogo na mboga za majani non stop ....
Maji nayo shida tupu , watu wanaishi miserable life Kwa kweli , Sura zimechoka , wadada Wana maumbo mazuri Ila housing ya kiwango cha Tecno , wanaume Wana muonekano wa kibabe tabasamu unalitafta Kwa tochi , Ila hawa jamaa Wana msimamo Sana basi Tu walichelewa kupata elimu
Kweli mkoa wa mara huko nyuma tumekusikia,tunaomba ututajie kijijini kwenu tupajue na kabila lako nihayo tuNimefika wilaya ya Tarime daah ni hovyo kwelikweli, stand ni mbaya. Hakuna daladala zaidi ya probox mnawekwa hata 10 hadi kwenye buti huko.