Vyuo vyenu vyote wamejaa vijana kutoka kanda ya ziwa.Vyuo vikuu ndio vinafungua fursa ya kilimo na biashara wewe fala?
Nani kakwambia Mbeya wanahitaji vyuo Vikuu? Kwa nini tusibadilishane nyie ambao mnaongiza kwa ujinga mjengewe vyuo vikuu na sisi tujengewe miundombinu harafu baada yaiaka 5 tuje kufanya tathmni yupi kafaidika..
Stupid kabisa,vyuo vikuu vitalingana na daraja moja la bil.700 wewe kima?
Huo ni mfano mdogo tuu Kati ya mambo mengi ambayo sijawahi mkubali huyo mtu wenu..Leo ndio nimejua kwanini una chuki na Mwanza pamoja na hayati magufuli😂😂😂😂
Kumbe ulitaka daraja la kigongo busisi lijengwe ziwa nyasa😂😂😂
Basi wawajengee huko huko kwenu sisi tunataka miundombinu ya kufungua fursa za Uchumi..Vyuo vyenu vyote wamejaa vijana kutoka kanda ya ziwa.
Pambaneni na upumbavu wenu, Mbeya iendelee ili iweje?, mkoa kama mbeya unatakiwa kuwa mashamba kwaajili ya kulisha watanzania.Basi wawajengee huko huko kwenu sisi tunataka miundombinu ya kufungua fursa za Uchumi
Wewe kila siku unaimba mapambio kuwa Mbeya ina miundo mbinu bora kuliko mwanza na unapost miradi kibao ya barabara za mbeya sasa unataka mjengewe flyover au interchange kama Dar?Basi wawajengee huko huko kwenu sisi tunataka miundombinu ya kufungua fursa za Uchumi..
Mungekuwa mnasoma kwa kiasi hicho si vyuo vingekuja kufungua Campus huko huko.? Kwa nini vije Mbeya?
Licha ya Huu wivu ndio maana tunawajambia kwenye mapato vile vile..Pambaneni na upumbavu wenu, Mbeya iendelee ili iweje?, mkoa kama mbeya unatakiwa kuwa mashamba kwaajili ya kulisha watanzania.
Endeleeni kulima soya na parachichi, unataka flyover kwenye mashamba ya soya, utakuwa ujinga sasa.Licha ya Huu wivu ndio maana tunawajambia kwenye mapato vile vile..
Mnahangaika kudidimiza ila haitawezekana Mzee tuna fursa zote kuanzia madini,italii hadi ardhi ya kutosha..Imewakata.
Soma hiyoo👇
Mbeya ni mkoa mkubwa, miundombinu haitoshi,bado barabara ya kutoka Mbeya kwenda Tabora na Singida ni vumbi,barabara ya kutoka Mbeya kwenda Njombe via Kitulo NP ni vumbi,Igawa to Rujewa hadi Ubaruku ni vumbi,Mbalizi to Chunya via mkwajuni ni vumbi nk nk...Wewe kila siku unaimba mapambio kuwa Mbeya ina miundo mbinu bora kuliko mwanza na unapost miradi kibao ya barabara za mbeya sasa unataka mjengewe flyover au interchange kama Dar?
Jiji linalozalisha Bil.17 kwa mwaka za Makusanyo ya ndani inakuaje linakosa Flyover?Endeleeni kulima soya na parachichi, unataka flyover kwenye mashamba ya soya, utakuwa ujinga sasa.
Huu wote upumbavu tu, ungetakiwa kuulizia pembejeo za kilimo pamoja na viuatilifu.Mbeya ni mkoa mkubwa, miundombinu haitoshi,bado barabara ya kutoka Mbeya kwenda Tabora na Singida ni vumbi,barabara ya kutoka Mbeya kwenda Njombe via Kitulo NP ni vumbi,Igawa to Rujewa hadi Ubaruku ni vumbi,Mbalizi to Chunya via mkwajuni ni vumbi nk nk...
Maeneo hayo ni potential Sana kwa kilimo..On top of that TANZAM Highway ndio roho ya Mbeya Kwa nini haijapanuliwa miaka yote hiyo licha kuingiza pesa nyingi?
Mwisho haiingii akilini uwanja wa Songwe unajengwa toka enzi za Mkapa na haumaliziki,hizi ni hujuma za makusudi.
Sisi masikini tumesharidhika, nyie matajiri mbona mnaongoza kwa kuomba omba, njooni mwanza mjifunze jinsi masikini wanavyoishi kwa kurizika.Jiji linalozalisha Bil.17 kwa mwaka za Makusanyo ya ndani inakuaje linakosa Flyover?
Mashamba yako Vijijini sio jijini we kima na huko ndiko tunapata pesa..
Hakuna Wilay hata moja ya Mkoa wa Mwanza inaweza fikia Wilay za Mbeya Kwa mapato ukiacha Mwanza mjini..
Mbeya hakuna makini kama huko Mwanza ndio maana mna wivu.
Hiyo mbeya inaingia mara ngap kwa GDP kwa Mwanza, je Mwanza haikupaswa kuwa na miundombinu bora kabisaa kwa hapa Africa?Jiji linalozalisha Bil.17 kwa mwaka za Makusanyo ya ndani inakuaje linakosa Flyover?
Mashamba yako Vijijini sio jijini we kima na huko ndiko tunapata pesa..
Hakuna Wilay hata moja ya Mkoa wa Mwanza inaweza fikia Wilay za Mbeya Kwa mapato ukiacha Mwanza mjini..
Mbeya hakuna makini kama huko Mwanza ndio maana mna wivu.
Napenda kutoa pongezi kwa wote waliofanikisha hili.Mkoa wa Mbeya umevunja rekodi ya Makusanyo yake ya mapato ya ndani Kwa Halmashauri zake 7 Kwa kukusanya bil.45 sawa na zaidi ya asilimia 105.6% ya malengo.
Unaijua hata GDP ni kitu gani? Ungeijua usingeuliza swali la kipunguani kama hili..Hiyo mbeya inaingia mara ngap kwa GDP kwa Mwanza, je Mwanza haikupaswa kuwa na miundombinu bora kabisaa kwa hapa Africa?
Tunaomba nini? Mkoa tajiri unaweza omba omba?Sisi masikini tumesharidhika, nyie matajiri mbona mnaongoza kwa kuomba omba, njooni mwanza mjifunze jinsi masikini wanavyoishi kwa kurizika.
Wewe ndio mpumbavu hata hujielewi..Huu wote upumbavu tu, ungetakiwa kuulizia pembejeo za kilimo pamoja na viuatilifu.
🤣🤣🤣 tulia ikuingie.Wewe ndio mpumbavu hata hujielewi..
Ukipata pembejeo ndio zitakusaidia nini? Mchunga Ng'ombe unaweza tufundisha kilimo gani wewe kima?
Pembejeo zitakusaidia nini Bila barabara za kukufikisha shambani na za kusafirisha Mazao baada ya mavuno?
Taahira wewe uwe unafikiria kwanza.
Hizo barabara zilizopo mbeya hazina huwezo wa kupitisha magari kutoka huko mashambani?Wewe ndio mpumbavu hata hujielewi..
Ukipata pembejeo ndio zitakusaidia nini? Mchunga Ng'ombe unaweza tufundisha kilimo gani wewe kima?
Pembejeo zitakusaidia nini Bila barabara za kukufikisha shambani na za kusafirisha Mazao baada ya mavuno?
Taahira wewe uwe unafikiria kwanza.
Kama mnajiweza kwanini kila siku kulia lia kama watoto mara mmetengwa mara ooh mmesaulika, acheni utoto pigeni kazi.Tunaomba nini? Mkoa tajiri unaweza omba omba?
Tuna kitu gani cha kuomba Kwa mfano kutoka Kwa nyie maskini wa huko kwenye mialo?