Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
- Thread starter
-
- #161
Tumbaku , alizeti na ufuta Tabora haikosi kuwepo tano bora kwa Tanzania nzima
Na kwa karanga inachezea top 10
Vita imekuwa ngumu kwangu nimekubali yote mnayosemaTumbaku , alizeti na ufuta Tabora haikosi kuwepo tano bora kwa Tanzania nzima
Na kwa karanga inachezea top 10
Huna hoja,Mimi ni mkinga na Wala siko Tabora.Bahati mbaya wanyamwezi mmejaa sina mtetezi nimekubali kushindwa
Ukisikia mikoa maskini haimaanishi hakuna fursa mkuu, fursa zipo kibao na maisha sio dar tu bwasheeYaishe nime surrender
Mfano Kuna kin Sumry,na Tawaqal wako kwenye mojawapo ya Mikoa maskini Tanzania lakini ni matajiri wanauza bidhaa zao Hadi DarUkisikia mikoa maskini haimaanishi hakuna fursa mkuu, fursa zipo kibao na maisha sio dar tu bwashee
unaishi Tabora / umewahi kuishi ? Maana usikute haujawahi kufika unajibu kwa assumptionsHuna hoja,Mimi ni mkinga na Wala siko Tabora.
Jibu hoja hapo Juu manake unaongea utopolo
Hao source ya utajiri wao sio Tabora wameenda tu kuwekeza kama Dangote alivyowekeza mtwaraMfano Kuna kin Sumry,na Tawaqal wako kwenye mojawapo ya Mikoa maskini Tanzania lakini ni matajiri wanauza bidhaa zao Hadi Dar
Muacheni mtoto msmfokee,atalia.Mfano Kuna kin Sumry,na Tawaqal wako kwenye mojawapo ya Mikoa maskini Tanzania lakini ni matajiri wanauza bidhaa zao Hadi Dar
Hayasemwi tu , watu wamechota pesa kibao humo unapoita hapafai kujitafuta , ukiona mafuta safi ya ufuta, asali na mazaga mengine, yanakuja hapo daslamu , ujue wanaume wapo kazini .Vita imekuwa ngumu kwangu nimekubali yote mnayosema
HhhhhhMuacheni mtoto msmfokee,atalia.
Bado haujajua neno.Hata akina Mo wameenda tu Singida?Hao source ya utajiri wao sio Tabora wameenda tu kuwekeza kama Dangote alivyowekeza mtwara
Ngoja nikikamilisha Documentary yangu ya Tabora nitakuja ku post link humu nitafanya mahojiano na wazawa wa paleHayasemwi tu , watu wamechota pesa kibao humo unapoita hapafai kujitafuta , ukiona mafuta safi ya ufuta asali na mazaga mengine, yanakuja hapo daslamu , ujue wanaume wapo kazini .
Utawekezaje kwenye Mkoa maskini Ili upate nini Sasa?Hao source ya utajiri wao sio Tabora wameenda tu kuwekeza kama Dangote alivyowekeza mtwara
nafahamu mkoa wa Tabora wametoka matajiri wengi akiewepo Rostam aziz hadi anaongea kinyamwezi lakini chimbuko la utajiri wake sio pale TaboraBado haujajua neno.Hata akina Mo wameenda tu Singida?
Kuna sector kama za usafiri huwa zinakubali popoteUtawekezaje kwenye Mkoa maskini Ili upate nini Sasa?
Pili tumekubaliana hakuna fursa iweje wao wazione?
Umenichachafya na maswali yako hadi kahawa imenipalia.Utawekezaje kwenye Mkoa maskini Ili upate nini Sasa?
Pili tumekubaliana hakuna fursa iweje wao wazione?
Sio lazima kufika Wala kuishi ,Cha msingi Kuna watu wanaishi huko na maisha yanaenda.unaishi Tabora / umewahi kuishi ? Maana usikute haujawahi kufika unajibu kwa assumptions
Hata ukienda Morogoro , gairo , mvomero na kilosa , ukafanya mahojiano na wazigua ,wakaguru na waluguru, utaweza kutengeneza documentary ya kuwa moro hakuna fursaNgoja nikikamilisha Documentary yangu ya Tabora nitakuja ku post link humu nitafanya mahojiano na wazawa wa pale
Ni wapi mkuu?Ingawa utajiri wa mtu ni BODMAS!nafahamu mkoa wa Tabora wametoka matajiri wengi akiewepo Rostam aziz hadi anaongea kinyamwezi lakini chimbuko la utajiri wake sio pale Tabora
Hao niliowataja hawako kwenye sekta za usafiri Bali Kilimo na Viwanda vya kati/Huduma.Kuna sector kama za usafiri huwa zinakubali popote