kondoowasufi
Senior Member
- Aug 19, 2014
- 190
- 184
Huwa wana riba ya theory na practical. FuatiliaHuo mkopo wako riba yaje ni 26.36% kwa mwaka, yawezekana unalipa hivyo kama sio mfanyakazi wa serikali, maana najua riba ya sasa inacheza 19% mpaka 17%, sasa kwa nini ulipe riba kubwa hivyo?