KERO Mkurugenzi Garda World jitafakari, wafanyakazi tumekuchoka

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Chura maji walikuwa na issue gani mpka wakaingia hapo hotelini
Mkuu yaani siku hiyo zilikuja coaster tatu walikiuwa na harusi sasa Mimi nikawauliza vipi mnataka kupiga picha mna kibali ?
Na maharusi walikuwepo na wazazi na ndugu wengine na coaster moja ndio lilikuwa na hao vyura na matarumbeta yao.
Baada ya kuwaambia wanipe kibali akaja floor Man wao. Yaani ukimwangalia tu unabaki unacheka kavaa suti ya blue bahari, shati jekundu tai nyeusi na nywele kama Arturo Vidal alikuwaga mchezaji wa Barcelona.

Huyo floor Man muonekano wake ulikuwa kama huyo Mwamba ☝️🤣🤣
Na yeye hajui kama kuna ishu ya kibali nikamwambia kama hauna kibali nyoosha goti mnajaza nzi hapa na hii ni sehemu ya Watalii na watu wenye nazo hatutaki usumbufu, akaniomba sana yule Mwamba yaani alivyokuwa anaongea mpaka nilikuwa nachekea moyoni kwanza alikuwa kalewa na amevuta sana ganja. Mustachi umepigwa piko na kiduku kimepigwa piko halafu imekosewa kosewa 🤣🤣🤣. Nikamwambia lete 50,000 mkapige picha tena sio hapa ni kule Jet. Akalia lia pale akatoa 30,000 nikawambia mpite kimya kimya sitaki kelele wakapita pale na hela washanipa. Wakaelekea Jet, huko jet ni njia ambayo imetengenezwa kutenganisha bahari ili watu wawe wanatembea kwenda kupanda boti za kwenda Mbudya Island.

☝️ Hicho kimshale chekundu ndio kinaelekeza kwenda Jet. Na hapo kwenye Oval shape niliwakatalia wakakubali wakaenda kupiga picha wapo kama watu 80 au zaidi walichukua saa nzima. Sasa wakati wa kurudi walipo fika hapo kwenye Oval shape wakaanza kupuliza maturumbeta na kupiga mingoma yao. 🤣🤣🤣 Chura wakaanza kusaula aisee ilikuwa balaa nilitetemeka nikawa nawatuliza hawataki mpaka nikaanza kutumia Panic Burton kuwavuta lakini hawaelewi mpaka yule Mwenye Hotel ni Mmarekani Mama kibibi kizee kikaniambia Askari acha. Wazungu wakaacha kula bata wakaanza kupiga picha na kurekodi video clips . Wazungu waliinjoi sana. Sasa msala wangu ukawa na Supervisor 🤣🤣🤣🤣
 
Unalala lindoni umeshikilia mtutu, umeacha mkeo nyumbani anashikiliwa na wahuni, afu uyo LuQumay anawaletea Uqumay.. nini sasa faida ya kushikilia hizo chuma? mpelekeeeni moto na mjegeje, za kichwa, za mbavu, za kiuno... jifanye Hamza hata kwa siku moja tu mzee, acha majungu ya mitandaoni.
 
Walinzi wengi Ngumbaru
Watachukia ukweli, ila ukweli unauma.
Utakuta baadhi ya hao walinzi walikataa shule makusudi, walichoma shule achilia mbali hata kupiga walimu!!
Leo wataonekana watakatifu wanaokandamizwa ila si ajabu baadhi yao wanamambo ya kutisha enzi wakiwa wanafunzi!!😂😂
 
Kumbe Garda wababaishaji hivyo!? Ngoja tusubiri utetezi wao tupime maelezo ya pande zote.
WANA madudu mengi sana eti wenyewe wanakwambia mlinzi hapaswi kupata overtime ya night allowance wao wanamchukulia mlinzi kama mtu ambae ni lazima afanye kazi usi tena bila kulipwa night allowance hii mijamaa ina madudu mengi ambayo ukiandika hapa jamii haito elewa ila kwa kifupi...kampuni bora inayo zingatia maslahi ya wafanya kazi ni WS Insight pekee kwa Tanzania
 
Mazingira ya walinzi nayaelewa Sana. Garda, G4S, na SGA wanajitahidi Sana. Tatizo ni baadhi ya viongozi wao hasa watanzania, hawajitambui. Haya makampuni mengine ambayo ofisi IPO kwenye fremu, ndio kinyaa kabisa.
inayo jitahidi kabisa ni WS Insight...kwangu hii ni kampuni bora kuliko hizo nyingine...ina jali sana wafanyakazi
 
Philipo nishakujua we ni Philipo week ijayo j4 satatu tuonane oficn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…