Mkurugenzi mkuu wa TANESCO aliyefariki kwa ajali kaacha watoto 15

Ndio MAANA ufisadi wa kipumbavu hauishi....kiumbe source ni basic needs
Mbuzi mee, wathungu wanasema, this is just a tip of an iceberg. Mkurugenzi tu ni hv nenda kwa Mawaziri, Manaibu wao, Makatibu Wakuu na Manaibu wao nk, mbona utachoka? Hii nchi inatafunwa, inaliwa bila ya kunawa na Mafisadi na Machawa wa mama ndani ya CCM!!!
 
Usitetee upumbavu....unakufa umeacha watoto kibao alafu wadogoo......ni bahati kuwa hai ukiwahudumia watoto wote mpaka wajitegemee

Nina ndugu yangu yangu Sasa Kila siku sukari inapanda kwa presha...ni tajir mkubwa kahama ila watoto wametapakaa Kila sehemu na matukio ni Kila siku km SI kwa mama zao basi watoto.....majumba kibao mjini na store kibao za vinywaji Sasa havisaidii vinachochea mitafaruku TU...
Basi hapo tatizo sio watoto ila huyo ndugu yako ni mjinga na mpumbavu kwa kushindwa kuwalea watoto wake! Na ujinga na upumbavu wake usiwe "generalized"!
 
Usitetee upumbavu....unakufa umeacha watoto kibao alafu wadogoo......ni bahati kuwa hai ukiwahudumia watoto wote mpaka wajitegemee

Nina ndugu yangu yangu Sasa Kila siku sukari inapanda kwa presha...ni tajir mkubwa kahama ila watoto wametapakaa Kila sehemu na matukio ni Kila siku km SI kwa mama zao basi watoto.....majumba kibao mjini na store kibao za vinywaji Sasa havisaidii vinachochea mitafaruku TU...

Alikuwa na pesa
Pesa za Ufisadi!!!
 
U
Kuna mzee alikuwa Jirani yetu alikuwa daktari, (kwa sasa ni msataafu) alikuwa anamuona mzee wetu kuwa uncivilized kwa kuwa sisi tulikuwa 17 yeye alikuwa na watoto 3!

Katika watatu wakike 2 wamezalia nyumbani na wanasaidiana kula pension na mzee wao, wa kiume mmoja alimaliza degree ya community development, hajawahi kuajiriwa!
Wakati huo mzee alikuwa anatusisiza kufanya bidii kwenye kila jambo, shuleni. Shambani, Kuchunga, kulisha kuku nyumbani, kukamua maziwa, zote tulifanya wenyewe, wenzetu walikuwa wanapanda magari ya njano kwenda na kurudi shule!

Tusikariri maisha, watoto wengi au wachache sio kesi, ugumu wa maisha yao utategemea na namna unavyowalea!
Usitetee ujinga....familia za watoto wengi 90% zimejaa MATATIZO sana....hebu wewe muige huyo mzazi wako Sasa tuone matokeo yake
 
Mbuzi mee, wathungu wanasema, this is just a tip of an iceberg. Mkurugenzi tu ni hv nenda kwa Mawaziri, Manaibu wao, Makatibu Wakuu na Manaibu wao nk, mbona utachoka? Hii nchi inatafunwa, inaliwa bila ya kunawa na Mafisadi na Machawa wa mama ndani ya CCM!!!
Hapo huyo Moja anataka watoto wake wapate ajira aidha ofisin kwake au kwa marafiki zake huko huko serikalini....uje kwa mawaziri,wabunge wa muda mrefu n.k..unafikiri hizo itavyuu watu wanazolalamikia chanzo sio ndio hiki.........ukute hata uko kwenye chama ni watoto wa wale wale ila wanatumia majina ya ubini tofauti na wazazi wao.....kimsingi zao la watumishi bogus ni dizaini hii....
 
U

Usitetee ujinga....familia za watoto wengi 90% zimejaa MATATIZO sana....hebu wewe muige huyo mzazi wako Sasa tuone matokeo yake
Kuna watu hapa wame jizima data!! Sasa subirini matokeo ya hiyo familia baada ya bread winner kuondoka. Wataanza kuisoma namba very soon!!
Wasubirini kwene MIRATHI ndo mtajua hamjui maana ya kuwa na wake wengi na watoto timu ya mpira na reserves. They've got it coming!!!
 
I wont take it like that, kama alikuwa na uwezo wa kuwale na kuhudumia. Why asizae?

Kama uchumi wako unahili large numbers , it okay
Asome hapa
Screenshot_20250417_190200_Instagram~2.png
 
Hapo huyo Moja anataka watoto wake wapate ajira aidha ofisin kwake au kwa marafiki zake huko huko serikalini....uje kwa mawaziri,wabunge wa muda mrefu n.k..unafikiri hizo itavyuu watu wanazolalamikia chanzo sio ndio hiki.........ukute hata uko kwenye chama ni watoto wa wale wale ila wanatumia majina ya ubini tofauti na wazazi wao.....kimsingi zao la watumishi bogus ni dizaini hii....
Mchungaji C.Mtikila(RIP) alikuwa anasemaga hii nji inaongozwa na familia za watu 300 tu!!

Ndo hao hao utakuta wanabadikishana vyeo, anahama Wizara hii anaenda nyingine, anatoka Uwaziri anakuwa RC, DC, Mkurugenzi, mbunge kuteuliwa etc. Ni walewale!!
Ndo maana leo unakuta mijizee kama Steven Wassira leo anarudi kuwa Makamu Mwenyekiti CCM(T) as if hii nji haina watu out 60 milion +++
 
Hii kumbe ukute wanapigiwa kura na watoto zao wakuwazaa nyie mnajua labda ni wajumbe Toka mikoani kumbe watu wameacha mbegu Kila mkoa Kila wilaya na wamewapa ma vyeo
 
Zingatia msemo au slogan yao, " CCM INA WENYEWE" na wenyewe ndo hao wanao bebana kwene kupeana madaraka, vyeo, ajira na kujipigia KURA ZA KISHINDO ili waonekane kuwa watu 300 tu wanapendwa na Watz wote 60m++
 
Back
Top Bottom