Mkurugenzi mkuu wa TANESCO aliyefariki kwa ajali kaacha watoto 15

Mkurugenzi mkuu wa TANESCO aliyefariki kwa ajali kaacha watoto 15

Na unakuta anawamudu na wanasoma, watu wengine sijui walizaliwa mikoa gani wanaona mtu kuwa na wake wawili na watoto 15 ni wengi! Wengine ni mke mmoja tu ila watoto 10-12
Mikoa ya watu walioelimika watoto wanne wanatosha sio mtu unazaa hovyo unakuta nusu ya watanzania wote ni watoto kwasababu ya hii mikoa mabongo lala
 
Kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake, we umezaliwa kwenye nyumba ya kupanga hata unga wa ugali ni wa kupima, mboga miguu ya kuku na utumbo, mwenzio kazaliwa familia ya ufugaji na ukulima ng'ombe kuaniza 500, maekari ya mashamba pamoja na kuwa kijijini ana access ya basic needs zote pamoja na kusoma shule nzuri, amepata kazi nzuri anao uwezo wa kuhudumia familia, mila inaruhusu kuoa mke zaidi ya mmoja. Mnataka ajibane aendane na wewe uliye na mtoto mmoja hata shule ya kidumu ufagio ni mtihani wakiomba afu2 ya mlinzi unawaza! Tuwe tunawaza tuliumbwa kwa matabaka ya hali za kiuchumi. Mwingine kakazana na watoto wengi sijui ni tegemezi, kwa akili zenu huyo mkurya ana hali ya kuzaa afu mkute mtoto wake mtaani omba omba au mpiga debe?
🤣 we jamaa nimjinga sana. Ila tatizo lako nimeshalielewa
 
Mtoto sio kumudu kumhudumia tu hapo ndio akili yako imeishia? Unapozaa watoto wengi hovyo unaongeza population tegemezi ambayo ni sumu kwa maendeleo ya nchi. Uzazi wa mpango ni muhimu sana
Tueleze kwanza population tegemezi ni ipi. Ukute hukumwelewa mwalimu we umelivaa tu kama kaptura la max
 
Na kunamkurugenzi wa kurugenzi ambayo siitaji jina hapo Tanesco yeye ana watoto zaidi ya thelathini na wote wanasoma international school.Tanesco jamani kunahela.Ukiwa na cheo kikubwa Tanesco unaweza kununua ndege(private jet)
 
Tueleze kwanza population tegemezi ni ipi. Ukute hukumwelewa mwalimu we umelivaa tu kama kaptura la max
Hiyo sio kazi yangu. Kama hukwenda shule laumu wazazi wako . Kama hufahamu population tegemezi mpaka sasa hakuna namna nitaweza kukufundisha ukaelewa
 
Mikoa ya watu walioelimika watoto wanne wanatosha sio mtu unazaa hovyo unakuta nusu ya watanzania wote ni watoto kwasababu ya hii mikoa mabongo lala
Kueleimika ni kuacha kuwa na uzao mkubwa? Wazungu wamepumbaza akili za kiafrika hadi huruma! Hivi maisha ya nyamohanga unayajua? Kati ya watoto wake 15 ni yupi ulikutana naye akiwa omba omba hana mavalio, hana pakukula wala hana elimu anategemea mashirika ya watu wa marekani wamsaidie? Utegemezi ni nini kwanza? Hao watoto wanne unaosema ndio kipimo cha kuelimika unajua kuwa kuna mtu atazaa hao wanne na watakuwa chokoraa kwa kushindwa kuwalea?
 
Jamaa anasakamwa kweli hata idadi ya watoto ni Kosa kweli umasikini ni ugonjwa babu yangu yupo hai alizaa watoto 35 wake watano tofauti na waliotaka shule walienda huko Tukuyu Kisa..
 
🤣 we jamaa nimjinga sana. Ila tatizo lako nimeshalielewa
Nitoe ujinga wa dhana ya tegemezi ni nini kwanza, hata wewe kuna ujinga unao ambao hujui kama we ni mjinga hasa kwa kushindwa kunielewesha juu ya utegemezi
 
Siyo kweli. Hizo ni Agency au Taasisi za Serikali na mishahara yao lazma iendane na scales za Serikali. Ati Tanesco ipo Tanganyika nzima ndo kigezo cha Mkurugenzi kuwa na mapato makubwa...seriously!!!?? You must be joking my friend! Unatetea kitu uscho kijua!
Umeshafanya kazi tuu srrikalini wewe au field?
Ndani ya kazi kuna hivyo nilivyotaja OT, safari expenses, na honorarie.
Nikisema Tanesco ipo Tanganyika nzima ni tofauti na hao wengine uliowataja. Example tuu TTCL uliyotaja kuna vijiji hata haipo ofisi zao.
Ukumbuke kuna Taasisi za serikali zinajipangia salaries zenyewe.
Kama hujapita pita hizo ofisi huwezi jua
 
Ninyi watu!!

Aliewaambia Pesa ndio mbadala wa Malezi, Muumba ampe stahiki yake.

Pathetic chromosomes!!
Kwa hiyo kuwa na watoto wachache ndiyo malezi yanakuwa bora?
Watoto wengi miaka hii wanalelewa na house girls, Zaidi ya provision ya needs na kulipia school fees hakuna chochote cha maana mnafanya!
 
Kuna bosi mmoja siikumbuki ni kurugenzi ipi hapo Tanesco yeye ana watoto zaidi ya thelathini ninaowafahamu na wote wanasoma international na wengine vyuo vikubwa duniani. Ukiwa bosi hapo Tanesco unaweza kununua hata ndege binafsi ya kutembelea.Kodi zetu wanazikamua vizuri sana
 
Yaani nyie watu sijui mna akili za namna gani? Mtu amezaa mwenyewe, analea watoto wake mwenyewe, hajawahi kupitisha bakuli kuomba asaidiwe kulea, lakini from no where nyie mnajaa mapovu kumnanga na kumwita mshenzi,wazungu wamewaharibu fikra zenu munaiga kila kitu!

Sisi tulizaliwa 17, mzee wote alitusomesha na amekuwa proud of us, akituita nyumbani panachangamka kweli kweli! Lakini pia ni familia isiyochezewa chezewa kwani ina watu wa fani zote!!
Kinachotakiwa ni kuweza kuwapatia mahitaji yote. Sisi tulizaliwa 18, lakini tulikuwa na maisha mazuri tu. Hatujawahi kukosa chakula na tuliweza kusoma vizuri tu.
 
Hiyo sio kazi yangu. Kama hukwenda shule laumu wazazi wako . Kama hufahamu population tegemezi mpaka sasa hakuna namna nitaweza kukufundisha ukaelewa
Kwenye jamii yako unahisi umesoma na kweli labda wewe ndiyo umesoma ila naamini hujui unachokisemea.....kama unaamini kuzaa watoto wengi ni kuleta wategemezi regardless unawahudumia kwa viwango vyote ni kazi sana hakuna shule na sijui umesoma kwenye level ipi umeshindwa kujua utegemezi ni upi
 
Kuna bosi mmoja siikumbuki ni kurugenzi ipi hapo Tanesco yeye ana watoto zaidi ya thelathini ninaowafahamu na wote wanasoma international na wengine vyuo vikubwa duniani. Ukiwa bosi hapo Tanesco unaweza kununua hata ndege binafsi ya kutembelea.Kodi zetu wanazikamua vizuri sana
Kidagaa kimemwozea njoo utuelekeze utegemezi na sumu kwa taifa hapa uko wapi
 
Kwa hiyo kuwa na watoto wachache ndiyo malezi yanakuwa bora?
Watoto wengi miaka hii wanalelewa na house girls, Zaidi ya provision ya needs na kulipia school fees hakuna chochote cha maana mnafanya!
Sasa hapa zaidi ya kuishibisha hoja yangu umefanya nini ama unapinga nini?

HOJA; PESA SIO MBADALA WA MALEZI BORA

MALEZI ni nini?
 
Serikali yetu kichini chini wanalia .Juzi makamu wa Rais anasema population 70m walipa kodi 2m hakuna uwiano na serikali uduma zinakata budget ya serikali haizunguki ,madeni lukuki .Population haiendani na ukuaji wa uchumi kwa kuwa wanaume ni kufyatua watoto tu na sio kufanya kazi.
Tatizo kubwa ni ufisadi na matumizi mabaya ya serikali pia. Tatizo wanataka low hanging fruits , wanabase kwa wallpa kodi wanaopatikana kirahisi. Informal sector ina ajiri watu wengi lakini ni wachache wanaolipa kodi.
 
Kidagaa kimemwozea njoo utuelekeze utegemezi na sumu kwa taifa hapa uko wapi
Kwamba uzao wake wote pamoja na uzao wa vitukuu utakua a successful story to the very end?

Kilema cha ubinafsi kinatufanya tusione impact ya matendo yetu ya Leo kwenye kesho haswa za wenzetu.

Hata Kama maisha is just one big gamble, but why gamble at the expense of others when mostly you won’t even be there to share the worst moments of your gamble?

Na hiyo ndio sumu yenyewe kwa Taifa.
 
Elon musk ana watoto 12 ...inawezekana nae ni mwafrika.
Lakini pia ndio Tajiri namba moja duniani.
 
Back
Top Bottom