Hawakujui
Member
- Nov 15, 2024
- 44
- 99
Kwan wewe hupendi chini..!?😁😁😁😁Duuh kumbe marehemu alikua anapenda chini sana
Kwan wewe hupendi chini..!?😁😁😁😁Duuh kumbe marehemu alikua anapenda chini sana
Kwanini? Wakizaa mapacha mara nne tu mbona idadi inazidi?
Wewe mbona kama hii taarifa imekupa jazba sana?Kwa mifano ya haraka haraka tu Billionaire Bill Gates ana mtoto 1 tu. Barak Obama former president wa USA ana watoto 2 tu. Sasa ww Mkurugenzi wa TANESCO unaiye ishi kwa mshahara na hongo za Wachina una wake 2 na watoto 15...Hizo ni akili au matope?
Wewe ni taahiraKumbe alikuwa mshenzi, anazaa kama mwehu
DuhBosi Mkurugenzi mkuu wa TANESCO Nyamo Hanga aliyefariki kwa ajali kaacha watoto 15 i
View attachment 3306131
Wazungu wengi wanamatatizo kwenye miili yao hasa kwenye maswala ya uzazi.Kwa mifano ya haraka haraka tu Billionaire Bill Gates ana mtoto 1 tu. Barak Obama former president wa USA ana watoto 2 tu. Sasa ww Mkurugenzi wa TANESCO unaiye ishi kwa mshahara na hongo za Wachina una wake 2 na watoto 15...Hizo ni akili au matope?
Wapo kibao hata kwenye ukoo wetu wapo.Unaleta assumptions kwenye uhalisia
Ni nani duniani amewai kuzaa mapacha mara 4 mfululizo ?
Pia uwezo alikuwa nao ni haki yake kuwa na watoto hivyo shida ni hao watoto sasa wataweza kuishi kwa upendo na umoja na maana kiafrica africa tunajua baba akishafariki kinachofuata nini hasa kama ulikuwa na ndoa za mitaalaBosi Mkurugenzi mkuu wa TANESCO Nyamo Hanga aliyefariki kwa ajali kaacha watoto 15 i
View attachment 3306131
Sasa ukiwaachia mabinti wawili ni sawa umewatafutia mali watu baki nje ya ukoo wakoSafi sana.
Hela yake aliyotafuta kwa jasho ipate warithi wa kugawana.
Sio mtu unakuwa tajiri halafu unamuachia mali mke mmoja na mabinti wawili tu
Wewe mbona kama hii taarifa imekupa jazba sana?Kwa mifano ya haraka haraka tu Billionaire Bill Gates ana mtoto 1 tu. Barak Obama former president wa USA ana watoto 2 tu. Sasa ww Mkurugenzi wa TANESCO unaiye ishi kwa mshahara na hongo za Wachina una wake 2 na watoto 15...Hizo ni akili au matope?
Unaonaje ada kuwa changamoto ikiwa una magenji kibao in millions.Watoto 15 duh....
Changamoto ya Ada alikuwa haioni
Mshenzi bibi yakoKumbe alikuwa mshenzi, anazaa kama mwehu
China wali restrict wakati hule maana population was getting so high ikawa inaelemea serikali kutoa huduma. Baadae walikuja allow watoto wawili per familyHongera zake.Wanaume wa Kiafrica badala ya kujenga viwanda fedha yote inaishia kwenye child support.China walijua ku restrict mtoto mmoja tu ,wanaume akili zikaja wanavianda mpaka wanaweza kumvimbia Trump .Sisi wamekata ARVs kelele nyingi .Anyway RIP Hanga my school mate.
Sawa ni kawaida lakini Maendeleo kwenye hizo jamii ni sifuri zenye masikio! Hakuna elimu, hakuna nyumba, hakuna afya ni kuhangaika na ng😱mbe from one place to another.Jamii za wafugaji Maasai, Kurya au Sukuma ni kawaida sana hiyo
haa Ha Haa HatariWatoto 15 duh....
Changamoto ya Ada alikuwa haioni
Uchumi haukui kama una kipato cha laki 6 kwa mwezi. Ila kwa mtu anayeingiza zaidi ya million 50 kila mwezi watoto hao wachache sana.Uchumi hauwezi kukua embu fikiria watu 17 walikuwa tegemezi kwa mtu mmoja🤣
Acha hizo wewe endelea kuzaa ndio maana wazungu wameshindwa kutumaliza duniani kama wahindi wekundu huko Marekani walivyomaliza sababu walikuwa hawazai sana. Sisi Afrika wamejaribu sana njia hiyo lakini wameshindwa kwa sababu tunazaa sana.Hongera zake.Wanaume wa Kiafrica badala ya kujenga viwanda fedha yote inaishia kwenye child support.China walijua ku restrict mtoto mmoja tu ,wanaume akili zikaja wanavianda mpaka wanaweza kumvimbia Trump .Sisi wamekata ARVs kelele nyingi .Anyway RIP Hanga my school mate.
Emma Alikuwa Anasaini Maadili Ya Uchaguzi DodomaKwake wala sio shida, couz matunzo na malezi aliweza kumudu.
Hongera kwake kwa kuijaza Dunia.