Mkurugenzi mkuu wa TANESCO aliyefariki kwa ajali kaacha watoto 15

Mkurugenzi mkuu wa TANESCO aliyefariki kwa ajali kaacha watoto 15

Ndo maana alikuwa anatembelea gari ya Wachina kama rushwa. Sheria ya Serikali mtumishi anatakiwa awe na watoto 4 tu watakao hudumiwa na Mwajiri/Serikali.

Kama ni kweli alikuwa na 2 wives na 15 children LAXIMA AIBE ILI KUJIKIMU. Hata hii ajali imetokana na STRESS za kujibebesha mizigo iliyo zidi uwezo wake. You reap what you sow!!! Very shameful
Akili ya kike hii
 
Sheria ya ndoa ya Mungu ni MME MMOJA(1) na MKE MMOJA(1). Zaidi ya mke 1 ni UZINZI NA UMALAYA TU.
Hivi unajua kuwa idadi ya wanawake duniani ni mara mbili ya wanaume? Sasa ikiwa mume mmoja mke mmoja hao wanawake waliobaki wataolewa na nani mkuu?

Pia mwenyezi Mungu alisema nendeni mkaijaze dunia sasa dunia itajaaje kama hatuowi wake wengi na kuzaa watoto wengi? Na hakuna sehemu yoyote Mungu amesema tuoe mke mmoja bali amesema tusizini tu. Kuzini maana yake kufanya tendo la ndoa bila uhalali wa ndoa.
 
Hongera zake.Wanaume wa Kiafrica badala ya kujenga viwanda fedha yote inaishia kwenye child support.China walijua ku restrict mtoto mmoja tu ,wanaume akili zikaja wanavianda mpaka wanaweza kumvimbia Trump .Sisi wamekata ARVs kelele nyingi .Anyway RIP Hanga my school mate.
 
Back
Top Bottom