Mkurugenzi mkuu wa TANESCO aliyefariki kwa ajali kaacha watoto 15

Mkurugenzi mkuu wa TANESCO aliyefariki kwa ajali kaacha watoto 15

Sheria ya ndoa ya Mungu ni MME MMOJA(1) na MKE MMOJA(1). Zaidi ya mke 1 ni UZINZI NA UMALAYA TU.
Mbona Mungu alimpa Daudi wake wengi?

2 Samueli 12:7-8 BHN
[7] Nathani akamwambia Daudi, “Wewe ndiwe huyo mtu! Sasa, Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, anasema hivi: ‘Mimi nilikupaka mafuta uwe mfalme juu ya Israeli na kukuokoa mikononi mwa Shauli.
[8] Nilikupa nyumba ya bwana wako na wake zake wawe wako, tena nikakupa watu wa Israeli na wa Yuda uwatawale. Na kama haya yangekuwa kidogo mno kwako ningekuongezea mara mbili zaidi ya hayo.
 
Mungu hafanyi biashara kichaa kama hizo. One husband one wife ndo mpango mzima. Zaidi ya hapo endelea na umalaya wako. You have a free moral, uchaguzi ni wako.

Hv kama una mke wako 1 hiyo nyeto inakujaje hapo? Acha kutetea uzinzi na umalaya. Ukikomaa na 1+, just get prepared on the judgment day.
watoto 15 Lazima hata Mungu atakuzidishia baraka na Neema zake.

Nyeto mara100 ni laana tu kuua watoto bafuni kwa sabuni 🐒
 
Mungu hafanyi biashara kichaa kama hizo. One husband one wife ndo mpango mzima. Zaidi ya hapo endelea na umalaya wako. You have a free moral, uchaguzi ni wako.

Hv kama una mke wako 1 hiyo nyeto inakujaje hapo? Acha kutetea uzinzi na umalaya. Ukikomaa na 1+, just get prepared on the judgment day.
Nyeto ndio biashara kichaa gentleman, tena inayokufanya baadae utumie ndumba kupata watoto vitoto viwili tu tena kwa mbinde balaa 🐒
 
Mungu hafanyi biashara kichaa kama hizo. One husband one wife ndo mpango mzima. Zaidi ya hapo endelea na umalaya wako. You have a free moral, uchaguzi ni wako.

Hv kama una mke wako 1 hiyo nyeto inakujaje hapo? Acha kutetea uzinzi na umalaya. Ukikomaa na 1+, just get prepared on the judgment day.
Huyu wa sasa siyo yule wa akina Abraham? Kama ni yeye unashangaa nini ?
 
Ishu sio pesa kijana! Kuna watu ni mabwenyenye kuliko huyo marehemu ila watoto hawazidi hata wawili

Wana sababu zao, ila kama you can take care of them, una pesa na huvunji Imani yako shida Nini? Hao wenye watoto wa 2 huko nje unajua wanaishije au unaropoka tu we Mzee?
 
Uzuri hajawahi kumuomba mtu amsaidie kuwalea watoto wake.
Kama hujui utajua tu. Tumesikia hajajenga huko kwao, unafikiri hao wake 2 na watoto 15 watakaa wapi?

Sina hakika kama huko Dar amejenga nyumba 2 kwa kila mke! Ole ya wake na watoto kama alikuwa anakaa nyumba zakupanga au ya shirika. Hali itakuwa ngumu sana!!
 
Ishu sio pesa kijana! Kuna watu ni mabwenyenye kuliko huyo marehemu ila watoto hawazidi hata wawili
Kwa mifano ya haraka haraka tu Billionaire Bill Gates ana mtoto 1 tu. Barak Obama former president wa USA ana watoto 2 tu. Sasa ww Mkurugenzi wa TANESCO unaiye ishi kwa mshahara na hongo za Wachina una wake 2 na watoto 15...Hizo ni akili au matope?
 
Back
Top Bottom