Mkurugenzi mkuu wa TANESCO aliyefariki kwa ajali kaacha watoto 15

Mkurugenzi mkuu wa TANESCO aliyefariki kwa ajali kaacha watoto 15

Ni kweli mkuu.

Kumi na tano, apo kila mwanamke amezaa watoto saba, si kuwachosha
Hakuna kuchoka hapo Mama zetu wamezaa watoto 8 na hawachaka ila sikuhizi wanawake wanazaa watoto 2 wanakua wamechoka wanakua hawana utofauti na Mama mwenye watoto 6 kimuonekano
 
Jamii nyingi ya watu wa Ukanda ule, Wana tabia ya kuwa na Watoto wengi

Hapo hakuwa amefika miaka 55, ina maana angefika miaka 65 huenda angekuwa na Watoto zaidi ya 20 🙌

Ametuwakilisha na sisi wengine tunaozalisha Kwa Bajeti 😜
 
Kwa mifano ya haraka haraka tu Billionaire Bill Gates ana mtoto 1 tu. Barak Obama former president wa USA ana watoto 2 tu. Sasa ww Mkurugenzi wa TANESCO unaiye ishi kwa mshahara na hongo za Wachina una wake 2 na watoto 15...Hizo ni akili au matope?
Mkuu mbona unataka Afrika tuwafate Wazungu kwenye Tamaduni zao za kujenga familia kaa ujue Mazingira yetu na yao ni tofauti na Jamii zao na zetu tofauti, kwa Mkurugenzi wa Tanesco watoto 15 ni wachache sana, Watoto kumi na tano siyo wengi kama unavyoona, Watoto wake wanaweza kuja kuwa na Maisha bora mbeleni kuliko ata wenye watoto 3 au 2.
 
Jamaa alipambana kujaza dunia kama maandiko yasemavyo. Hakika aliyaishi maagizo ya Muumba wake, apumzike kwa amani mwamba
Amenizidi wawili lakini naamini Mungu akiendelea kuniweka hai nampita very soon!
Tuijaze dunia na kuitunza na kuwatunza pia.
 
Kwangu na Dunia hii at least tano biashara za kuwalea kimayai na kizungu bado labda waje kuwalea watoto wao kizungu.

Hapa itakuwa kulima, shule, ufundi, biashara tuondoe ujinga kichwani na kupambana na umaskini na kuwatengenezea future kuepuka kuililia serikali ya hangaiya kama nifanyavyo baba yao sasa.
 
Mkuu mbona unataka Afrika tuwafate Wazungu kwenye Tamaduni zao za kujenga familia kaa ujue Mazingira yetu na yao ni tofauti na Jamii zao na zetu tofauti, kwa Mkurugenzi wa Tanesco watoto 15 ni wachache sana, Watoto kumi na tano siyo wengi kama unavyoona, Watoto wake wanaweza kuja kuwa na Maisha bora mbeleni kuliko ata wenye watoto 3 au 2.
Hoja yako ina mashiko mkuu. Mtafute mbunge wako apeleka hoja Bungeni kupitia mwakilishi wako ya kuomba sasa Serikali iruhusu Watumishi wasiwekewe sheria ya kuzaa watoto 4 tu lakini pia habari ya uzazi wa mpango ifutiliwe mbali Tanzania. Simple.
 
Ndo maana alikuwa anatembelea gari ya Wachina kama rushwa. Sheria ya Serikali mtumishi anatakiwa awe na watoto 4 tu watakao hudumiwa na Mwajiri/Serikali.

Kama ni kweli alikuwa na 2 wives na 15 children LAXIMA AIBE ILI KUJIKIMU. Hata hii ajali imetokana na STRESS za kujibebesha mizigo iliyo zidi uwezo wake. You reap what you sow!!! Very shameful!!!
Yaani nyie watu sijui mna akili za namna gani? Mtu amezaa mwenyewe, analea watoto wake mwenyewe, hajawahi kupitisha bakuli kuomba asaidiwe kulea, lakini from no where nyie mnajaa mapovu kumnanga na kumwita mshenzi,wazungu wamewaharibu fikra zenu munaiga kila kitu!

Sisi tulizaliwa 17, mzee wote alitusomesha na amekuwa proud of us, akituita nyumbani panachangamka kweli kweli! Lakini pia ni familia isiyochezewa chezewa kwani ina watu wa fani zote!!
 
Hoja yako ina mashiko mkuu. Mtafute mbunge wako apeleka hoja Bungeni kupitia mwakilishi wako ya kuomba sasa Serikali iruhusu Watumishi wasiwekewe sheria ya kuzaa watoto 4 tu lakini pia habari ya uzazi wa mpango ifutiliwe mbali Tanzania. Simple.
Kuna mzee alikuwa Jirani yetu alikuwa daktari, (kwa sasa ni msataafu) alikuwa anamuona mzee wetu kuwa uncivilized kwa kuwa sisi tulikuwa 17 yeye alikuwa na watoto 3!

Katika watatu wakike 2 wamezalia nyumbani na wanasaidiana kula pension na mzee wao, wa kiume mmoja alimaliza degree ya community development, hajawahi kuajiriwa!
Wakati huo mzee alikuwa anatusisiza kufanya bidii kwenye kila jambo, shuleni. Shambani, Kuchunga, kulisha kuku nyumbani, kukamua maziwa, zote tulifanya wenyewe, wenzetu walikuwa wanapanda magari ya njano kwenda na kurudi shule!

Tusikariri maisha, watoto wengi au wachache sio kesi, ugumu wa maisha yao utategemea na namna unavyowalea!
 
Back
Top Bottom