Mkurugenzi mkuu wa TANESCO aliyefariki kwa ajali kaacha watoto 15

Mkurugenzi mkuu wa TANESCO aliyefariki kwa ajali kaacha watoto 15

Mungu hafanyi biashara kichaa kama hizo. One husband one wife ndo mpango mzima. Zaidi ya hapo endelea na umalaya wako. You have a free moral, uchaguzi ni wako.

Hv kama una mke wako 1 hiyo nyeto inakujaje hapo? Acha kutetea uzinzi na umalaya. Ukikomaa na 1+, just get prepared on the judgment day.
Wooote mnaomnanga marehemu mna michepuko kila mahali, munazini kila kukicha, si bora aliyehalalisha na kuzaa watoto wake ambao hajamuomba yeyote Kati yetu amsaidie kulea! Kumlaumu ni ushenzi kabisaaaa!
 
Kuna mzee alikuwa Jirani yetu alikuwa daktari, (kwa sasa ni msataafu) alikuwa anamuona mzee wetu kuwa uncivilized kwa kuwa sisi tulikuwa 17 yeye alikuwa na watoto 3!

Katika watatu wakike 2 wamezalia nyumbani na wanasaidiana kula pension na mzee wao, wa kiume mmoja alimaliza degree ya community development, hajawahi kuajiriwa!
Wakati huo mzee alikuwa anatusisiza kufanya bidii kwenye kila jambo, shuleni. Shambani, Kuchunga, kulisha kuku nyumbani, kukamua maziwa, zote tulifanya wenyewe, wenzetu walikuwa wanapanda magari ya njano kwenda na kurudi shule!

Tusikariri maisha, watoto wengi au wachache sio kesi, ugumu wa maisha yao utategemea na namna unavyowalea!
We umechanganua wale 3 wa daktari jirani.
Haya hebu na wewe tuambie ktk 17 mliozaliwa, wa kiume mko wangapi na wa kike wangapi? Mlisoma mpaka kiwango gani cha elimu na what's your life status?
 
Sawa ni kawaida lakini Maendeleo kwenye hizo jamii ni sifuri zenye masikio! Hakuna elimu, hakuna nyumba, hakuna afya ni kuhangaika na ng😱mbe from one place to another.

Nakumbuka Rais mstaafu JK wakti wake aliwai kusema hawa Wafugaji wapewe elimu! Maana unakuta NG'OMBE WAMEKONDA NA MFUGAJI AMEKONDA......Who is benefiting who? Ngombe hawamsaidii Mfungaji na ng'ombe nao hawapati msaada wowote toka kwa mfugaji woote ni choka mbaya.
Okay, wewe ambaye hakuna watoto 15 kama yeye, una ndege ngapi mpaka sasa?
 
Kwa mifano ya haraka haraka tu Billionaire Bill Gates ana mtoto 1 tu. Barak Obama former president wa USA ana watoto 2 tu. Sasa ww Mkurugenzi wa TANESCO unaiye ishi kwa mshahara na hongo za Wachina una wake 2 na watoto 15...Hizo ni akili au matope?
Siyo lazima uwe kama Bill au Obama, ishi kadri unavyoweza
 
Sheria ya ndoa ya Mungu ni MME MMOJA(1) na MKE MMOJA(1). Zaidi ya mke 1 ni UZINZI NA UMALAYA TU.
Una uhakika Mungu ndiye aliyeiandika?
yaani ampe Selemanni mali na wake chekwa, ila akukasilikie wewe kwa tuwake tuwili au tutatu?
ambariki Ibrahim ila akuchukue wewe kwa mbunye hazizidi 20? ebu kuwa serious.
 
China wali restrict wakati hule maana population was getting so high ikawa inaelemea serikali kutoa huduma. Baadae walikuja allow watoto wawili per family

Sijui kama serikal yetu inaliona hili, haswa kwa familia masikin lakin watu bado wanafumua
Serikali yetu kichini chini wanalia .Juzi makamu wa Rais anasema population 70m walipa kodi 2m hakuna uwiano na serikali uduma zinakata budget ya serikali haizunguki ,madeni lukuki .Population haiendani na ukuaji wa uchumi kwa kuwa wanaume ni kufyatua watoto tu na sio kufanya kazi.
 
Serikali yetu kichini chini wanalia .Juzi makamu wa Rais anasema population 70m walipa kodi 2m hakuna uwiano na serikali uduma zinakata budget ya serikali haizunguki ,madeni lukuki .Population haiendani na ukuaji wa uchumi kwa kuwa wanaume ni kufyatua watoto tu na sio kufanya kazi.
Ni mwanzo tu, kuna bomu lita burst. Tutakuwa kama nigeria. Mwishowe gov itashindwa ku handle huduma, hawatosema kama kawaida. Ila watapigwa propaganda, watapigwa siasa ili kuuficha ukweli
 
I wont take it like that,
1000411361.jpg
 
Hakuna kuchoka hapo Mama zetu wamezaa watoto 8 na hawachaka ila sikuhizi wanawake wanazaa watoto 2 wanakua wamechoka wanakua hawana utofauti na Mama mwenye watoto 6 kimuonekano
Yes mkuuu mambo ya vidonge vya uzazi WA mpango noma noma
 
Back
Top Bottom