Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 11,047
- 16,378
Alikuwa anawamudu vizuri tuu, kwa hizi shule zq sh 1.5M alimudu kuwasomesha vizuri tuu. Maana mshahara ya miezi miwili ada na school basi zinawatosha.
Kulikoni mbona una hasira sana. Vipi alishawahi kukuzalisha nini ?Kumbe alikuwa mshenzi, anazaa kama mwehu
We faller kweli,kwani kuna sehemu wameandika alishindwa kuwahudumia hao watoto?ww una mtoto mmoja aya tuonyeshe huo utajri wako?Kwa mifano ya haraka haraka tu Billionaire Bill Gates ana mtoto 1 tu. Barak Obama former president wa USA ana watoto 2 tu. Sasa ww Mkurugenzi wa TANESCO unaiye ishi kwa mshahara na hongo za Wachina una wake 2 na watoto 15...Hizo ni akili au matope?
Ana wivu huyo, achana nae.., kuzaa sana ni ushenzy tangu lini?Kulikoni mbona una hasira sana. Vipi alishawahi kuzalishwa nini ?
Wake wanne,watoto 35Ukipata chance ya kulamba asali ya hii nchi utaongeza wengine tisa
Teh tehee teehee,watu wengine bhana!!!Duuh kumbe marehemu alikua anapenda chini sana
😀😅Waambie wawe tayari kukusaidia kulea pia.Mmoja tu ananitoa mvi,halafu kuna mindugu mijinga inaniambia we fyatua tu eti ukoo wetu mdogo.Hawanipati.
Khanisi huyo achananaeWewe mbona kama hii taarifa imekupa jazba sana?
Unatoka maneno makali kwelikweli
Ni Maisha yake,alikua mwanaume rijali na mimba akipachika ulitaka awaambie waziroe Ili kufurahisha jamii imwoneje?
Hata kama kalala na michepuko namsifu Kwa utu wa kuziitambua damu zake.hata kama amaekula rushwa na kupiga madili ya pembeni ndo kujiongeza huko kama mwanaume sio kuzubaa.
Mwisho wa siku ni Maisha yake,asingekufa mngeyajua?
Acheni kumkashifu.watoto ni baraka hata wawe 50 uzao wa tumbo ni baraka hautukanwi!
Eti jabali😄😄..Alikuwa Jabali huyo.
Hao wanakupenda kukwambia hivyo!!ni bahati ilioje!we unaichezea bure, mbona wazee wetu waliweza,sasa hivi nini tatizo mkuu.Mmoja tu ananitoa mvi,halafu kuna mindugu mijinga inaniambia we fyatua tu eti ukoo wetu mdogo.Hawanipati.
UNAJARIBIWA KUIBA. MAANA HAPO MSHAHARA HAUTOSHI.Uchumi hauwezi kukua embu fikiria watu 17 walikuwa tegemezi kwa mtu mmoja🤣
Wakristo wengi wamekalilishwa mila za wazungu,mke mmoja watoto wawili.,,...Yaani nyie watu sijui mna akili za namna gani? Mtu amezaa mwenyewe, analea watoto wake mwenyewe, hajawahi kupitisha bakuli kuomba asaidiwe kulea, lakini from no where nyie mnajaa mapovu kumnanga na kumwita mshenzi,wazungu wamewaharibu fikra zenu munaiga kila kitu!
Sisi tulizaliwa 17, mzee wote alitusomesha na amekuwa proud of us, akituita nyumbani panachangamka kweli kweli! Lakini pia ni familia isiyochezewa chezewa kwani ina watu wa fani zote!!
Fedha chief hakuna lingine😀😀Hao wanakupenda kukwambia hivyo!!ni bahati ilioje!we unaichezea bure, mbona wazee wetu waliweza,sasa hivi nini tatizo mkuu.
😁😁😁Wewe unao wangapi? Au na wewe unamfukuzia mhandisi mwendazake?Hao wanakupenda kukwambia hivyo!!ni bahati ilioje!we unaichezea bure, mbona wazee wetu waliweza,sasa hivi nini tatizo mkuu.
Viongozi wengi wana hayo mambo sana sema wanayaficha. Ukiwa na pesa na madaraka, ni ngumu sana kujizuia na papuhi. Wanawake wenyewe wakishajua una mpunga mbona wanajileta wenyewe. Kwanza unaweza kukuta hao waliosemwa ni official. Wa makando kando hawajasemwaDuuh kumbe marehemu alikua anapenda chini sana