Hamna sheria inayomkataza mtumishi wa serikali kuzaa zaidi ya watoto 4,ila kuna restriction ya kuhudumiwa na muajiri kimatibabu na safari.na kuhusu ajali unaandika kama you are exempted from death kama Elia na Enock.Na labda nikuambie siyo kila mtu anapeleka watoto wake shule za mabei mfano Magufuli mpaka anakuwa rais mtoto wake alikuwa anasoma primary ya olimpio hapo.mshahara wa CEO zaidi ya 20m na posho zishindwe kuhudumia watoto 15 hacha uzwazwa unakasarika mwanaume kuwa na wake wawili!!? Utakuwa mwanamke na kama mwanaume ni bwabwa.