Mkurugenzi mkuu wa TANESCO aliyefariki kwa ajali kaacha watoto 15

Lp
Natamani nichakate sawa sawa Ila ndio kwanza ana ujauzito wa pili ni lini Sasa ☺️
Namwonea huruma na for sure sitaki ENDELEA yeye kuzaa Sanaa

Ila ukoo wetu upo kwenye tishio la Extinct 😌

Wasalaam
Akimaliza kuzaa na kunyonyesha mtandike mimba ingine hadi kieleweke mradi ana uzazi na afya nzuri

Ni kweli kuna koo ziko hatarini kupotea sababu ya uzazi wala sio siri ziko nyingi tu
 
Kwa mishahara ya serikali hapo mikataba mibovu lazima iwepo.
Fikiria family expenditure ya watu 18 per day, per wk, per month na per year. Chakula, malazi, mavazi, shule, matibabu n.k. Huyo mtu lazima awe fisadi su jizi tu! Tusidanganyane hapa. Wengine humu ni watumishi we know the real situation!!
 
Una hoja nzito usikilizwe
 
Vijana wa siku hizi mchelemchele mnashangaa mwanaume kuwa na watoto 15?
Uko sahihi hawa wataka English figure wa kiume na kike wanasahau kuwa hapa ni Tanzania kunatakiwa Tanzania figure sio English figure wala ulaji wa vyakula vya kingereza vinatakiwa vya kitanzania sio vya kingereza hawezi kuwa na uwezo kuzaa watoto wote hao kwa uwezo upi ulaji wao tu wa vyakula wanakwepa sana wanga ambacho ndicho chakula cha kuleta nguvu mwilini hadi kitandani

Bila wanga chakula cha kutia nguvu mwilini kijana wa kike au kiume anawezaje kuwa na nguvu kitandani za hata kuzaa anayeshindia chips yai ,kuku na pizza na burger na wali ? Hali ugali wowote uwe wa mahindi,mtama,ulezi nk au makande nk
 
Huyo lazma alikuwa ni fisadi tu. Dalili xote zinaonesha hvo ndo maana gari ni la Wachina na dreva aliye stahafu. Watu waache kujitoa ufahamu pse.
Dereva unaambiwa alikuwa pale kimkataba, mshahara wake na OT ukijulisha na safari, Honoraria zinamtosha na hiyo familia yooote kuishi na kuwasomeha wooote teeena shule hizi za English medium wooote hao.
Tanesco kuna waajiriwa wengi wa mkataba pale kuanzia, mafundi madereva, na wahasinbu.
Ufisadi unaweza tuu kukufuatq sababu una cheo na marupulupu mengi.
Hayo ya kutumia gari ya B....... nini sitii neno maana sijui imekuwaje.
 
Natamani nichakate sawa sawa Ila ndio kwanza ana ujauzito wa pili ni lini Sasa ☺️
Namwonea huruma na for sure sitaki ENDELEA yeye kuzaa Sanaa

Ila ukoo wetu upo kwenye tishio la Extinct 😌

Wasalaam
Bado hujasema 🤒 maji utaita mma
Tumezaliwa wawili,nimezaa wawili....nilitaka kuongeza ila maisha yanafunza...dunia ya sasa si ya kuleta watoto kabisa
 
Dereva unaambiwa alikuwa pale kimkataba, mshahara wake na OT ukijulisha na safari, Honoraria zinamtosha na hiyo familia yooote kuishi na kuwasomeha wooote teeena shule hizi za English medium wooote hao.
Tanesco kuna waajiriwa wengi wa mkataba pale kuanzia, mafundi madereva, na wahasinbu.
Ufisadi unaweza tuu kukufuatq sababu una cheo na marupulupu mengi.
Hayo ya kutumia gari ya B....... nini sitii neno maana sijui imekuwaje.
Hv unataka kuniambia Tanesco wana special salaries tofauti na mashirika mengine km TPA, TRA, TBA, TTCL, TARURA, TANROANDS n.k? Watz kibao kwa sasa hawana Ajira halafu mtu amefikia umri wa kustaafu @ 60 yrs bado walikuwa wanaendelea kwa mkataba...why?
Mkurugenzi kumbe naye alisha staff he was 63 yrs na dreva was 61 yrs watu wamesha xeeka wanatakiwa wakalee wajukuu bado wamengangana na kazi kuendesha gari usiku wa ma8 @ 63 and 61 respectively. Hapa kuna matatizo ya kujitakia.
Uchumi haukui kama una kipato cha laki 6 kwa mwezi. Ila kwa mtu anayeingiza zaidi ya million 50 kila mwezi watoto hao wachache sana.
 
Hv unataka kuniambia Tanesco wana special salaries tofauti na mashirika mengine km TPA, TRA, TBA, TTCL, TARURA, TANROANDS n.k? Watz kibao kwa sasa hawana Ajira halafu mtu amefikia umri wa kustaafu @ 60 yrs bado walikuwa wanaendelea kwa mkataba...why?
Mkurugenzi kumbe naye alisha staff he was 63 yrs na dreva was 61 yrs watu wamesha xeeka wanatakiwa wakalee wajukuu bado wamengangana na kazi kuendesha gari usiku wa ma8 @ 63 and 61 respectively. Hapa kuna matatizo ya kujitakia.
Sasa Mkurugenzi Mtendaji alizaliwa mwaka 1969 Sasa anakuwaje na umri wa miaka 63????, mkurugenzi kafariki na umri wa miaka 56
 
Vijana wa siku hizi mchelemchele mnashangaa mwanaume kuwa na watoto 15?
Vijana wa sikuhizi njaa nguvu hakuna tena, utakuta kijana Dar ana mke na mtoto mmoja na huyo mke wake ana miaka 37 wamezaa mtoto mmoja.
 
Hv unataka kuniambia Tanesco wana special salaries tofauti na mashirika mengine km TPA, TRA, TBA, TTCL, TARURA, TANROANDS n.k? Watz kibao kwa sasa hawana Ajira halafu mtu amefikia umri wa kustaafu @ 60 yrs bado walikuwa wanaendelea kwa mkataba...why?
Mkurugenzi kumbe naye alisha staff he was 63 yrs na dreva was 61 yrs watu wamesha xeeka wanatakiwa wakalee wajukuu bado wamengangana na kazi kuendesha gari usiku wa ma8 @ 63 and 61 respectively. Hapa kuna matatizo ya kujitakia.

Sasa Mkurugenzi Mtendaji alizaliwa mwaka 1969 Sasa anakuwaje na umri wa miaka 63????, mkurugenzi kafariki na umri wa miaka 56
Gissima Nyamo-Hanga Biography

Gissima Nyamo-Hanga was born on June 18, 1962, in Mwanza, Tanzania. He was a prominent Tanzanian engineer and leader known for his significant contributions to the nation’s energy sector. He held key positions in various government agencies and served as the Managing Director of TANESCO.

His formative years were marked by a strong community ethos and a desire to make a difference in society. This sense of purpose steered him toward a career that would eventually impact the energy sector and national infrastructure. Gissima Nyamo-Hanga was 63 years old as of 2025.
 
Sasa Mkurugenzi Mtendaji alizaliwa mwaka 1969 Sasa anakuwaje na umri wa miaka 63????, mkurugenzi kafariki na umri wa miaka 56
Uachage kukaririshwa vitu. Try to do thy own simple research. Tumia search engine e,g. Google utajua hujui umri wa marehemu!!!
 
Back
Top Bottom