Mkurugenzi mkuu wa TANESCO aliyefariki kwa ajali kaacha watoto 15

natamani kuwa kama yeye.

Money

Power

Respect
 
Hv unataka kuniambia Tanesco wana special salaries tofauti na mashirika mengine km TPA, TRA, TBA, TTCL, TARURA, TANROANDS n.k? Watz kibao kwa sasa hawana Ajira halafu mtu amefikia umri wa kustaafu @ 60 yrs bado walikuwa wanaendelea kwa mkataba...why?
Mkurugenzi kumbe naye alisha staff he was 63 yrs na dreva was 61 yrs watu wamesha xeeka wanatakiwa wakalee wajukuu bado wamengangana na kazi kuendesha gari usiku wa ma8 @ 63 and 61 respectively. Hapa kuna matatizo ya kujitakia.
Hizo ulizoziraja ni Agency nyingi zina jipangia salary zake. Miye nimetaja yale maslai ambayo anayo kila mwezi. Bila kugusa makandokando ya nje. Ndiyo maana nikasema anawamudu hao watoto wooote bila shida.
Alafu ukumbuke Tanesco ipo Tanganyika nzima hata akijipangia kazi kijijini kwao atasema yupo kwenye majukumu ya kiofiso.
 
Ni jambo la ajabu na kushangaza kwamba habari kubwa zaidi ya mtu aliyekuwa anaongoza kampuni yenye ukubwa wa zaidi ya Trillion 1 alipofariki ni kuacha watoto 15!

Katika jamii inayojielewa jaikapuswa kuwa hivyo, legacy kubwa haikupaswa kuwa ufyatuaji bali legacy iliyotakiwa kusambaa na kuwa habari kubwa zaidi ni idadi ya Watanzania waliopata umeme akiwa CEO, utulivu na upatikanaji wa uhakika wa umeme, kupungua kwa ufisadi, kuongezeka ufanisi, kupungua kwa gharama za umeme n.k
 
Ni jambo la ajabu na kushangaza kwamba habari kubwa zaidi ya mtu aliyeyekuwa anaongoza kampuni yenye ukubwa wa zaidi wa Trillion 1 alipofariki ni kuacha watoto 15.

waafrika ni wapuuzi! Donald Trump huwa anasema ukweli khs mtu mweusi.

JESUS IS LORD & SAVIOR
 
Ni jambo la ajabu na kushangaza kwamba habari kubwa zaidi ya mtu aliyeyekuwa anaongoza kampuni yenye ukubwa wa zaidi wa Trillion 1 alipofariki ni kuacha watoto 15.

Katika jamii inayojielewa jaikapuswa kuwa hivyo, legacy kubwa haikupaswa kuwa ufyatuaji bali legacy iliyotakiwa kusambaa na kuwa habari kubwa zaidi ni idadi ya Watanzania waliopata umeme akiwa CEO, utulivu na upatikanaji wa uhakika wa umeme, kupungua kwa ufisadi, kuongezeka ufanisi, kupungua kwa gharama za umeme n.k
Vijana wengi wa bongo hawana nguvu za kiume,

Kwahiyo wakisikia Rijali ana idadi kubwa ivyo ya watoto lazima wataaluki.
 
Hizo ulizoziraja ni Agency nyingi zina jipangia salary zake. Miye nimetaja yale maslai ambayo anayo kila mwezi. Bila kugusa makandokando ya nje. Ndiyo maana nikasema anawamudu hao watoto wooote bila shida.
Alafu ukumbuke Tanesco ipo Tanganyika nzima hata akijipangia kazi kijijini kwao atasema yupo kwenye majukumu ya kiofiso.
Siyo kweli. Hizo ni Agency au Taasisi za Serikali na mishahara yao lazma iendane na scales za Serikali. Ati Tanesco ipo Tanganyika nzima ndo kigezo cha Mkurugenzi kuwa na mapato makubwa...seriously!!!?? You must be joking my friend! Unatetea kitu uscho kijua!
 
Dunia haimtaki binadamu ila africa tuko busy kufyatua binadamu baada ya muda tutavurugwa na hawa robots wanaofyatuliwa na niwaambie miaka kumi ijayo maisha yatakuwa magumu kuliko sasa. Endeleeni kukaa kwenye ujinga
 
Back
Top Bottom