Mkurugenzi mkuu wa TANESCO aliyefariki kwa ajali kaacha watoto 15

Na baada ya kufariki ndo nyumbani kwao ikajengwa nyumba harakaharaka ili kuficha aibu, ukuta unapigwa rangi cement haijakauka, msisahau sana nyumbani
Nyumbani kwao ni pale alipokuwa anaishi, huko kwingine ni nyumbani kwa wazazi wake.
 
Kule Kisarawe Mwenyekiti wa Chama wa CCM wa Wilaya, kapelekewa nguzo 40 za umeme kwenda shambani kwake, wakati kijiji kilichopita hizo nguzo wananchi wengi hawana umeme nguzo za kusambaza hakuna.
 
Nyumbani kwao ni pale alipokuwa anaishi, huko kwingine ni nyumbani kwa wazazi wake.
Hapo anapoishi siyo kwao ni kwa watoto wake kwao ni huko kwa wazazi wake
 
Ni jambo la ajabu na kushangaza kwamba habari kubwa zaidi ya mtu aliyeyekuwa anaongoza kampuni yenye ukubwa wa zaidi ya Trillion 1 alipofariki ni kuacha watoto 15!

Katika jamii inayojielewa jaikapuswa kuwa hivyo, legacy kubwa haikupaswa kuwa ufyatuaji bali legacy iliyotakiwa kusambaa na kuwa habari kubwa zaidi ni idadi ya Watanzania waliopata umeme akiwa CEO, utulivu na upatikanaji wa uhakika wa umeme, kupungua kwa ufisadi, kuongezeka ufanisi, kupungua kwa gharama za umeme n.k
Hiyo hbr imeandikwa na serikali? Si bwege tu km ww ameamua kujiandikia? We andika unachokifahamu kumhusu marehemu
 
Hapo anapoishi siyo kwao ni kwa watoto wake kwao ni huko kwa wazazi wake
Hapo alipopanga au kujenga anapoishi na watoto wake na wake zake ndio kwake, kwa wazazi wake ni kwa wazazi wake ambapo wangemuachia urithi endapo wangefariki mapema kabla yake.
 
Ni jambo la ajabu na kushangaza kwamba habari kubwa zaidi ya mtu aliyeyekuwa anaongoza kampuni yenye ukubwa wa zaidi ya Trillion 1 alipofariki ni kuacha watoto 15!

Katika jamii inayojielewa jaikapuswa kuwa hivyo, legacy kubwa haikupaswa kuwa ufyatuaji bali legacy iliyotakiwa kusambaa na kuwa habari kubwa zaidi ni idadi ya Watanzania waliopata umeme akiwa CEO, utulivu na upatikanaji wa uhakika wa umeme, kupungua kwa ufisadi, kuongezeka ufanisi, kupungua kwa gharama za umeme n.k
Watanzania wanapenda habari za udaku.
Waandiashi nao ni makanjanja. Hakuna aliyeweza kuwaza ni kwa namna gani huyu CEO aliyefariki alifanikisha malengo ya taasisi yake.

Badala yake wako busy na mambo yake binafsi ya chumbani
 
Wazungu kupitia ukristo wanatudangqnya ndoa moja ili kufanya depopulation
Siku Hizi hatuwasikilizi, very soon napata mtoto mwingine na nitaongeza na Wengine. Niliwahi kutangaza hapa mara kadhaaa kama kuna MWANAMKE anahitaji MTU wa kuzaa nae ila sikupata response yoyote. Napenda Sana watoto
 
Amazing

Supposedly ulimwengu toka uanze unakadiriwa kuwa na miaka billioni 13 na miaka 800.

Watu huko duniani wanapingana uhalisia wa hiyo nadharia hadi kujenga ma hydrogen collider kuelewa tu the sub atomic world.

Wakati kuna watu wanawaza watoto
wa marehemu ambao awa wahusu.

Amazing
 
Ni jambo la ajabu na kushangaza kwamba habari kubwa zaidi ya mtu aliyeyekuwa anaongoza kampuni yenye ukubwa wa zaidi ya Trillion 1 alipofariki ni kuacha watoto 15!

Katika jamii inayojielewa jaikapuswa kuwa hivyo, legacy kubwa haikupaswa kuwa ufyatuaji bali legacy iliyotakiwa kusambaa na kuwa habari kubwa zaidi ni idadi ya Watanzania waliopata umeme akiwa CEO, utulivu na upatikanaji wa uhakika wa umeme, kupungua kwa ufisadi, kuongezeka ufanisi, kupungua kwa gharama za umeme n.k
Watoto ni wake...na anawatunza vizuri kuliko unavotunza wako..hayo yalikuwa maisha yake wewe hayakuhusu
 
Back
Top Bottom