Mkurugenzi mkuu wa TANESCO aliyefariki kwa ajali kaacha watoto 15

Mkurugenzi mkuu wa TANESCO aliyefariki kwa ajali kaacha watoto 15

Nguvu na uwezo si alikuwa nayo ya kuwalea....boss tanesco tena huko dili kem kem
Kikubwa huduma tu iendeleee tu na malezi kwa hao watoto
Ila ukweli ni akishatoka baba na ndiyo kichwaaa basi mambo mengi huvurugika....

Ova
 
Dunia haimtaki binadamu ila africa tuko busy kufyatua binadamu baada ya muda tutavurugwa na hawa robots wanaofyatuliwa na niwaambie miaka kumi ijayo maisha yatakuwa magumu kuliko sasa. Endeleeni kukaa kwenye ujinga
Maisha hayajawahi kuwa mepesi tangu enzi na enzi
 
Wanawahudumiaje hao wake zao na watoto wakiwa bado wadogo hivyo tena kidato cha kwanza?
Ujue wale ni jamii za Wafugaji.
Kwanza huyo mke akisha olewa, yeye ndo atahangaika na mifugo, kuchunga, kukamua na kuwapeleka kwene maji.
Akirudi home ni kupika, kufua na kulea watoto. Usiku ana mhudumia Mmura kufyatua watoto zaidi.
 
Ujue wale ni jamii za Wafugaji.
Kwanza huyo mke akisha olewa, yeye ndo atahangaika na mifugo, kuchunga, kukamua na kuwapeleka kwene maji.
Akirudi home ni kupika, kufua na kulea watoto. Usiku ana mhudumia Mmura kufyatua watoto zaidi.
Mwanamke ndiye anaenda kuchunga huko kwa Wakuria na Wazanaki? Wanaume wao wanakuwa wanafanya nini?
 
Ni jambo la ajabu na kushangaza kwamba habari kubwa zaidi ya mtu aliyekuwa anaongoza kampuni yenye ukubwa wa zaidi ya Trillion 1 alipofariki ni kuacha watoto 15!

Katika jamii inayojielewa jaikapuswa kuwa hivyo, legacy kubwa haikupaswa kuwa ufyatuaji bali legacy iliyotakiwa kusambaa na kuwa habari kubwa zaidi ni idadi ya Watanzania waliopata umeme akiwa CEO, utulivu na upatikanaji wa uhakika wa umeme, kupungua kwa ufisadi, kuongezeka ufanisi, kupungua kwa gharama za umeme n.k
Wewe ligasi yako ni kuja kuwasema marehemu jf?
 
Sasa hilo ni tatizo la baadhi ya waandishi wa bongo wambeya wambeya Mkuu.
Mkuu umenikumbusha jambo. Hii nji imejaa mafununu, umbeya na propaganda za kuhamisha akili na mawazo ya Wabongo. Kumbuka ajali ya Mkurugenzi ni kama imeingiliana na Kukamatwa kwa Mwenyekiti(T) CHADEMA Mhe. Tundu Lissu na Tume ya Uchaguzi kuwaengua CHADEMA kushiriki Uchaguzi Mkuu 2025.

Sasa kwa CCM na Serikali yake wameamua maksudi kugeuza habari ya kifo cha Mkurugenzi TANESCO kuwa ndo habari ili kuhamisha akili na mawazo yote ya Watz wasiongelee habari ya kukamatwa kwa LISSU na CHADEMA.
Kuna wakti nchi hii matukio mengine hupangwa na huandaliwa kimkakati kwa malengo maalumu. Tafakari!!!
 
Na baada ya kufariki ndo nyumbani kwao ikajengwa nyumba harakaharaka ili kuficha aibu, ukuta unapigwa rangi cement haijakauka, msisahau sana nyumbani
Wake 2 na watoto 17 anaweza kuwa na akina ya kujenga kwao?? Family planning ni muhimu sana ktk mafanikio

By the way kwann alikuwa anamiliki nyapu 2 ?? Si angekuwa na michepuko kadhaa hapo ofisini tu
 
Jamii nyingi ya watu wa Ukanda ule, Wana tabia ya kuwa na Watoto wengi

Hapo hakuwa amefika miaka 55, ina maana angefika miaka 65 huenda angekuwa na Watoto zaidi ya 20 🙌

Ametuwakilisha na sisi wengine tunaozalisha Kwa Bajeti 😜
Kataa Ndoa Wanasonya Sana
 
Wengi mnaona ni wengi kwasababu ya vipato vyenu, kwake yeye alimudu kuwahudumia pamoja na wana ndugu wenginee
 
Back
Top Bottom