Mkurugenzi mkuu wa TANESCO aliyefariki kwa ajali kaacha watoto 15

Mkurugenzi mkuu wa TANESCO aliyefariki kwa ajali kaacha watoto 15

Kuna level ukifika hao 15 unawamudu vizuri kabisa
kuogopa kuzaa watoto wengi ni hofu tu ya kimaisha. Watoto wengi huja na riziki zao na utamudu tu kuwatimizia mahitaji yao, sio utakuwa na watoto wawili halafu inakuwa shughuli pevu kuwatunza
 
jamani tuwe wastarabu na tupunguze comments zenye kuzidisha vidonda kwa familia tumuombee safari nyepes aendako hata sisi hatujui mwisho wetu utakuaje
 
kuogopa kuzaa watoto wengi ni hofu tu ya kimaisha. Watoto wengi huja na riziki zao na utamudu tu kuwatimizia mahitaji yao, sio utakuwa na watoto wawili halafu inakuwa shughuli pevu kuwatunza
Ni moja ya jambo linalonzalisha watoto wa mitaani kipind hiki.
Zama zimebadilika, zaa watoto ukiwa na uwezo wa kuwahudumia, ukishindwa ndio hiyo wanarudi mitaani na kuteseka for nothing

Suala kila mtoto anakuja na baraka zake ni hoax, false beleifs, imani za kizamani sana
 
kuogopa kuzaa watoto wengi ni hofu tu ya kimaisha. Watoto wengi huja na riziki zao na utamudu tu kuwatimizia mahitaji yao, sio utakuwa na watoto wawili halafu inakuwa shughuli pevu kuwatunza
Hakuna anayeogopa kuzaa, bali nilazima uzae kwa mpango sio hovyo kama mnyama. Hakuna nchi yenye kizazi tegemezi kikubwa kuliko nguvu kazi iliyoendelea. Kama haujaenda shule hutaelewa
 
Wengi mnaona ni wengi kwasababu ya vipato vyenu, kwake yeye alimudu kuwahudumia pamoja na wana ndugu wenginee
Mtoto sio kumudu kumhudumia tu hapo ndio akili yako imeishia? Unapozaa watoto wengi hovyo unaongeza population tegemezi ambayo ni sumu kwa maendeleo ya nchi. Uzazi wa mpango ni muhimu sana
 
Hongera zake.Wanaume wa Kiafrica badala ya kujenga viwanda fedha yote inaishia kwenye child support.China walijua ku restrict mtoto mmoja tu ,wanaume akili zikaja wanavianda mpaka wanaweza kumvimbia Trump .Sisi wamekata ARVs kelele nyingi .Anyway RIP Hanga my school mate.
baba ndo mlivokua mnamwita halafu tokea awe tje boss hamkuonana
 
Ni moja ya jambo linalonzalisha watoto wa mitaani kipind hiki.
Zama zimebadilika, zaa watoto ukiwa na uwezo wa kuwahudumia, ukishindwa ndio hiyo wanarudi mitaani na kuteseka for nothing

Suala kila mtoto anakuja na baraka zake ni hoax, false beleifs, imani za kizamani sana
imani za kizamani? Mwisho mtasema watu wasizae kabisa kisa hakuna uwezo wa kutunza mtoto. Mnajaza watu hofu wasizae watoto wengi
 
imani za kizamani? Mwisho mtasema watu wasizae kabisa kisa hakuna uwezo wa kutunza mtoto. Mnajaza watu hofu wasizae watoto wengi
Never said watu wasizae, zaa but know kuna economic strains unazipngeza upande wako, question is utaweza?
 
Hakuna anayeogopa kuzaa, bali nilazima uzae kwa mpango sio hovyo kama mnyama. Hakuna nchi yenye kizazi tegemezi kikubwa kuliko nguvu kazi iliyoendelea. Kama haujaenda shule hutaelewa
hao watoto wakikua na kuwa watu wazima wenye shughuli zao, hapo watakuaje tegemezi?
 
Idadi kubwa ya watoto si lazima uwapate kwa mke mmoja tu, unawapata kwa wake wengi, mwingine anakuzalia wawili, pale mmoja, hata ukipata mtoto mmoja mmoja kwa wake kumi na tano hiyo pia ni uzazi wa mpango
 
Mkuu umenikumbusha jambo. Hii nji imejaa mafununu, umbeya na propaganda za kuhamisha akili na mawazo ya Wabongo. Kumbuka ajali ya Mkurugenzi ni kama imeingiliana na Kukamatwa kwa Mwenyekiti(T) CHADEMA Mhe. Tundu Lissu na Tume ya Uchaguzi kuwaengua CHADEMA kushiriki Uchaguzi Mkuu 2025.

Sasa kwa CCM na Serikali yake wameamua maksudi kugeuza habari ya kifo cha Mkurugenzi TANESCO kuwa ndo habari ili kuhamisha akili na mawazo yote ya Watz wasiongelee habari ya kukamatwa kwa LISSU na CHADEMA.
Kuna wakti nchi hii matukio mengine hupangwa na huandaliwa kimkakati kwa malengo maalumu. Tafakari!!!
Kabisaaa, na ukute Mkurugenzi kafanywa mbuzi wa kafara ili kuficha uovu wao unaoebdelea kwa sasa.
 
Waziri Jafo ana wake 3 mbona fresh tu? Hebu acheni hizo bana...

Kwa mkoa wa Mara hao wake 2 ni kidogo sana na idadi ya watoto pia ni ndogo sana...kawaida hao wake 2 wangepaswa kuwa na wa jumla ya watoto 22
 
Mtoto sio kumudu kumhudumia tu hapo ndio akili yako imeishia? Unapozaa watoto wengi hovyo unaongeza population tegemezi ambayo ni sumu kwa maendeleo ya nchi. Uzazi wa mpango ni muhimu sana
Yaani wewe ndio huelewi na akili yako finyu, utegemezi unakuja kama huwezi kumudu, sasa unahisi kwa maisha ya nyamohanga kuna watoto wake walikuwa mtaani wakitegemea serikali au NGO iwasaidie basic needs? Au unahisi ukiwa na watoto lazima wawe tegemezi?
 
Hizo ni rare cases!!! Nyumba ya jirani usilalie mlango wazi.
Sawa, lakini isiwe big deal kwa watu. Kila mtu ana maisha yake na mipango yake. Watoto wachache sio kigezo Cha kujipanga vizina watoto wengi sio kigezo cha kujipanga vibaya. Trump ndiye Rais tajiri kuwahi kutokea Marekani na nahisi ndiye Rais mwenye watoto wengi kuwahi kutokea Marekani.
 
Waziri Jafo ana wake 3 mbona fresh tu? Hebu acheni hizo bana...

Kwa mkoa wa Mara hao wake 2 ni kidogo sana na idadi ya watoto pia ni ndogo sana...kawaida hao wake 2 wangepaswa kuwa na wa jumla ya watoto 22
Na unakuta anawamudu na wanasoma, watu wengine sijui walizaliwa mikoa gani wanaona mtu kuwa na wake wawili na watoto 15 ni wengi! Wengine ni mke mmoja tu ila watoto 10-12
 
Naye alikuwa anazaa hovyo
Ahahahahaha! Ila uncle alikuwa na maisha fresh sana. Mwaka 1993 alikuwa anamiliki yale masimu ya Mkononi ya Moboteli yakiuzwa zaidi ya milioni. Wewe mwenye watoto wachache ni uoga wa maisha tu hakuna chengine! Ahahahahaha!!!
 
Kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake, we umezaliwa kwenye nyumba ya kupanga hata unga wa ugali ni wa kupima, mboga miguu ya kuku na utumbo, mwenzio kazaliwa familia ya ufugaji na ukulima ng'ombe kuaniza 500, maekari ya mashamba pamoja na kuwa kijijini ana access ya basic needs zote pamoja na kusoma shule nzuri, amepata kazi nzuri anao uwezo wa kuhudumia familia, mila inaruhusu kuoa mke zaidi ya mmoja. Mnataka ajibane aendane na wewe uliye na mtoto mmoja hata shule ya kidumu ufagio ni mtihani wakiomba afu2 ya mlinzi unawaza! Tuwe tunawaza tuliumbwa kwa matabaka ya hali za kiuchumi. Mwingine kakazana na watoto wengi sijui ni tegemezi, kwa akili zenu huyo mkurya ana hali ya kuzaa afu mkute mtoto wake mtaani omba omba au mpiga debe?
 
Back
Top Bottom