Mkurugenzi mkuu wa TANESCO aliyefariki kwa ajali kaacha watoto 15

Ni jambo la ajabu na kushangaza kwamba habari kubwa zaidi ya mtu aliyeyekuwa anaongoza kampuni yenye ukubwa wa zaidi ya Trillion 1 alipofariki ni kuacha watoto 15!

Katika jamii inayojielewa jaikapuswa kuwa hivyo, legacy kubwa haikupaswa kuwa ufyatuaji bali legacy iliyotakiwa kusambaa na kuwa habari kubwa zaidi ni idadi ya Watanzania waliopata umeme akiwa CEO, utulivu na upatikanaji wa uhakika wa umeme, kupungua kwa ufisadi, kuongezeka ufanisi, kupungua kwa gharama za umeme n.k

Tuambieni ambao hatujui. Sisi wengine tunasikia jamaa alioa wake watatu kabla ya kwenda hata chuo.
He was a producing machine
 
Binafsi hiyo sio habari ni jambo la kawaida mno, unao uwezo wa kulea vizuri fyatua vyuma hatupo uchina hapa.
Wachina walio vizuri kiuchumi, duniani wao ni 2nd best economy country lakn wana ruksa ya kuwa na mtoto 1 tu.
Leo wanakuja Tanganyika wana kuhonga gari na pesa ili ulee wake 2 na watoto 15!!! Halafu uwape kazi walipwe Mabilioni na Serikali yako wapeleka kwao kulea mke 1 mtoto 1. Think big!!!
 
Population ya China unaijua vizuri lakin?
Wachina walio vizuri kiuchumi, duniani wao ni 2nd best economy country lakn wana ruksa ya kuwa na mtoto 1 tu.
Leo wanakuja Tanganyika wana kuhonga gari na pesa ili ulee wake 2 na watoto 15!!! Halafu uwape kazi walipwe Mabilioni na Serikali yako wapeleka kwao kulea mke 1 mtoto 1. Think big!!!
 
Hata mimi nilitegemea kusoma legacy hiyo nzuri kwa watanzani wengi kupata umeme chini ya uongozi wake badala yake nasoma habari kaacha watoto 15 wakati hiyo idadi ni kawaida huku madongokuinama tena kuzidi hiyo
 
Hapo alipopanga au kujenga anapoishi na watoto wake na wake zake ndio kwake, kwa wazazi wake ni kwa wazazi wake ambapo wangemuachia urithi endapo wangefariki mapema kabla yake.
Angeachiwa urithi kwasababu gani? Kwasababu ni kwao au ni kwake?
 
Hata mimi nilitegemea kusoma legacy hiyo nzuri kwa watanzani wengi kupata umeme chini ya uongozi wake badala yake nasoma habari kaacha watoto 15 wakati hiyo idadi ni kawaida huku madongokuinama tena kuzidi hiyo
Kama ulimsikia N/PM na Waziri Nishati Mhe. Biteko amesema marehemu ndo alikokotoa gharama za kupata Umeme wa 27,000/= huko vijijini(REA). Just part of his minor legacy!!
 
Ukienda Japan, ukakaa mwezi, naamini ukirudi huwezi mlaum tena Mkurugenzi Kwa kufyatua watoto mfululu.
 
Huyo ndiye mwanaume sasa. Alishinda vita zote. Ameacha jina,hela na familia kubwa ya kutosha
 
Tuambieni ambao hatujui. Sisi wengine tunasikia jamaa alioa wake watatu kabla ya kwenda hata chuo.
He was a producing machine
Kawaida ya Kuria na Zanaki tribes, huoa mapema sana. Nakumbuka nikiwa shule ya upili ktk moja ya shule za kanda ya Ziwa nilikuwa na marafiki zangu Wakurya. Mtu ameanza F-1 tu tayar ana mke na watoto 2!
 
Ukienda Japan, ukakaa mwezi, naamini ukirudi huwezi mlaum tena Mkurugenzi Kwa kufyatua watoto mfululu.
Sijamlaumu kwa kufyatua watoto, nimeuliza kwa nini hiyo iwe ndio habari kubwa zaidi inayomuhusu kuliko nyingine ambazo zngekuwa na maslahi makubwa kwa umma kwa hadhi yake marehemu aliyokuwa nayo.
 
Kawaida ya Kuria na Zanaki tribes, huoa mapema sana. Nakumbuka nikiwa shule ya upili ktk moja ya shule za kanda ya Ziwa nilikuwa na marafiki zangu Wakurya. Mtu ameanza F-1 tu tayar ana mke na watoto 2!
Wanawahudumiaje hao wake zao na watoto wakiwa bado wadogo hivyo tena kidato cha kwanza?
 
Sijamlaumu kwa kufyatua watoto, nimeuliza kwa nini hiyo iwe ndio habari kubwa zaidi inayomuhusu kuliko nyingine ambazo zngekuwa na maslahi makubwa kwa umma kwa hadhi yake marehemu aliyokuwa nayo.
You know what? Kwa msemo wa Newsmen, " No news is good news" Kwa Watz na Wanahabari wengi, habari mbaya ndiyo habari.
 
Sijamlaumu kwa kufyatua watoto, nimeuliza kwa nini hiyo iwe ndio habari kubwa zaidi inayomuhusu kuliko nyingine ambazo zngekuwa na maslahi makubwa kwa umma kwa hadhi yake marehemu aliyokuwa nayo.
Sasa hilo ni tatizo la baadhi ya waandishi wa bongo wambeya wambeya Mkuu.
 
Back
Top Bottom