Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI, Daktari Profesa Janabi ana hofu na nini hadi awe na ulinzi mkubwa namna ile?

Nakumbuka Dr wa Mwl Nyerere na viongozi wengine alikuwa anapuyanga mitaani mwenyewe tu...mara nyingi nilikuwa namwona mitaa ya posta Dar posta akiwa peke yake kabisa!

Kila jambo lina maana yake.
Rais Ali H. Mwinyi alikuwa akitembelea LandRover 110 ya wazi akipungia wananchi mikono.

Kila zama na kitabu chake.
 
Janabi huyu anayetuambia tusile maharage, tusile matunda, tusinywe maji, tusile nyama, tusile ugali, tusile ubwabwa, tusile hiki, tusile kile!!!

He is a nutty professor
Dah!... Tule nini sasa ?
 
Umeona eenhh?!!!.Mimi mwenyewe nashangaa.
 
NI DAKTARI BINGWA MUHIMU MNO NDANI YA TAALUMA HIYO NI MTU AGHALI SANA HATA KUMTENGENEZA MWINGINE.
>And no more!
 
Hivi inakuwaje labda mpaka mtu aliye professional kutumika kisiasa? Tena siasa chafu?
 

Huyo si ndiye daktari wa le mutuz
 
Ulinzi ni haki ya kila mtu Kama huna hela utashangaa mambo mengi sana hapa duniani tafuta pesa
 
Labda kuna WARUSI mamuluki wametumwa kwa ajili ya kutowahudumia baadhibya Marais matatizo yao ya moyo.
Inabidi alindwe sana WARUSI wanahasira naye.

Bro " Usile Nyama"
"Acha artificial juisi"
Prof yuko sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…